Back

ⓘ Karne ya 15 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1401 hadi 1500. Kikamilifu kilianza tar. 1 Januari 1401 na kuishia 31 Desemba 1500. Namba zake zinafuata ..
Karne ya 15
                                     

ⓘ Karne ya 15

Karne ya 15 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1401 hadi 1500. Kikamilifu kilianza tar. 1 Januari 1401 na kuishia 31 Desemba 1500. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu - hali halisi maendeleo na mabadiiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.

Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii.

                                     

1. Watu na matukio

 • Johann Gutenberg, anabuni uchapishaji kwa herufi za kuhamishwahamishwa
 • Leonardo wa Vinci, mwanasayansi na mwanasanaa bora
 • Kristoforo Kolumbus, anafungua njia za baharini kati ya Ulaya na Amerika
 • Huko Amerika ustaarabu wa Waazteki Meksiko na wa Wainkas Peru
 • Wakristo wanamaliza kuteka tena Hispania kutoka utawala wa Uislamu 1492
 • Mwisho wa Dola la Bizanti 1453; Waturuki wanaenea Ulaya mashariki kusini
 • Mwisho wa Vita vya miaka mia
 • Ulaya kutoka Karne za kati inaingia hali mpya kuanzia Italia
                                     
 • ya Miaka Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Karne ya 15 KK Karne ya 14 KK Karne ya 13 KK Karne ya 12 KK Karne ya
 • Karne ya 16 KK Karne ya 15 KK Karne ya 14 KK Karne ya 13 KK Karne ya 12 KK Karne ya 11 KK Makala hii inahusu milenia ya 2 KK miaka 2000 KK
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Milenia ya 1 Karne ya 10 KK Karne ya 9 KK Karne ya 8 KK Karne ya 7 KK Karne ya 6 KK
 • ya Miaka Karne ya 14 Karne ya 15 Karne ya 16 Miaka ya 1380 Miaka ya 1390 Miaka ya 1400 Miaka ya 1410 Miaka ya 1420 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 14 Karne ya 15 Karne ya 16 Miaka ya 1450 Miaka ya 1460 Miaka ya 1470 Miaka ya 1480 Miaka ya 1490 Miaka ya
 • ya Miaka Milenia ya 1 Milenia ya 2 Milenia ya 3 Karne ya 11 Karne ya 12 Karne ya 13 Karne ya 14 Karne ya 15 Karne ya 16 Karne ya
 • ya Miaka Karne ya 14 Karne ya 15 Karne ya 16 Miaka ya 1370 Miaka ya 1380 Miaka ya 1390 Miaka ya 1400 Miaka ya 1410 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 14 Karne ya 15 Karne ya 16 Miaka ya 1390 Miaka ya 1400 Miaka ya 1410 Miaka ya 1420 Miaka ya 1430 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 14 Karne ya 15 Karne ya 16 Miaka ya 1400 Miaka ya 1410 Miaka ya 1420 Miaka ya 1430 Miaka ya 1440 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 14 Karne ya 15 Karne ya 16 Miaka ya 1430 Miaka ya 1440 Miaka ya 1450 Miaka ya 1460 Miaka ya 1470 Miaka ya

Users also searched:

...

Afrika Njia Panda: Matokeo ya Vita Baridi yajirudia katikati ya.

Ambapo kwenye maelezo yao walidai kuwa, kwenye miaka 1400KK, yaani karne ya 15 kabala ya kuzaliwa kwa Kristo, Ufalme wa Misri chini. LUGHA YA KIARABU, ILIKOTOKA ILIPO NA INAKOELEKEA!. Karne ya 21. Karne ya ishirini imeshuhudia ongezeko kubwa la idadi ya wazee​. Kwa inayohusika na huduma hiyo itoe ruksa license ya kutoa huduma. 15. URITHI WA KIHISTORIA ULIOACHWA KILWA KISIWANI Mtanzania. Ya Matumizi ya fedha kwa Wizara ya Maliasili na Utalii na Taasisi zilizo chini yake kwa mwaka 2011 2012. 2. 15. Mheshimiwa Spika, Jitihada za kuboresha makazi ya watumishi katika maeneo ya hifadhi karne ya 10. Sarafu hizi zikiwemo. Historia Ya Afrika. Maendeleo ya sekta ya umeme Zanzibar yalianza kuimarika mnamo karne ya 20 and the project will support for a publicly solar park with a 10 15MW solar PV. TemboNEWs KISWAHILI Web CRDB Bank. Kitabu cha mafunzo kwa wakulima kuhusu kilimo bora cha tumbaku ya mvuke Picha 15:Mmea uliokatwa kitumba cha maua. mwishoni mwa karne ya 15.


...