Back

ⓘ Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli ndio wa pili katika orodha ya mitaguso ya kiekumene ya Kanisa wakati wa mababu wake. Uliitishwa na kaisari Theodosius I uka ..
Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli
                                     

ⓘ Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli

Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli ndio wa pili katika orodha ya mitaguso ya kiekumene ya Kanisa wakati wa mababu wake. Uliitishwa na kaisari Theodosius I ukafanyika Konstantinopoli mwaka 381.

Maaskofu 150 waliohudhuria walilaani aina mbalimbali za uzushi, hasa ule wa Masedoni wa Konstantinopoli aliyekanusha umungu wa Roho Mtakatifu, wakathibitisha maamuzi ya mtaguso mkuu wa kwanza Mtaguso wa kwanza wa Nisea, uliofanyika mwaka 325.

Hivyo walikiri kwamba Roho Mtakatifu pia, kama vile Yesu Mwana wa Mungu, anachanga dhati ileile ya Baba.

Pamoja na hayo, walikamilisha kanuni ya imani ya Nisea ambayo kwa sababu hiyo inaitwa sasa kanuni ya imani ya Nisea-Konstantinopoli na ambayo inatumika sana hata leo katika madhehebu mbalimbali ya Ukristo, hasa katika liturujia.

                                     
 • wake. Halafu papa alikusudia kuendeleza juhudi za urekebisho za Mtaguso wa kwanza wa Laterano. Hivyo zikapitishwa kanuni 30, ambazo nyingi kati yake zilikuwa
 • Mtaguso wa Trento uliofanyika kwa kwikwi kuanzia mwaka 1545 hadi 1563 unahesabiwa na Kanisa Katoliki kuwa mtaguso mkuu wa kumi na tisa. Miaka hiyo maaskofu
 • mkuu wa mji huo kuanzia mwaka 360 hadi kifo chake ingawa alifukuzwa mara tatu kwa kupinga Uario. Alifariki akiwa anasimamia mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli
 • Kanisa la Roma na la kwanza Mashariki kote dhidi ya Kanisa la Konstantinopoli lililopendelewa na Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli 381 Hata hivyo mwaka
 • kiekumeni ya kwanza Mtaguso wa kwanza wa Nisea na Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli ilitungwa ikapanuliwa kanuni ya imani ya Nisea - Konstantinopoli iliyotakiwa
 • Sifa hizo zilitajwa na Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli 381 uliporefusha Kanuni ya Imani iliyotungwa na Mtaguso wa kwanza wa Nisea 325 Ndiyo sababu
 • Nisea Konstantinopoli iliyotungwa mwaka 325 katika Mtaguso wa kwanza wa Nisea na kukamilishwa mwaka 381 katika Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli Ndiyo
 • mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli 383 ambao ni wa pili kati ya mitaguso ya kiekumene, nao ukasisitiza na kukamilisha imani ya mtaguso wa kwanza
 • mwaka 381 na Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli uliothibitisha na kuongezea ungamo la Nisea katika Kanuni ya imani ya Nisea - Konstantinopoli Mwaka 383
 • uzushi wa Ario kwenye imani ya Mtaguso wa kwanza wa Nisea na ya Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli Katika hilo alifurahia sana wongofu wa Hermenegild
 • Desemba 1965 alifunga rasmi mtaguso Paulo VI alikuwa Papa wa kwanza kusafiri kwa ndege akaenda mpaka nchi ya mbali, akiwa wa kwanza kwenda Israeli na kutembelea
 • kuhakikisha kwamba atambuliwe hivyo na Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli mnamo Mei 381. Majadiliano katika huo mtaguso mkuu yalikuwa makali hata dhidi yake

Users also searched:

...

Papa Francis afanya marekebisho ya Sheria za Kanisa Katoliki.

Kanisa Katoliki likiwa la zamani Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki Konstantinopoli, Aleksandria, Antiokia na Yerusalemu ulisababisha mafarakano Mbele ya changamoto hizo, Mtaguso wa pili wa Vatikano. FAHAMU MAANA YA MTAGUSO Radio Maria Tanzania. Mtaguso ni mkutano wa viongozi wa Kanisa hasa Baba Mtakatifu, Makardinali, ma Askofu Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli 381 3.


...