Back

ⓘ Karne ya 8 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 701 na 800. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 701 na kuishia 31 Desemba 800. Namba zake zinafuata hesab ..
Karne ya 8
                                     

ⓘ Karne ya 8

Karne ya 8 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 701 na 800. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 701 na kuishia 31 Desemba 800. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.

Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii, kama haya yafuatayo.

                                     

1. Watu na matukio

 • Ufeudi unaenea Ulaya: zinaanzishwa ngome
 • Karolo Nyundo anawashinda Waarabu huko Poitiers 732 wasienee Ulaya
 • Kaisari Leo III anapinga sanamu katika Ukristo
 • Karolo Mkuu 742 - 814 anatawazwa na Papa Leo III kuwa Kaisari wa Magharibi 800
                                     
 • ya Miaka Karne ya 2 KK Karne ya 1 KK Karne ya 1 Karne ya 2 Karne ya 3 Miaka ya 0 Miaka ya 10 Miaka ya 20 Miaka ya 30 Miaka ya
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Karne ya 9 KK Karne ya 8 KK Karne ya 7 KK Karne ya 6 KK Karne ya 5 KK
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Karne ya 3 KK Karne ya 2 KK Karne ya 1 KK Karne ya 1 Karne ya 2
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Karne ya 10 KK Karne ya 9 KK Karne ya 8 KK Karne ya 7 KK Karne ya 6 KK
 • Karne ya 7 Karne ya 8 Karne ya 9 Karne ya 10 Makala hii inahusu milenia ya 1 BK miaka 1 - 1000 Wikimedia Commons ina media kuhusu: Milenia ya 1
 • Orodha ya Miaka Karne ya 7 Karne ya 8 Karne ya 9 Miaka ya 670 Miaka ya 680 Miaka ya 690 Miaka ya 700 Miaka ya 710 Miaka ya 720
 • Orodha ya Miaka Karne ya 7 Karne ya 8 Karne ya 9 Miaka ya 760 Miaka ya 770 Miaka ya 780 Miaka ya 790 Miaka ya 800 Miaka ya 810
 • Orodha ya Miaka Karne ya 6 Karne ya 7 Karne ya 8 Miaka ya 570 Miaka ya 580 Miaka ya 590 Miaka ya 600 Miaka ya 610 Miaka ya 620
 • Orodha ya Miaka Karne ya 8 Karne ya 9 Karne ya 10 Miaka ya 770 Miaka ya 780 Miaka ya 790 Miaka ya 800 Miaka ya 810 Miaka ya 820
 • Orodha ya Miaka Karne ya 6 Karne ya 7 Karne ya 8 Miaka ya 660 Miaka ya 670 Miaka ya 680 Miaka ya 690 Miaka ya 700 Miaka ya 710
 • Orodha ya Miaka Karne ya 8 Karne ya 9 Karne ya 10 Miaka ya 860 Miaka ya 870 Miaka ya 880 Miaka ya 890 Miaka ya 900 Miaka ya 910

Users also searched:

...

MIAkA 50 YA UHURU WA Tanzania Coffee Board.

Wang Ke juu ya Ziara ya Mjumbe wa Baraza la Taifa na Waziri wa ziara rasmi na ya kirafiki nchini Tanzania mnamo tarehe 7 8 Januari 2021. kasi ya mabadiliko makubwa ambayo hayajaonekana katika karne moja. Artist Mayonde Coke Studio Africa. Feb 18, 2015. HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIKIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWENYE UZINDUZI WA SERA YA. TemboNEWs KISWAHILI Web CRDB Bank. Mnara wa usanifu wa Kiislamu: minaret ya zamani karne ya 8 na 9 ya Kazi kuu ni matumizi ya urefu wao ili kuwezesha kazi mbalimbali. Sera ya Taifa ya Wazee Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Wengi wao wamekua wakiyajua magofu ya msikiti wa karne hizo ambao.


...