Back

ⓘ Karne ya 3 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 201 na 300. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 201 na kuishia 31 Desemba 300. Namba zake zinafuata hesab ..
Karne ya 3
                                     

ⓘ Karne ya 3

Karne ya 3 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 201 na 300. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 201 na kuishia 31 Desemba 300. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya binadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.

                                     

1. Matukio

Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii, kama vile:

 • Serikali ya Dola la Roma inazidi kudhulumu Wakristo, ingawa kwa kwikwi
 • Roma inaanza kufanya biashara na China.
                                     

2. Watu maarufu

 • Kaisari Valerian
 • Papa Korneli, mfiadini
 • Origen, padri na mtaalamu wa Biblia ya Kikristo
 • Kaisari Filipo Mwarabu
 • Mani, mwanzilishi wa dini ya Umani
 • Plotinus, mwanafalsafa
 • Tertullian, padri na mwanateolojia
 • Kaisari Aurelian
 • Klementi wa Aleksandria, mwanateolojia wa Ukristo
 • Sipriani, askofu na mfiadini
                                     
 • ya Miaka Karne ya 3 Karne ya 4 Karne ya 5 Karne ya 6 Karne ya 7 Miaka ya 400 Miaka ya 410 Miaka ya 420 Miaka ya 430 Miaka ya 440
 • Orodha ya Miaka Karne ya 2 KK Karne ya 1 KK Karne ya 1 Miaka ya 20 KK Miaka ya 10 KK Miaka ya 0 KK Miaka ya 0 Miaka ya 10
 • ya Miaka Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Karne ya 17 KK Karne ya 16 KK Karne ya 15 KK Karne ya 14 KK Karne ya
 • ya Miaka Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Karne ya 18 KK Karne ya 17 KK Karne ya 16 KK Karne ya 15 KK Karne ya
 • ya Miaka Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Karne ya 16 KK Karne ya 15 KK Karne ya 14 KK Karne ya 13 KK Karne ya
 • ya Miaka Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Karne ya 21 KK Karne ya 20 KK Karne ya 19 KK Karne ya 18 KK Karne ya
 • ya Miaka Milenia ya 4 KK Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Karne ya 23 KK Karne ya 22 KK Karne ya 21 KK Karne ya 20 KK Karne ya
 • ya Miaka Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Karne ya 13 KK Karne ya 12 KK Karne ya 11 KK Karne ya 10 KK Karne ya
 • ya Miaka Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Karne ya 20 KK Karne ya 19 KK Karne ya 18 KK Karne ya 17 KK Karne ya

Users also searched:

maana ya utamaduni,

...

Tanzania Assemblies of God: TAG.

Tatizo hujasoma title vizuri,hao ni mabondia bora wa karne ya 21. Karne ya 21 imeanza mwaka 2000 hivyo wamepimwa mabondia. History Morogoro Municipal Council. Tangu karne ya 15. Zao la vanilla barani Ulaya karne ya 16, kisha likapelekwa hadi shimo katika mstari ni mita 1.8 hadi 2.5. 3. Baada ya kuchimba mashimo. Historia Tovuti Kuu ya Serikali. Wakati wa likizo ya uzazi napata angalau theluthi mbili 2 3 ya mshahara wangu​. My employer Mwajiri wako anajua tunaishi kwenye karne ya 21? Mapema. Arsenal watachomoka kwa Bayern leo?. 3. Ngazi ya Watumwa. Eneo hili lipo Pwani ya kusini ya Masoko, ya kuanzia karne ya 11 mpaka karne ya 19. Ni Kuna magofu ya tangu karne ya 15 AD.


...