Back

ⓘ Karne ya 4 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 301 na 400. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 301 na kuishia 31 Desemba 400. Namba zake zinafuata hesab ..
Karne ya 4
                                     

ⓘ Karne ya 4

Karne ya 4 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 301 na 400. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 301 na kuishia 31 Desemba 400. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya binadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.

Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii, kama haya yafuatayo.

                                     

1. Matukio

 • 350 hivi: Dola la Axum linateka ufalme wa Kush
 • 301: Armenia ni taifa la kwanza kupokea Ukristo jumla
 • 325: Mtaguso mkuu wa kwanza unafanyika Nisea katika Uturuki wa leo
 • 325-328: Dola la Axum Ethiopia ya leo linapokea Ukristo
 • 378: Wagoti wanashinda Dola la Roma huko Adrianopoli na kumuua Kaisari Valens
                                     

2. Watu muhimu

 • Kaisari Diocletianus 245-313 dhalimu mkuu wa Ukristo 284-305
 • Agostino wa Hippo 354-430, askofu na babu wa Kanisa
 • Antoni wa Misri, alianzisha umonaki katika Misri
 • Jeromu, padri na babu wa Kanisa
 • Efrem wa Syria 306-373, shemasi na babu wa Kanisa huko Mesopotamia
 • Ambrosi, askofu na babu wa Kanisa
 • Konstantino Mkuu 280 - 337, Kaisari wa Roma 306-337 aliruhusu Ukristo
 • Theodosius I 378-395, Kaisari alifanya Kanisa Katoliki kuwa dini rasmi ya Dola la Roma
 • Yohane Krisostomo, askofu na babu wa Kanisa
                                     
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Karne ya 3 KK Karne ya 2 KK Karne ya 1 KK Karne ya 1 Karne ya 2
 • ya Miaka Karne ya 2 KK Karne ya 1 KK Karne ya 1 Karne ya 2 Karne ya 3 Miaka ya 0 Miaka ya 10 Miaka ya 20 Miaka ya 30 Miaka ya
 • Orodha ya Miaka Karne ya 2 KK Karne ya 1 KK Karne ya 1 Miaka ya 20 KK Miaka ya 10 KK Miaka ya 0 KK Miaka ya 0 Miaka ya 10
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 5 KK Milenia ya 4 KK Milenia ya 3 KK Karne ya 40 KK Karne ya 39 KK Karne ya 38 KK Karne ya 37 KK Karne ya 36
 • ya Miaka Milenia ya 4 KK Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Karne ya 23 KK Karne ya 22 KK Karne ya 21 KK Karne ya 20 KK Karne ya
 • ya Miaka Milenia ya 4 KK Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Karne ya 24 KK Karne ya 23 KK Karne ya 22 KK Karne ya 21 KK Karne ya
 • ya Miaka Milenia ya 4 KK Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Karne ya 25 KK Karne ya 24 KK Karne ya 23 KK Karne ya 22 KK Karne ya
 • 6 KK Karne ya 5 KK Karne ya 4 KK Karne ya 3 KK Karne ya 2 KK Karne ya 1 KK Milenia ya kwanza KK ilikuwa milenia ya mwisho kabla ya Kristo.
 • ya Miaka Milenia ya 4 KK Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Karne ya 27 KK Karne ya 26 KK Karne ya 25 KK Karne ya 24 KK Karne ya
 • ya Miaka Milenia ya 4 KK Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Karne ya 26 KK Karne ya 25 KK Karne ya 24 KK Karne ya 23 KK Karne ya
 • ya Miaka Milenia ya 4 KK Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Karne ya 29 KK Karne ya 28 KK Karne ya 27 KK Karne ya 26 KK Karne ya

Users also searched:

...

Habari Mpya za ubalozi wa China.

Vision ya aina ya jamii wanayohitaji katika ulimwengu wa karne ya 21. 4. Jamii iliyoelimika na inayoendelea kujifunza, ili kumudu changamoto zinazotokana. Utekelezaji wa Serikali Mtandao Nchini JAMHURI YA MUUNGANO. 4 Je, Kuna ripoti yoyote iliyo na kumbukumbu sahihi kuhusiana na idadi ya Mujaddidina katika karne zilizopita? 5 Je, inawezekana kujua.


...