Back

ⓘ Al Jazeera English ni stesheni ya runinga ya kutangaza habari na taarifa za mambo leo masaa ishirini na nne kwa lugha ya Kiingereza iliyo na makao yake makuu ni ..
Al Jazeera
                                     

ⓘ Al Jazeera

Al Jazeera English ni stesheni ya runinga ya kutangaza habari na taarifa za mambo leo masaa ishirini na nne kwa lugha ya Kiingereza iliyo na makao yake makuu ni mjini Doha, Qatar.

Stesheni hii huonyesha habari za makala na uchambuzi, mijadala, taarifa za mambo leo, biashara, teknolojia, na michezo. Wao hudai kuwa stesheni ya kwanza ya kimataifa inayotangaza kwa mtandao wa kisasa high-definition. Kauli yake mbiu ni Setting the News Agenda.

Hii ni stesheni ya kwanza inayotangaza kwa lugha ya Kiingereza iliyo na makao yake makuu kwenye nchi iliyo Mashariki ya Kati.

Al Jazeera ina vituo vinne vikuu kote duniani, mjini London, Washington, DC, Kuala Lumpur na Doha. Ina milikiwa na serikali ya Qatar. Hii ni moja kati ya stesheni chache iliyo na ofisi zake mjini Gaza na Harare.

                                     

1. Uzinduzi

Al Jazeera ilianzishwa mnamo 15 Novemba 2006. Stesheni hii ilikuwa iitwe Al Jazeera International lakini hili jina lilibadilishwa miezi tisa kabla ya uzinduzi.

Stesheni hii ililenga kufikia nyumba milioni 40, lakini ilipitisha lengo hili kwa kuweza kufikia nyumba milioni 80.

                                     

2. Vipindi

 • 48 - inayotangazwa na Amanda Palmer mwandishi habari na huonyesha jinsi maisha yanavyokwenda katika miji tofauti tofauti.
 • Inside Iraq - inayotangazwa na Jasim Al-Azzawi, ni kipindi cha mahojiano kuhusu siasa za nchi yz Iraki
 • The Fabulous Picture Show FPS - inayotangazwa na Amanda Palmer kipindi kiachozungumzia kuhusu uigizaji na sanaa.
 • 101 East - ni kipindi kinachoonyeshwa mara moja kwa wiki, ikitangazwa na Teymoor Nabili. Maudhui yake ni kama siasa nchini Asia, biashara na habari za mambo leo.
 • Frost Over The World - inayotangazwa na David Frost ni kipindi cha mahojiano kuhusu mambo leo.
 • Everywoman - inayotangazwa na Shiulie Ghosh, na hueleza kuhusu pilkapilka za wanawake nchini Mashariki ya Kati.
                                     

3. Ofisi za kimataifa

Kando na vituo vyake vinne, Al Jazeera ina ofisi zingine 21.

Afrika

Ofisi: mjini Cairo, Abidjan, Nairobi, Johannesburg, na Harare.

Wanahabari: Amr El Kahky, Haru Mutasa, Mohammed Adow, Mohamad Vall, Yvonne Ndege

                                     

3.1. Ofisi za kimataifa Mashariki ya Kati

Kituo cha Kutangaza: Doha Watangazaji habari: Jane Dutton, David Foster, Imran Garda, Shiulie Ghosh, Darren Jordon, Maryam Nemazee, Sohail Rahman, Kamahl Santamaria, Lauren Taylor, Sami Zeidan, Hoda Abdel-Hamid, Hashem Ahelbarra, James Bays, John Cookson, Clayton Swisher, Sherine Tadros, Nadim Baba, Imran Kahn, na Mike Hanna.

Ofisi na watangazaji wake Beirut: Rula Amin, Zeina Khodr Jerusalem: Jacky Rowland Gaza: Ayman Mohyeldin na Sherine Tadros Ramallah: Nour Odeh Tehran: Alireza Ronaghi

                                     

3.2. Ofisi za kimataifa Afrika

Ofisi: mjini Cairo, Abidjan, Nairobi, Johannesburg, na Harare.

