Back

ⓘ Masadukayo waliunda madhehebu muhimu ya dini ya Uyahudi wakati wa Yesu Kristo. Walikuwa na nguvu hasa kati ya makuhani. Ndiyo maana waliishiwa nguvu hekalu la Y ..
                                     

ⓘ Masadukayo

Masadukayo waliunda madhehebu muhimu ya dini ya Uyahudi wakati wa Yesu Kristo. Walikuwa na nguvu hasa kati ya makuhani. Ndiyo maana waliishiwa nguvu hekalu la Yerusalemu lilipoangamizwa na Warumi pamoja na mji mzima mwaka 70 B.K.

Walikubali Torati ya Musa tu, na kukataa vitabu vingine vyote vya Biblia. Kwa msingi huo, walikataa mafundisho yaliyoletwa na manabii, kama vile juu ya ufufuo wa wafu na uzima wa milele. Katika hilo waligongana na Mafarisayo na Yesu ambaye, kadiri ya Injili, ndio waliohusika zaidi na kifo chake.

                                     
  • kamili katika suala la vitabu vingine Wayahudi bado walitofautiana, k.mf. Masadukayo walikataa hata vile vya Manabii. Sehemu kubwa ya Wayahudi nje ya Israeli
  • Mafundisho yake yalilingana na yale ya Mafarisayo kuliko na yale ya Masadukayo lakini alishindana pia na hao wa kwanza. Kijicho na upinzani vikazidi
  • Matakatifu. Pia walishindana sana na Masadukayo kuhusu masuala ya dini na ya siasa hata kusababisha mauaji kwa kuwa Masadukayo waliokuwa na nguvu kati ya makuhani

Users also searched:

...

JE WAJUA NINI JUU YA MFALME HERODE? Gospel Kitaa.

Sambamba na wazee hao mabingwa wa Sheria au Masadukayo kama wanavyotajwa kwenye maandiko matakatifu, aliyekuwa waziri mmoja. Nani kabadili nguvu dunia nyeusi kwa rangi nyeupe? Gazeti la Rai. Dhehebu mojawapo kubwa la wakati huo, Masadukayo, walikataa uwepo ​uhalisia wa ufufuo Matt. 33. Hata wanafunzi wake Bwana Yesu walikuwa​. Tofauti ya mafarisayo na masadukayo JamiiForums. 18 Kisha Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza na kusema. 19 Mwalimu, Musa alituandikia. Waraka wangu kwa wanufaika wa IPTL IPPMEDIA. Wa madhehebu ya Masadukayo, wamejaa wivu,wakawakamata mitume wakawaweka ndani ya gereza lakini malaika wa Bwana akafungua.


...