Back

ⓘ Karne ya 11 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1001 na 1100. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 1001 na kuishia 31 Desemba 1100. Namba zake zinafuata ..
Karne ya 11
                                     

ⓘ Karne ya 11

Karne ya 11 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1001 na 1100. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 1001 na kuishia 31 Desemba 1100. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.

Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii, kama haya yafuatayo.

                                     

1. Watu na matukio

 • Zinaanza kuandikwa lugha za Kirumi
 • Waskandinavia kuvamia Ulaya na kuteka sehemu za Ufaransa, Italia n.k.
 • Inaanza sanaa ya Kiromaniki
 • Zinabuniwa noti za muziki
 • Godfred wa Bulhones kuteka Yerusalemu
 • Vinaanza vita vya msalaba na mashirika ya kijeshi
 • Avikena 980-1037, Mwarabu mganga na mwanafalsafa
 • Kinaanzishwa Chuo kikuu cha Bologna
 • Papa Gregori VII anarekebisha Kanisa Katoliki na kushindana na Kaisari wa Ujerumani
 • Mwaka 1000 ni mwanzo wa ufalme wa Hungaria chini ya mtakatifu Stefano wa Hungaria
 • Miji inastawi na kudhoofisha mamlaka ya masharifu
 • Vita vya Hastings: Wiliamu 1027 - 1087 kumshinda mfalme Harold na kuteka Uingereza
                                     
 • Orodha ya Miaka Karne ya 11 Karne ya 12 Karne ya 13 Karne ya 14 Karne ya 15 Miaka ya 1200 Miaka ya 1210 Miaka ya 1220 Miaka ya 1230
 • ya Miaka Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Karne ya 14 KK Karne ya 13 KK Karne ya 12 KK Karne ya 11 KK Karne ya
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Karne ya 3 KK Karne ya 2 KK Karne ya 1 KK Karne ya 1 Karne ya 2
 • Karne ya 16 KK Karne ya 15 KK Karne ya 14 KK Karne ya 13 KK Karne ya 12 KK Karne ya 11 KK Makala hii inahusu milenia ya 2 KK miaka 2000 KK
 • Orodha ya Miaka Karne ya 9 Karne ya 10 Karne ya 11 Miaka ya 960 Miaka ya 970 Miaka ya 980 Miaka ya 990 Miaka ya 1000 Miaka ya 1010
 • Orodha ya Miaka Karne ya 9 Karne ya 10 Karne ya 11 Miaka ya 950 Miaka ya 960 Miaka ya 970 Miaka ya 980 Miaka ya 990 Miaka ya 1000
 • Orodha ya Miaka Karne ya 9 Karne ya 10 Karne ya 11 Miaka ya 880 Miaka ya 890 Miaka ya 900 Miaka ya 910 Miaka ya 920 Miaka ya 930
 • Orodha ya Miaka Karne ya 9 Karne ya 10 Karne ya 11 Miaka ya 900 Miaka ya 910 Miaka ya 920 Miaka ya 930 Miaka ya 940 Miaka ya 950
 • Orodha ya Miaka Karne ya 9 Karne ya 10 Karne ya 11 Miaka ya 890 Miaka ya 900 Miaka ya 910 Miaka ya 920 Miaka ya 930 Miaka ya 940

Users also searched:

...

Habari Katibu Mkuu Kiongozi.

Habari za michezo, ubashiri, matokeo ya michezo, bonasi, odds Suala huu ulifikishwa England na wavamizi kutoka Normandy karne ya 11. Bunge Polis Parliament of Tanzania. HAULE WAKATI WA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA MAFANIKIO YA ZIARA YA MHE. XI 2014 03 27 Mchina Kamatwa kwa Kusafirisha.


...