Wanahabari: Amr El Kahky, Haru Mutasa, Mohammed Adow, Mohamad Vall, Yvonne Ndege

                                     

3.3. Ofisi za kimataifa Marekani

Kituo cha utangazaji: Washington DC Wanahabari: Ghida Fakhry, Anand Naidoo, Shihab Rattansi, Rosiland Jordan, Nick Spicer, Kimberly Halkett na Rob Reynolds

Ofisi na wanahabari wake: Bogota: Monica Villamizar Buenos Aires: Lucia Newman, Teresa Bo Caracas: Mariana Sanchez and Lucrecia Franco New York: Kristen Saloomey, John Terret Mexico City: Franc Contreras Sao Paulo: Gabriel Elizondo

                                     

3.4. Ofisi za kimataifa Asia and Australasia

Kituo cha utangazaji: mjini Kuala Lumpur Wanahabari: Teymoor Nabili, Divya Gopalan, Laura Kyle, Veronica Pedrosa, Tony Birtley, Casey Kauffman, na Selina Downes

Ofisi na wanahabari wake Beijing: Tony Cheng na Melissa Chan Islamabad: Kamal Hyder Jakarta: Step Vaessen Delhi: Matt Mcclure Manila: Marga Ortigas

                                     

4. Viungo vya nje

 • Official website of Al Jazeera English
 • How to watch Al-Jazeera English for free via Satellite in North America
 • Al Jazeera English at YouTube - the channels official YouTube account
 • Al Jazeera International Commissioning Archived Julai 3, 2008 at the Wayback Machine.
 • Al Jazeera Live - Al Jazeeras English live stream
                                     
 • Kongo na Nairobi, Kenya. Amefanya kazi kama mchangiaji wa New York Times, Al Jazeera na Xinhua. Yeye ni Mkurugenzi wa shirika la mawasiliano Consulting Media
 • August 2012. Chatriwala, Omar 5 April 2010 WikiLeaks vs the Pentagon. Al Jazeera Jalada kutoka ya awali juu ya 9 February 2014. WikiLeaks Ten Year Anniversary
 • Al - Jazeera 27 August 2012. Retrieved on 15 October 2016. A Rosebud Exclusive: Samia Yusuf Omar s Italian dream. An interview with Teresa Krug of Al
 • Publishers, 87. ISBN 1 - 58826 - 280 - 4. Timeline: Human Rights Conventions. Al Jazeera Iliwekwa mnamo 22 March 2009. Proclamation of Tehran, Final Act of the
 • المعلومة بنت الميداح.. ألحان الفن وأحلام السياسة Al Jazeera in Arabic Doha, Qatar: Al Jazeera Encyclopedia. 12 February 2014. Retrieved 16 January
 • asilimia 58 za kura. من هو رئيس الحكومة الجزائرية عبد المجيد تبون Arabic Al Jazeera Premier ministre d Abdelaziz Bouteflika ? 2017 - 05 - 25. Retrieved on
 • na stesheni kama CNN International, BBC World News, Deutsche Welle, na Al Jazeera English. Contact Us. France 24. Retrieved on 29 Oktoba 2009. La chaîne
 • 26 Feb 2015. ISIL video shows Christian Egyptians beheaded in Libya. Al Jazeera 16 Feb 2015 Iliwekwa mnamo 16 Feb 2015. Later, when one of the perpetrators
 • Pia anajulikana kama sauti ya Siyaya na mfululizo wa afya duniani al Jazeera Lifelines Mwaka 2014, Mhende alifanya muonekano wake wa sinema ya kiume
 • February 2011. Archived from the original on 2010 - 08 - 15. The Fabulous Picture Show: Half Nelson Al Jazeera 2 Jul 2007. Retrieved on 22 February 2011. 
 • Februari 2018 Cyril Ramaphosa sworn South Africa president, tovuti ya Al Jazeera tar 15 Februari 2018 Cyril Matamela Ramaphosa, tovuti ya South African

Users also searched:

...

Wafanyakazi wa matibabu wa Myanmar wagoma kupinga.

GK imefahamu hili kupitia kituo cha TV cha Al Jazeera. Kama mnavyojua, jukumu la mkutano huu wa Makardinali ilikuwa ni kuwapatia Roma. TBet Sports Betting Tanzania Soka Bets. Premier and Premium Bets. Mazao ya sokoni yanayolimwa ni karafuu. Pemba ni kisiwa kinachojulikana kwa umaarufu kama al‟jazeera al‟khadra yaani kisiwa cha kijani kwa lugha ya. Job Opportunity at Bongo Live, Business Development Account. Ansbert Ngurumo na Dkt. Minja mubashara kwenye Al Jazeera. Kipindi ni The Stream. Kinaongozwa na Femi Oke. Wageni ni Ansbert. Kikao cha dharura chafanyika baada ya Machar kushindwa kurejea. Hotels in Sharjah Gold Souq Hotels in Al Qasba Hotels in Sharjah City Centre Hotels in Sharjah Aquarium Hotels in Al Jazeera Park Hotels in Port Khalid.


...