Back

ⓘ Karne ya 6 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 501 na 600. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 501 na kuishia 31 Desemba 600. Namba zake zinafuata hesab ..




Karne ya 6
                                     

ⓘ Karne ya 6

Karne ya 6 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 501 na 600. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 501 na kuishia 31 Desemba 600. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.

Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii, kama haya yafuatayo.

                                     

1. Watu na matukio

 • Kaisari Justiniani I anakusanya sheria za Dola la Roma katika Corpus Iuris Civilis
 • Denis Mdogo, mmonaki, anaanza kuhesabu miaka tangu kuzaliwa kwa Yesu Kristo.
 • Papa Gregori I, Mrumi wa mwisho, anaanza kutawala mji wa Roma uliobaki hauna uongozi
                                     
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Karne ya 9 KK Karne ya 8 KK Karne ya 7 KK Karne ya 6 KK Karne ya 5 KK
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Karne ya 10 KK Karne ya 9 KK Karne ya 8 KK Karne ya 7 KK Karne ya 6 KK
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Karne ya 3 KK Karne ya 2 KK Karne ya 1 KK Karne ya 1 Karne ya 2
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Karne ya 10 KK Karne ya 9 KK Karne ya 8 KK Karne ya 7 KK Karne ya 6 KK
 • ya Miaka Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Milenia ya 2 Karne ya 1 Karne ya 2 Karne ya 3 Karne ya 4 Karne ya 5 Karne ya 6 Karne ya
 • Orodha ya Miaka Karne ya 5 Karne ya 6 Karne ya 7 Miaka ya 560 Miaka ya 570 Miaka ya 580 Miaka ya 590 Miaka ya 600 Miaka ya 610
 • Orodha ya Miaka Karne ya 4 Karne ya 5 Karne ya 6 Miaka ya 460 Miaka ya 470 Miaka ya 480 Miaka ya 490 Miaka ya 500 Miaka ya 510
 • Orodha ya Miaka Karne ya 4 Karne ya 5 Karne ya 6 Miaka ya 370 Miaka ya 380 Miaka ya 390 Miaka ya 400 Miaka ya 410 Miaka ya 420
 • Orodha ya Miaka Karne ya 6 Karne ya 7 Karne ya 8 Miaka ya 660 Miaka ya 670 Miaka ya 680 Miaka ya 690 Miaka ya 700 Miaka ya 710
 • Orodha ya Miaka Karne ya 5 Karne ya 6 Karne ya 7 Miaka ya 470 Miaka ya 480 Miaka ya 490 Miaka ya 500 Miaka ya 510 Miaka ya 520
 • Orodha ya Miaka Karne ya 6 Karne ya 7 Karne ya 8 Miaka ya 570 Miaka ya 580 Miaka ya 590 Miaka ya 600 Miaka ya 610 Miaka ya 620
 • Orodha ya Miaka Karne ya 6 Karne ya 7 Karne ya 8 Miaka ya 580 Miaka ya 590 Miaka ya 600 Miaka ya 610 Miaka ya 620 Miaka ya 630

Users also searched:

...

Rs Tanzania Communications Regulatory Authority.

Kama Wanailotiki wengine, asili ya Wadatooga ni Sudan na Magharibi mwa karne ya 4 6 baada ya kuzaliwa kwa Kristo kutokana na vita vya mara kwa mara​. TUMBAKU KWA MAENDELEO YA TAIFA TORITA. Ukitembelea Kilwa Kisiwani kama mimi nilivyotembelea, utaona pia ngome ya Wareno iliyojengwa katika karne ya 14. Mambo ya kale na ya. MAENDELEO YA LUGHA YA KISWAHILI NA ATHARI ZAKE KWA. Oktoba, 2019. 6. 9001 2015 Huduma za Hali ya Hewa kwa Usafiri wa Anga wenda mpaka karne hii ya 21, karne ya sayan si na teknolojia. Search Results for 6 – Page 5 – The Tanzania Institute of Bankers. Wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kwa mujibu wa Ibara ya 6 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa. Hotuba ya Mgeni Rasmi Balozi Mhandisi John W. H. Kijazi, Katibu. Maana ya Hadithi ya Mujaddid Kila Karne. on Febuari 6, 2019 5 Je, inawezekana kujua katika karne ya kumi na nne ambayo ilimalizika. RONALDO AMPIKU LIONEL MESSI TUNZO ZA MCHEZAJI BORA. Hii ni SEHEMU yetu ya SITA ya mfululizo wa somo letu la TABIA ya changamoto kubwa ninazoziona katika mahusiano ya karne ya 21 ni.


...