Back

ⓘ Karne ya 2 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 101 na 200. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 101 na kuishia 31 Desemba 200. Namba zake zinafuata hesab ..
Karne ya 2
                                     

ⓘ Karne ya 2

Karne ya 2 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 101 na 200. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 101 na kuishia 31 Desemba 200. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya binadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.

Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii.

                                     

1. Matukio

 • Dola la Axum linajitokeza katika Ethiopia ya leo
 • Namna ya kutengeneza karatasi inabuniwa huko China
 • Dini mpya ya Ukristo inazidi kuenea haraka ingawa inapitia dhuluma za serikali
 • Dola la Roma linafurahia amani iliyopatikana kuanzia utawala wa Kaisari Augusto na linafikia kilele cha ustawi wake kwa kuteka mji wa Susa Uajemi
                                     

2. Watu muhimu

 • Yustino mfiadini, mwanafalsafa
 • Kaisari Hadrian
 • Ignas wa Antiokia, askofu na mfiadini
 • Irenei wa Lyon, askofu na mwanateolojia
 • Polikarpo, askofu na mfiadini
 • Kaisari Trajan
 • Kaisari Marko Aurelio
                                     
 • ya Miaka Karne ya 1 Karne ya 2 Karne ya 3 Karne ya 4 Karne ya 5 Miaka ya 200 Miaka ya 210 Miaka ya 220 Miaka ya 230 Miaka ya 240
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Karne ya 7 KK Karne ya 6 KK Karne ya 5 KK Karne ya 4 KK Karne ya 3 KK
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Karne ya 8 KK Karne ya 7 KK Karne ya 6 KK Karne ya 5 KK Karne ya 4 KK
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Karne ya 11 KK Karne ya 10 KK Karne ya 9 KK Karne ya 8 KK Karne ya 7 KK
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Karne ya 9 KK Karne ya 8 KK Karne ya 7 KK Karne ya 6 KK Karne ya 5 KK
 • ya Miaka Milenia ya 1 Milenia ya 2 Milenia ya 3 Karne ya 11 Karne ya 12 Karne ya 13 Karne ya 14 Karne ya 15 Karne ya 16 Karne ya
 • ya Miaka Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Karne ya 17 KK Karne ya 16 KK Karne ya 15 KK Karne ya 14 KK Karne ya
 • ya Miaka Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Karne ya 18 KK Karne ya 17 KK Karne ya 16 KK Karne ya 15 KK Karne ya
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Karne ya 10 KK Karne ya 9 KK Karne ya 8 KK Karne ya 7 KK Karne ya 6 KK
 • ya Miaka Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Karne ya 16 KK Karne ya 15 KK Karne ya 14 KK Karne ya 13 KK Karne ya
 • ya Miaka Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Karne ya 21 KK Karne ya 20 KK Karne ya 19 KK Karne ya 18 KK Karne ya

Users also searched:

...

Ujumbe wa siku ya wanawake duniani Tanzania Development.

F, irirwo. I 0. M a w a s I n 0 T o w e r. I p. F I I, 11 Y 1. T. - r 1 Tt Kabla sijafanya kazi hiyo, naomba niseme machache karna ifuatavyo. Bodi imekuwa. Bank of Tanzania. 2.3.2 Maandiko Yanayohusu Maendeleo ya Riwaya kwa Ujumla. Kwa mujibu wa Wamitila 2002 nadharia hii iliibuka katika karne ya 19 na hutumika. Maana ya Hadithi ya Mujaddid Kila Karne – Hizb ut Tahrir Tanzania. 2 maadhimisho haya ya Siku ya Wahandisi kwa mwaka huu wa Mapinduzi ya Pili ya Viwanda duniani yaliyotokea mwishoni mwa karne ya. MWONGOZO KWA ASASI ZA KIRAIA KATIKA Tanzania. Wabia Katika Kutengeneza Ilani ya Vijana 2020 2025 katika ulimwengu wa Karne ya 21. 2. Kiwango cha ujinga kutojua kusoma na kuandika kinaongezeka. DOLA YA MRIMA KILWA ILIYOKUWA TAIFA KUU AFRIKA KARNE. Kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kifungu cha 2 cha Sheria hiyo kinaeleza kuwa kinaeleza kuwa Uchaguzi​. Download this PDF file Untitled. Wa Zaidi ya robo karne kuhusu jinsi ya kusimamia vyanzo vyake vya 2.​Orodha ya kikundi kazi iliyokubaliwa kwa kipaumbele cha busara.


...