Back

ⓘ Karne ya 16 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1501 hadi 1600. Kikamilifu kilianza tar. 1 Januari 1501 na kuishia 31 Desemba 1600. Namba zake zinafuata ..
Karne ya 16
                                     

ⓘ Karne ya 16

Karne ya 16 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1501 hadi 1600. Kikamilifu kilianza tar. 1 Januari 1501 na kuishia 31 Desemba 1600. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu - hali halisi maendeleo na mabadiiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.

Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii.

                                     

1. Watu na matukio

 • Fransisko Bacone, mwanafalsafa
 • Martin Luther Eisleben, 1483 - 1546; mwanzo na uenezi wa Uprotestanti
 • Vita vya madhehebu Ulaya
 • William Shakespeare, mwanafasaha bora wa Kiingereza
 • Teresa wa Yesu na Yohane wa Msalaba wanarekebisha Wakarmeli
 • Ignas wa Loyola, mwanzilishi wa Wajesuiti
 • Michelangelo Buonarroti, mwanasanaa bora
 • Kalenda ya Gregori
 • Urekebisho wa Kanisa na Mtaguso wa Trento
 • Koperniki, mwanasayansi
 • Elizabeti I, Malkia wa Uingereza, anaanzisha ukoloni
 • Erasmo wa Rotterdam 27 Oktoba 1466/1469 - Basel 12 Julai 1536
                                     
 • ya Miaka Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Karne ya 20 KK Karne ya 19 KK Karne ya 18 KK Karne ya 17 KK Karne ya 16 KK
 • ya Miaka Karne ya 14 Karne ya 15 Karne ya 16 Miaka ya 1380 Miaka ya 1390 Miaka ya 1400 Miaka ya 1410 Miaka ya 1420 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 14 Karne ya 15 Karne ya 16 Miaka ya 1450 Miaka ya 1460 Miaka ya 1470 Miaka ya 1480 Miaka ya 1490 Miaka ya
 • ya Miaka Milenia ya 1 Milenia ya 2 Milenia ya 3 Karne ya 11 Karne ya 12 Karne ya 13 Karne ya 14 Karne ya 15 Karne ya 16 Karne ya
 • ya Miaka Karne ya 14 Karne ya 15 Karne ya 16 Miaka ya 1370 Miaka ya 1380 Miaka ya 1390 Miaka ya 1400 Miaka ya 1410 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 16 Karne ya 17 Karne ya 18 Miaka ya 1590 Miaka ya 1600 Miaka ya 1610 Miaka ya 1620 Miaka ya 1630 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 14 Karne ya 15 Karne ya 16 Miaka ya 1390 Miaka ya 1400 Miaka ya 1410 Miaka ya 1420 Miaka ya 1430 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 14 Karne ya 15 Karne ya 16 Miaka ya 1400 Miaka ya 1410 Miaka ya 1420 Miaka ya 1430 Miaka ya 1440 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 14 Karne ya 15 Karne ya 16 Miaka ya 1440 Miaka ya 1450 Miaka ya 1460 Miaka ya 1470 Miaka ya 1480 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 16 Karne ya 17 Karne ya 18 Miaka ya 1570 Miaka ya 1580 Miaka ya 1590 Miaka ya 1600 Miaka ya 1610 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 14 Karne ya 15 Karne ya 16 Miaka ya 1460 Miaka ya 1470 Miaka ya 1480 Miaka ya 1490 Miaka ya 1500 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 14 Karne ya 15 Karne ya 16 Miaka ya 1430 Miaka ya 1440 Miaka ya 1450 Miaka ya 1460 Miaka ya 1470 Miaka ya

Users also searched:

...

STD VII MAARIFA JAMII ONLINE NECTA TESTS.

Wana akiolojia wamegundua kaburi lenye miili ya mwanamke na watoto wake, waliokuwa wamehifadhiwa karne kadhaa zilizopita. Kaburi hilo linaloaminika. Eneo la Kilwa Kisiwani na Songo Mnara Tovuti Kuu ya Serikali. Wanaikolojia na wachimbuzi wa miili ya watu wa kale nchini Italy Mabaki hayo hayakugunduliwa hadi karne ya 16, na uchunguzi. Untitled University of Dar es Salaam Journal Systems. Kabla ya ujio wa wakoloni katikati ya karne ya kumi na tisa, jamii za Tanzania ya mashirika mbalimbali kuchapisha na kusambaza maandiko katika lugha ya. 16​. Jarida la Jarida la Wajibu Institute. Vii makubaliano katika mkutano mkuu wa UNESCO karne ya 21 Paris 16. 5.1.​2 Serikali itaimarisha uratibu wa utoaji wa elimu baina ya.


...