Back

ⓘ Mtaguso wa kwanza wa Lyon uliitishwa na Papa Inosenti IV tarehe 24 Juni 1245 akiwa huko Lyon, alipokimbilia usalama. Waliushiriki karibu viongozi 150 wa Kanisa ..
Mtaguso wa kwanza wa Lyon
                                     

ⓘ Mtaguso wa kwanza wa Lyon

Mtaguso wa kwanza wa Lyon uliitishwa na Papa Inosenti IV tarehe 24 Juni 1245 akiwa huko Lyon, alipokimbilia usalama. Waliushiriki karibu viongozi 150 wa Kanisa Katoliki, ambalo linauhesabu kuwa mtaguso mkuu wa 13.

                                     

1. Mazingira

Baada ya mashindano makali kati ya mamlaka ya kiroho ya Papa na ile ya kisiasa ya kaisari huko Ulaya, mtaguso huo uliitishwa ili kumhukumu moja kwa moja kaisari Federiko II kuwa Mpinga Kristo.

                                     

2. Kazi ya mtaguso na maamuzi yake

Mtaguso ulianza tarehe 28 Juni 1245 wakiwepo maaskofu 144, halafu ukawa na vikao viwili vingine tena tarehe 5 Julai na 17 Julai. Hatimaye maaskofu walikuwa 225.

Mwanzoni Papa alitangaza matatizo 5 yanayotesa Kanisa:

 • kujitokeza hatari ya kuvamiwa na Watartari;
 • kupambana na Federiko II.
 • kuharibika kwa imani na maadili;
 • kudumu kwa farakano la Waorthodoksi;
 • kushindwa kuikomboa Nchi takatifu Yerusalemu ulitekwa tena na Waturuki mwaka 1244;

Maamuzi yalitangazwa tarehe 25 Agosti tu, baada ya papa na wasaidizi wake kurekebisha miswada, yakapokewa na kufafanuliwa na vyuo vikuu. Lakini uamuzi wa kumuondoa madarakani kaisari haukuweza kutekelezwa hata kwa vita.

                                     

3. Viungo vya nje

 • "Kanuni zilizotolewa na mtaguso huo.
 • Mtaguso wa kwanza wa Lyon katika Catholic Encyclopedia.
                                     
 • wake. Halafu papa alikusudia kuendeleza juhudi za urekebisho za Mtaguso wa kwanza wa Laterano. Hivyo zikapitishwa kanuni 30, ambazo nyingi kati yake zilikuwa
 • Alishiriki Mtaguso wa kwanza wa Lyon 1245 kama mtaalamu. Mwaka 1247 katika mkutano mkuu wa shirika ulioagizwa na Papa walimuondoa madarakani Kreshensi wa Iesi
 • II kufuatana na Mtaguso wa pili wa Vatikano. Kanuni zote za Mkusanyo huo katika Tovuti ya Vatikani Kamati ya Papa kwa Ufafanuzi Rasmi wa Sheria za Kanisa
 • na Papa au Mtaguso Mpaka sasa, katika miaka karibu 2000 ya historia ya Kanisa wanaume 32 na wanawake 4 tu wamepewa heshima hiyo. Wa kwanza kutangazwa
 • hivi. Hakuna habari nyingi za hakika kuhusu maisha yake. Mfanyabiashara wa Lyon Ufaransa, aliongoka kwa kuacha mali yake na kushika ufukara. Alianza pia
 • aliitisha mtaguso mkuu wa kwanza uliofanyika mwaka 325 huko Nisea. Mtaguso huo ulitunga kanuni ya imani iliyokiri kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu kwa maana
 • kwa mwanzilishi wa Wavaldo, tapo la Ukristo la Karne za Kati. Hakuna habari nyingi za hakika kuhusu maisha yake. Mfanyabiashara wa Lyon Ufaransa, aliongoka
 • ya viongozi wa Kanisa hivyo waliwasaidia wasikamatwe. Uzushi wa aina nyingine ulianza muda mfupi baadaye karne XI hiyohiyo huko Lyon Ufaransa Kusini
 • Fransisko wa Sales Thorens - Glières, leo nchini Ufaransa, 21 Agosti 1567 - Lyon Ufaransa, 28 Desemba 1622 alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kwa jimbo
 • kwanza na Papa Gregori XIII mwaka 1584. Limetolewa upya mwaka 2001 halafu 2004 kwa kuzingatia zaidi ushahidi wa historia kama ulivyoagiza Mtaguso wa pili
 • imani kuhusu umwilisho wa Mwana wa Mungu, akiwahi kutumia misamiati iliyokuja kupitishwa na Mtaguso wa Kalsedonia 451 uwepo wa hali mbili ya Kimungu
 • Italia, 1217 hivi Lyon Ufaransa, 15 Julai 1274 alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo, halafu padri, askofu na kardinali. Mtu wa sala na utendaji
 • maandishi pia. Bonaventura akafa akiwa Kardinali askofu, wakati wa Mtaguso II wa Lyon ambao ulihatarisha mashirika ya Ombaomba, lakini hatimaye ulipitisha

Users also searched:

...

FAHAMU MAANA YA MTAGUSO Radio Maria Tanzania.

Karibuni ulikuwa Mtaguso wa pili wa Vatikano uliofanyika Roma kati ya 1962 na 1965 na kuleta hali Mtaguso wa kwanza wa Lyon 1245 14. Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate Like. Kwanza ni huo mtaguso wa awali ambao nimesema baadhi ya wataalamu wa mambo ya kanisa hawautambui. Mtaguso wa Lyon II 1274.


...