Back

ⓘ Mtaguso wa tatu wa Konstantinopoli unahesabiwa na Wakristo wengi kuwa wa sita kati ya Mitaguso ya kiekumene. Uliitishwa tarehe 7 Novemba 680 ukafungwa tarehe 16 ..
Mtaguso wa tatu wa Konstantinopoli
                                     

ⓘ Mtaguso wa tatu wa Konstantinopoli

Mtaguso wa tatu wa Konstantinopoli unahesabiwa na Wakristo wengi kuwa wa sita kati ya Mitaguso ya kiekumene.

Uliitishwa tarehe 7 Novemba 680 ukafungwa tarehe 16 Septemba 681.

Kaisari Konstantino IV wa Konstantinopoli ndiye aliyeuitisha na kuuendesha kuanzia tarehe 7 Novemba 680 hadi tarehe 16 Septemba 681.

Suala kuu lililosumbua Wakristo wa karne VII lilimhusu Yesu Kristo upande wa utashi. Ulikuwa unaenea mtazamo wa kwamba hakuwa na utashi wa kibinadamu, bali ule wa Kimungu tu.

Lakini wamonaki Sofronio wa Yerusalemu na Maksimo Muungamadini walipinga vikali jaribio hilo la kuleta upatanisho wa Waorthodoksi wa Mashariki Wamisri n.k. kwa kumpunguza Yesu katika ubinadamu wake kamili uliosisitizwa na Mtaguso wa Kalsedonia 451.

Vilevile Papa Martin I 649-655, katika mtaguso uliofanyika Laterani, alilaani mtazamo huo, kinyume cha Kaisari na Patriarki wa Konstantinopoli.

Katika Mtaguso wa tatu wa Konstantinopoli Konstantino IV wa Bizanti alikubaliana na Papa Agatoni 678-681, na hivyo Mtaguso wa tatu wa Konstantinopoli ulilaani rasmi mtazamo wa kwamba Yesu hakuwa na utashi wa kibinadamu.

                                     
 • ya kwanza Mtaguso wa kwanza wa Nisea na Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli ilitungwa ikapanuliwa kanuni ya imani ya Nisea - Konstantinopoli iliyotakiwa
 • sahihi: alikatwa mkono wa kulia na ulimi asiweze kuendelea kuitetea wala kwa maandishi wala kwa sauti. Mtaguso wa tatu wa Konstantinopoli ulimpa ushindi baada
 • Sifa hizo zilitajwa na Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli 381 uliporefusha Kanuni ya Imani iliyotungwa na Mtaguso wa kwanza wa Nisea 325 Ndiyo sababu
 • mpya katika ekumeni, kama alipokubaliana na Patriarki Atenagora I wa Konstantinopoli kufuta hati za mwaka 1054 zilizotenganisha Wakatoliki na Waorthodoksi
 • waamini. Mwaka 381 alishiriki Mtaguso I wa Konstantinopoli akitoa mchango mkubwa. Baada ya hapo, usahihi wa imani yake, uhalali wa uaskofu wake na stahili za
 • baada ya Roma hadi mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli ulioiacha nafasi ya tatu kwa kupendelea Konstantinopoli Hata upande wa elimu ya teolojia Aleksandria
 • ya Origen. Baadaye Gregori akarudi kwao. Basili alishiriki Mtaguso wa Konstantinopoli wa mwaka 360 alipokubali neno homoiousios kama sahihi kuelezea
 • hatujaeleza umisionari wa Ndugu Wadogo, tuangalie juhudi zao kwa ajili ya umoja kati ya Waortodoksi na Kanisa la Roma. Kabla Konstantinopoli haujatekwa na Waturuki
 • Nisea - Konstantinopoli ya mwaka 381: Nasadiki Kanisa moja, takatifu, katoliki, la Mitume. Barua zilizoandikwa na Ignas wa Antiokia kwa Wakristo wenzake wa
 • Mtaguso mkuu wa Konstanz Ujerumani ulifaulu kuwaondoa wote watatu na kumchagua Papa mpya, Martin V. Farakano la magharibi liliisha kwa Mtaguso wa Konstanz
 • fomula rasmi ambayo ilipitishwa na Mtaguso wa kwanza wa Nisea 325 ikakamilishwa na Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli 381 ili kubainisha imani sahihi

Users also searched:

...

FAHAMU MAANA YA MTAGUSO Radio Maria Tanzania.

Mtaguso ni mkutano wa viongozi wa Kanisa hasa Baba Mtakatifu, Makardinali, ma Askofu pamoja na Mtaguso wa tatu wa Konstantinopoli.


...