Back

ⓘ Karne ya 5 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 401 na 500. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 401 na kuishia 31 Desemba 600. Namba zake zinafuata hesab ..
Karne ya 5
                                     

ⓘ Karne ya 5

Karne ya 5 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 401 na 500. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 401 na kuishia 31 Desemba 600. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya binadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.

Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii, kama haya yafuatayo.

                                     

1. Watu muhimu

 • Agostino wa Hippo 354-430, askofu na babu wa Kanisa
 • Alariko I, mfalme wa Wavisigoti aliyeteka Roma
 • Atila, mfalme wa Wahuni
 • Patrisi, askofu na mmisionari wa Ireland
 • Jeromu, padri na babu wa Kanisa
 • Ambrosi, askofu na babu wa Kanisa
 • Papa Leo I, babu wa Kanisa
 • Mesrop, mtakatifu aliyebuni alfabeti ya Kiarmenia 405 hivi
 • Klovis, mfalme wa Wafaranki, wa kwanza kupokea Ukristo wa Kikatoliki
 • Theodoriko, mfalme wa Waostrogoti
 • Yohane Krisostomo, askofu na babu wa Kanisa
                                     
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Karne ya 3 KK Karne ya 2 KK Karne ya 1 KK Karne ya 1 Karne ya 2
 • Orodha ya Miaka Karne ya 2 KK Karne ya 1 KK Karne ya 1 Miaka ya 20 KK Miaka ya 10 KK Miaka ya 0 KK Miaka ya 0 Miaka ya 10
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Karne ya 9 KK Karne ya 8 KK Karne ya 7 KK Karne ya 6 KK Karne ya 5 KK
 • 6 KK Karne ya 5 KK Karne ya 4 KK Karne ya 3 KK Karne ya 2 KK Karne ya 1 KK Milenia ya kwanza KK ilikuwa milenia ya mwisho kabla ya Kristo.
 • ya Miaka Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Milenia ya 2 Karne ya 1 Karne ya 2 Karne ya 3 Karne ya 4 Karne ya 5 Karne ya 6 Karne ya
 • Biografia Karibuni Orodha ya Miaka Milenia ya 6 KK Milenia ya 5 KK Milenia ya 4 KK Makala hii inahusu milenia ya 5 KK miaka 4999 KK - 4000
 • Orodha ya Miaka Karne ya 5 Karne ya 6 Karne ya 7 Miaka ya 560 Miaka ya 570 Miaka ya 580 Miaka ya 590 Miaka ya 600 Miaka ya 610
 • Orodha ya Miaka Karne ya 4 Karne ya 5 Karne ya 6 Miaka ya 460 Miaka ya 470 Miaka ya 480 Miaka ya 490 Miaka ya 500 Miaka ya 510
 • Orodha ya Miaka Karne ya 3 Karne ya 4 Karne ya 5 Miaka ya 270 Miaka ya 280 Miaka ya 290 Miaka ya 300 Miaka ya 310 Miaka ya 320
 • Orodha ya Miaka Karne ya 4 Karne ya 5 Karne ya 6 Miaka ya 370 Miaka ya 380 Miaka ya 390 Miaka ya 400 Miaka ya 410 Miaka ya 420
 • Orodha ya Miaka Karne ya 5 Karne ya 6 Karne ya 7 Miaka ya 470 Miaka ya 480 Miaka ya 490 Miaka ya 500 Miaka ya 510 Miaka ya 520

Users also searched:

...

News Songea Municipal Council.

4.3.5 Kutofautiana kwa Vionjo vya Kiuandishi kati ya Shaaban Robert na Said A. Kwa mujibu wa Wamitila 2002 nadharia hii iliibuka katika karne ya 19 na. Hotuba ya Mgeni Rasmi Balozi Mhandisi John W. H. Kijazi, Katibu. Ruaha Journal of Arts and Social Sciences, Volume 5, Issue 1, 2019. Page 1 kujitokeza karne ya 19 na kushamiri karne ya 20 barani Ulaya Njogu &. Hotuba Ikulu. Mji Mkongwe uliendelea kujengeka na mwanzoni mwa karne ya 19 ulipata umaarufu na kuwa kituo cha biashara ya kimataifa hasa biashara. Bandari ya kipumbwi na mkwaja sasa kurasimishwa pangani. Wana akiolojia wamegundua kaburi lenye miili ya mwanamke na watoto wake, waliokuwa wamehifadhiwa karne kadhaa zilizopita. Kaburi hilo linaloaminika. Historia Ya Afrika. Nitike: Nilipata kazi yangu ya kwanza mwezi Machi tarehe 5. 1989. Baada ya kumaliza ulioanzishwa mwishoni mwa karne ya 18, una historia ya kipekee na​.


...