Back

ⓘ Karne ya 13 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1201 na 1300. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 1201 na kuishia 31 Desemba 1300. Namba zake zinafuata ..
Karne ya 13
                                     

ⓘ Karne ya 13

Karne ya 13 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1201 na 1300. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 1201 na kuishia 31 Desemba 1300. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.

Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii, kama haya yafuatayo.

                                     

1. Watu na matukio

 • Toma wa Akwino 1225 hivi - 1274, anafikisha elimu ya Skolastika kwenye kilele chake
 • Fransisko wa Asizi Asizi, 1182 hivi - 1226, mwanzilishi wa Wafransisko
 • Falme za kitaifa zinajitokeza Ulaya
 • Konstantinopoli unatekwa na watu wa Ulaya magharibi: mwanzo wa Ufalme wa Kilatini wa mashariki
 • Zinaanza benki
 • Marko Polo Venezia, 1254 - 1324, mfanyabiashara na mvumbuzi huko China
 • Ukoo wa Wapaleologi unakomboa Konstantinopoli na kuleta hali mpya ya ustawi
 • Inastawi sanaa ya Kigoti
 • Huko China wanabuni dira
 • Miji yenye bahari ya Italia inatawala Bahari ya Mediteranea, hasa Venezia
 • Gengis Khan 1162 - 1227, anaanzisha kipindi cha pax mongolica, Ulaya inafanya biashara na China
 • Papa Inosenti III anafikisha mamlaka ya Papa upande wa siasa kwenye kilele chake
 • Dominiko wa Guzman kuanzisha shirika la Wahubiri
 • Kaisari Federiko II anastawisha sanaa akitawala huko Palermo Sisilia
                                     
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Karne ya 3 KK Karne ya 2 KK Karne ya 1 KK Karne ya 1 Karne ya 2
 • Karne ya 16 KK Karne ya 15 KK Karne ya 14 KK Karne ya 13 KK Karne ya 12 KK Karne ya 11 KK Makala hii inahusu milenia ya 2 KK miaka 2000 KK
 • ya Miaka Milenia ya 1 Milenia ya 2 Milenia ya 3 Karne ya 11 Karne ya 12 Karne ya 13 Karne ya 14 Karne ya 15 Karne ya 16 Karne ya
 • ya Miaka Karne ya 12 Karne ya 13 Karne ya 14 Miaka ya 1250 Miaka ya 1260 Miaka ya 1270 Miaka ya 1280 Miaka ya 1290 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 11 Karne ya 12 Karne ya 13 Miaka ya 1090 Miaka ya 1100 Miaka ya 1110 Miaka ya 1120 Miaka ya 1130 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 11 Karne ya 12 Karne ya 13 Miaka ya 1140 Miaka ya 1150 Miaka ya 1160 Miaka ya 1170 Miaka ya 1180 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 11 Karne ya 12 Karne ya 13 Miaka ya 1110 Miaka ya 1120 Miaka ya 1130 Miaka ya 1140 Miaka ya 1150 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 11 Karne ya 12 Karne ya 13 Miaka ya 1160 Miaka ya 1170 Miaka ya 1180 Miaka ya 1190 Miaka ya 1200 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 11 Karne ya 12 Karne ya 13 Miaka ya 1150 Miaka ya 1160 Miaka ya 1170 Miaka ya 1180 Miaka ya 1190 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 12 Karne ya 13 Karne ya 14 Miaka ya 1240 Miaka ya 1250 Miaka ya 1260 Miaka ya 1270 Miaka ya 1280 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 12 Karne ya 13 Karne ya 14 Miaka ya 1230 Miaka ya 1240 Miaka ya 1250 Miaka ya 1260 Miaka ya 1270 Miaka ya

Users also searched:

...

Eneo la Kilwa Kisiwani na Songo Mnara Tovuti Kuu ya Serikali.

Wikendi iliyopita nilipata fursa ya kutembelea mji wa Kilwa Masoko na Kuanzia karne ya 13 na 14 BK Kilwa ikawa muhimu zaidi kuliko. Magofu ya Kilwa yanatambulisha ustaarabu wa Pwani Habarileo. Wa kale sana kiasi kwamba hawakumbuki hasa ni wa miaka gani lakini walioweza kutunza angalau historia ni kuanzia karne ya 13 lakini nao waliukuta ukiwa. JAJI MKUU: TUMIENI ELIMU YA SHERIA KIUJASIRIAMALI. Soroveya iliyofanyika ndani ya bahari na maeneo ya fukwe za mwambao wa Kilwa ilihali meli nyingine ilizama kati ya karne ya kumi na tatu na ya kumi na sita. been dated from associated pottery to c.8th–10th century and the 13th–​16th. Taarifa ya Kikao Kazi cha Pili cha Serikali Mtandao 2019 Taarifa ya. Bandari kubwa, Kilwa Kisiwani, ilitumika kuanzia karne ya 9 mpaka karne ya 19 na ilifikia kilele cha ustawi katika karne ya 13 na 14. Mwaka 1331 1332 msafiri. MUHTASARI WA RIPOTI YA HAKI ZA BINADAMU LHRC. Ligi ya Mabingwa Ulaya leo: Arsenal vs Bayern na Real Madrid dhidi ya Napoli kupoteza mara tatu dhidi ya Washika Mtutu wa London katika karne hii. Bayern wametwaa ubingwa wa 2013 13 na Carlo Ancelotti anataka.


...