Back

ⓘ Karne ya 12 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1101 na 1200. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 1101 na kuishia 31 Desemba 1200. Namba zake zinafuata ..
Karne ya 12
                                     

ⓘ Karne ya 12

Karne ya 12 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1101 na 1200. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 1101 na kuishia 31 Desemba 1200. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.

Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii, kama haya yafuatayo.

                                     

1. Watu na matukio

 • Vyuo vikuu vinaenea Ulaya
 • Gengis Khan mtawala wa Wamongolia anaeneza himaya yake Asia na Ulaya
 • Ukoo wa Wakomneni kutoka Konstantinopoli unaeneza utawala wake
 • Saladino, sultani wa Misri, anateka Yerusalemu
                                     
 • ya Miaka Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Karne ya 13 KK Karne ya 12 KK Karne ya 11 KK Karne ya 10 KK Karne ya
 • Orodha ya Miaka Karne ya 13 Karne ya 14 Karne ya 15 Karne ya 16 Karne ya 17 Miaka ya 1400 Miaka ya 1410 Miaka ya 1420 Miaka ya 1430
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Karne ya 3 KK Karne ya 2 KK Karne ya 1 KK Karne ya 1 Karne ya 2
 • ya Miaka Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Karne ya 15 KK Karne ya 14 KK Karne ya 13 KK Karne ya 12 KK Karne ya
 • Karne ya 16 KK Karne ya 15 KK Karne ya 14 KK Karne ya 13 KK Karne ya 12 KK Karne ya 11 KK Makala hii inahusu milenia ya 2 KK miaka 2000 KK
 • Makabila 12 ya Israeli kwa Kiebrania בני ישראל, Bnai Yisraʾel, yaani Wana wa Israeli waliunda taifa la lugha ya Kisemiti katika Mashariki ya Kati, wakiishi
 • ya Miaka Karne ya 10 Karne ya 11 Karne ya 12 Miaka ya 1060 Miaka ya 1070 Miaka ya 1080 Miaka ya 1090 Miaka ya 1100 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 10 Karne ya 11 Karne ya 12 Miaka ya 980 Miaka ya 990 Miaka ya 1000 Miaka ya 1010 Miaka ya 1020 Miaka ya 1030
 • ya Miaka Karne ya 10 Karne ya 11 Karne ya 12 Miaka ya 990 Miaka ya 1000 Miaka ya 1010 Miaka ya 1020 Miaka ya 1030 Miaka ya 1040
 • ya Miaka Karne ya 10 Karne ya 11 Karne ya 12 Miaka ya 1050 Miaka ya 1060 Miaka ya 1070 Miaka ya 1080 Miaka ya 1090 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 10 Karne ya 11 Karne ya 12 Miaka ya 1040 Miaka ya 1050 Miaka ya 1060 Miaka ya 1070 Miaka ya 1080 Miaka ya

Users also searched:

...

SERA YA MALIKALE.

Kilwa Kisiwani pekee kuna magofu ya msikiti wa karne hizo ambao Waswahili katika pwani la Afrika ya Mashariki wakati wa karne za 12 hadi. Tanzania yaporomoka ubora wa vivutio vya utalii vya asili duniani. Aidha, watahiniwa waliochagua vipotoshi D Karne ya 9 na E. Karne ya 12 licha ya kuwa na ufahamu kuwa biashara kati ya. Afrika Mashariki na Bara la Asia. Coffee Wizara ya Kilimo. Scotland na ujumbe wake wataondoka nchini tarehe 12 Agosti, 2017 Jumuiya ya Madola ni Umoja ulioanzishwa mwanzoni mwa karne ya.


...