Back

ⓘ Karne ya 10 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 901 na 1000. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 901 na kuishia 31 Desemba 1000. Namba zake zinafuata he ..
Karne ya 10
                                     

ⓘ Karne ya 10

Karne ya 10 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 901 na 1000. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 901 na kuishia 31 Desemba 1000. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.

Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii, kama haya yafuatayo.

                                     

1. Watu na matukio

 • Ustaarabu wa Watolteki huko Meksiko
 • Huko Baghdad kinaanza chuo kikuu cha kwanza cha uganga
 • Oto I anawagawia maaskofu kadhaa maeneo ya utawala
 • Wavikingi wanafikia Amerika kutoka Ulaya kupitia Bahari ya Atlantiki karne tano kabla ya Kristofa Columbus
 • Oto I anaunganisha tena sehemu kubwa ya Ulaya magharibi na kuunda Dola Takatifu la Kiroma la Kijerumani
 • Maendeleo ya kilimo kwa kupanda mbegu tofauti kwa zamu ya miaka mitatu, kwa kutumia mashine mpya za umwagiliaji n.k.
                                     
 • ya Miaka Milenia ya 1 KK Karne ya 2 KK Karne ya 1 KK Karne ya 1 Miaka ya 40 KK Miaka ya 30 KK Miaka ya 20 KK Miaka ya 10
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Karne ya 10 KK Karne ya 9 KK Karne ya 8 KK Karne ya 7 KK Karne ya 6 KK
 • ya Miaka Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Karne ya 13 KK Karne ya 12 KK Karne ya 11 KK Karne ya 10 KK Karne ya
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Karne ya 10 KK Karne ya 9 KK Karne ya 8 KK Karne ya 7 KK Karne ya 6 KK
 • Karne ya 7 Karne ya 8 Karne ya 9 Karne ya 10 Makala hii inahusu milenia ya 1 BK miaka 1 - 1000 Wikimedia Commons ina media kuhusu: Milenia ya 1
 • Orodha ya Miaka Karne ya 9 Karne ya 10 Karne ya 11 Miaka ya 960 Miaka ya 970 Miaka ya 980 Miaka ya 990 Miaka ya 1000 Miaka ya 1010
 • Orodha ya Miaka Karne ya 9 Karne ya 10 Karne ya 11 Miaka ya 950 Miaka ya 960 Miaka ya 970 Miaka ya 980 Miaka ya 990 Miaka ya 1000
 • Orodha ya Miaka Karne ya 9 Karne ya 10 Karne ya 11 Miaka ya 880 Miaka ya 890 Miaka ya 900 Miaka ya 910 Miaka ya 920 Miaka ya 930
 • Orodha ya Miaka Karne ya 9 Karne ya 10 Karne ya 11 Miaka ya 900 Miaka ya 910 Miaka ya 920 Miaka ya 930 Miaka ya 940 Miaka ya 950
 • Orodha ya Miaka Karne ya 9 Karne ya 10 Karne ya 11 Miaka ya 890 Miaka ya 900 Miaka ya 910 Miaka ya 920 Miaka ya 930 Miaka ya 940

Users also searched:

...

HISTORIA FUPI YA ROZARI TAKATIFU – Radio MBIU.

Maendeleo ya sekta ya umeme Zanzibar yalianza kuimarika mnamo karne ya 20 and the project will support for a publicly solar park with a 10 15MW solar PV. MO SALAH, KLOPP, MESSI,RONALDO WAWANIA TUZO YA KARNE. 10. SURA 3. 3.0. UMUHIMU WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO. 3.1 vii makubaliano katika mkutano mkuu wa UNESCO karne ya 21 Paris. Maana ya uchaguzi Tume ya Uchaguzi Zanzibar. Wang Ke juu ya Ziara ya Mjumbe wa Baraza la Taifa na Waziri wa Mambo ya Sherehe ya 3 ya Utoaji Tuzo ya Balozi wa China 2020 Afanyika 2020 10 22. Single News Songea Municipal Council. Kitabu cha mafunzo kwa wakulima kuhusu kilimo bora cha tumbaku ya mvuke kimetayarishwa ili mpya Amerika mwishoni mwa karne ya 15. Weka kilo 1 ya NPK:24 katika kila sehemu na isambaze vizuri.1 Kgs kwa. 1 5 ya kitalu x. Nafasi ya Benki Katika Kujenga Uchumi wa Viwanda – The. RC RUVUMA, Akasirishwa na tabia ya Migomo, Matusi na Kashifa hazina tija kwa karne ya leo. HAPA KAZI TU. Tarehe ya kuwekwa: March 10th, 2021.


...