Back

ⓘ Zama za Chuma katika historia kilikuwa kipindi kirefu baada ya watu kuanza kutumia vifaa vya chuma. Kabla yake, walikuwa wakitumia vifaa vya shaba na awali mawe ..
Zama za Chuma
                                     

ⓘ Zama za Chuma

Zama za Chuma katika historia kilikuwa kipindi kirefu baada ya watu kuanza kutumia vifaa vya chuma. Kabla yake, walikuwa wakitumia vifaa vya shaba na awali mawe yaliyochongwa tu.

Sehemu nyingi za Ulaya, Afrika na Asia walifikia Zama hizi za Chuma kunako mwaka wa 500 KK. Kwa upande wa Ulaya, ni kipindi cha kabla ya historia, kwa sababu watu wa Zama za Chuma hawakuwa wakiandika kumbukumbu zao.

                                     

1. Uhunzi

Chuma ni rahisi kukipata, lakini ni vigumu sana kukitengenezea vifaa. Inabidi kukiyeyusha kwa halijoto ya juu kuliko shaba. Watu waliojifunza namna ya kutengeneza vifaa kwa kutumia chuma walikuwa na uwezo wa kufanya vitu vingi sana kwa vyuma hivyo.

Hii inamaanisha kwamba tabia za watu hubadilika. Kwa mfano, watu wengi wana uwezo zaidi wa kumiliki jembe la chuma. Wameweza kulima mashamba yao vizuri na mazao kukua vyema kabisa.

Baadhi ya watu walibuni sarafu ili kusaidia kununua na kuuza mazao yao na vifaa vyao vya chuma.

                                     
  • karibu 4500 KK, basi Umri wa kati wa zama za mwisho na zama za chuma ulianza karibu 3500 KK, ukibadilisha tamaduni za Neolithic. Ustaarabu wa wahindi ulikuwa
  • mawe ili kujenga misuli lilifanyika zama za kale nchini Misri, Ugiriki na Tamilakam. Upande wa magharibi katika nchi za Ulaya zoezi hili lilinawiri kati
  • kiakiolojia wa kuwepo kwa watu waliopamba mapango ya makazi kwenye zama za mawe. Taarifa za kihistoria zinaanza baada ya Vasco da Gama kugundua njia ya kupita
  • Historia ya awali Zama za Mawe Zama za Shaba Zama za Chuma Mesopotamia Misri ya Kale Ugiriki ya Kale Dola la Roma Zama za Mwangaza Azteki
  • katika sheria au desturi za Kiyahudi, uongo wa aina hii mara nyingi unaohusiana na mauaji ya watoto ulitumika sana katika Zama za Kati kuhalalisha mateso
  • kuwa watu wa Nok walikuwa watangulizi wa Wayoruba wa leo. Walitumia chuma katika zana za kuyeyusha na kughushi kuanzia angalau mwaka 550 KK, na labda mapema
  • za Kiitalia ni jina la kundi la lugha za kale zilizotumika hasa katika rasi ya Italia. Kundi hilo linaainishwa kama mojawapo kati ya yale ya lugha za
  • mazingira na hali ya msongamano mkubwa ulikuwa katika Ulaya na Asia wakati wa Zama za Kati, mara kwa mara katika janga kusababisha mlipuko kama vile ugonjwa
  • vikubwa vilivyoteng enezwa kwa kusuka matete pamoja kwa kutumia kamba za miyombo ambayo zama hizo zilipatikana kwa wingi karibu karibu na vijiji vyao. Mpaka
  • la Sahara. Kulingana na Umoja wa Mataifa, eneo hili linajumuisha nchi zote za Afrika ambazo ziko kusini mwa Sahara. Eneo hili linatofautiana na Afrika Kaskazini

Users also searched:

...

Colossal Vikings inakupa upepo katika sehemu ya nyuma na bonasi.

Hizo ni zama ambazo Dixon, Adams, Bould au Keown na Winterburn ukuta tishio wa Arsenal siku za mwanzo za Wenger katika timu hiyo. WIMBO MPYA WA MAGUFULI CHUMA KUTOKA KWA. UGUNDUZI WA MABAKI YA MWANADAMU KATIKA BARAFU ZA mtu waliomdhania bali ni mabaki ya mtu kutoka zama za chuma yaani. Mchezo Hangnun Online. Kucheza mchezo bure Hangnun online. Swali, umejiandaeje kulinda taaluma yako dhidi ya zama hizi za mashine kama viwanda vya saruji na chuma ambavyo vinahitaji mtaji mkubwa wa kifedha.


...