Back

ⓘ Traveler ni tamthiliya iliyodumu kwa muda mfupi ya kimarekani iliyoanza kuruka hewani Mei 10, 2007 hadi Julai 18, 2007 kupitia ABC, Marekani. Traveler ilitayari ..
                                     

ⓘ Traveler

Traveler ni tamthiliya iliyodumu kwa muda mfupi ya kimarekani iliyoanza kuruka hewani Mei 10, 2007 hadi Julai 18, 2007 kupitia ABC, Marekani. Traveler ilitayarishwa na Warner Bros. Television.

Traveler ilisimamishwa rasmi baada ya episodi nane za kwanza, 18 Julai 2007. Mashabiki walijaribu kuinusuru tamthilia bila mafanikio. David DiGilio, mtunzi, ili kujibu maswali, 28 Septemba 2007, aliandaa "blogu" ambayo ilithibitisha kusimimamishwa rasmi kwa Traveler.

                                     

1. Muhtasari

Tamthiliya inaanzia kwa Jay Burchell na Tylor Fog, wahitimu wa Yale University waliojikuta wakituhumiwa kuhusika na ulipuaji wa makumbusho ya Drexler, New York. Inaonekana rafiki yao, Will Traveler p.a.k Daniel Taft amewachezea shere waonekana ni magaidi waliohusika na ulipuaji. Baada ya mlipuko, Traveler anatoweka na hakuna ushahidi wowote unaodhihirisha uwepo wake duniani.

Jay na Tyler wanawakimbia FBI, sababu inayopelekea waonekane kuwa magaidi wazalendo. Wanamkimbilia baba wa Tyler, Carlton, lakini anawashauri watokomee. Wakiwa nje ya mji wao, Jay na Tyler wanachunguza maisha ya nyuma ya Will Traveler wakitumai kuambulia chochote kusafisha majina yao.

Muda huohuo, Traveler, akiwa hai na mwenye afya tele, naye pia anatafuta ukweli. inkuja kujuliakana kuwa Traveler ni askari akikitumikia kitengo cha Usalama wa Taifa la Marekani kiitwacho Fourth Branch, na taratibu siri nzito inafichuka.

Jay na Tyler wanaungana na Will katika sehemu ya saba, msimu wa kwanza wa tamthiliya, na kwa pamoja wanajaribu kuwafikisha katika mkondo wa sheria wale wanaohusika na matatizo yao. Wanafanikiwa kumteka nyara Jack Freed, muongozaji wa Fourth Branch, lakini kabla ya kumtumia kusafisha majina yao, gari alimokuwemo Freed linalipuka.

                                     

2. Wahusika

Kwa ujumla Traveler inaangaza hasa juhudi za Jay Burchell Matthew Bomer na Tyler Fog Logan Marshall-Green, wahitimu wenye jukumu la kuhakikisha wanasafisha majina yao katika jamii baada ya kupakaziwa tuhuma za kulipua makumbusho na rafiki yao Will Traveler Aaron Stanford.

Jay na Tyler wanagundua kuhusika kwa Jack Freed Neal McDonough kutoka usalama wa taifa na pia Carlton Fog William Sadler, baba wa Tyler na mfanyabiashara mwenye mafanikio makubwa. The Porter Billy Mayo anwaisaidia Tyler na Jay. Kim Doherty Pascale Hutton, mchumba wa Jay, inamlazimu akubaliane na maisha ya kusumbuliwa na FBI pamoja na hadhara.

Baadaye katika sehemu ya New Haven, inadhihirika kuwa Will Traveler yu hai. Sonja Bennett amecheza kama Maya mchumba wa Will.

                                     
  • ilichaguliwa kuwa moja kati ya mikahawa kumi bora kote duniani na Condé Nast Traveler Rose, Steve. Sand and Freedom The Guardian, 28 Novemba 2005, retrieved
  • PMID 9556642 Connor BA 2005 Hepatitis A vaccine in the last - minute traveler Am. J. Med. 118 Suppl 10A: 58S 62S. doi: 10.1016 j.amjmed.2005.07.018
  • huweza kutokea katika wale ambao wamekuwa wakitumia kiuvijasumu. Kuharisha traveler ni kawaida ya aina ya gastroenteritis bakteria. Acid - kukandamiza dawa

Users also searched:

...

FOMU YA MAOMBI YA LESENI YA BIASHARA Mtwara Mikindani.

In Tanzania servicing travelers and tourists from Europe and all over the world. extended to accommodate all travelers needs from arrival to departure point. Our Scheduled Flights As Salaam Air. Similar adverts. Oraimo Traveler 3 Byte Massive Power 27000mah Power Bank TSh 90.000 Power Sprayer Pump TSh 400.000. The Principle and Power of. Fomu ya maombi ya biashara BRELA. Game Mnara wa The Time Traveler ni mali ya jamii Quest michezo. ina vitambulisho Kupata vitu, Kutafuta vitu, Mimi nina kuangalia kwa, Tafuta vitu.


...