Back

ⓘ France 24 ni kituo cha kurusha programu za televisheni kutoka nchi ya Ufaransa. Ilianza utangazaji tarehe 6 Desemba 2006. Bajeti yake kwa mwaka ni takriban mili ..
France 24
                                     

ⓘ France 24

France 24 ni kituo cha kurusha programu za televisheni kutoka nchi ya Ufaransa.

Ilianza utangazaji tarehe 6 Desemba 2006.

Bajeti yake kwa mwaka ni takriban milioni € 80. Inapata fedha kutoka kwa serikali ya Ufaransa, na makao yake iko mjini Issy-les-Moulineaux, karibu na mji mkuu wa Paris.

Hivi sasa inatangaza habari kwa Kiingereza, Kiarabu na Kifaransa, ingawa Rais Nicolas Sarkozy alipendekeza kuwa kituo hicho kitangaze kwa lugha ya Kifaransa pekee.

France24 inatangazwa kwa stesheni tatu tofauti: ya Kiingereza, ya Kifaransa na ya Kiarabu kuanzia saa nane mchana hadi saa sita usiku kulingana na masaa ya Paris.

                                     

1. Vipindi vyake

 • Report
 • Culture
 • Lifestyle
 • Business
 • The Week In Maghreb
 • Environment
 • Health
 • Top Story
 • In The Papers
 • World Generation
 • Lessons For the Future
 • Opinions
 • In The Weeklies
 • Face-Off
 • The Week In Europe
 • The Week In Africa
 • The Week In Asia
 • The Week In the Americas
 • The Business Interview
 • The Week In France
 • Markets
 • Web News
 • Beyond Business
 • Caring
 • The France 24 Interview
 • Reporters
 • The Week In the Middle East
 • The News
 • Weather
 • The France 24 Debate
 • Sport
 • Fashion
                                     

2. Wafanyakazi wakuu

 • Mkuu wa sheria: Anne Kack
 • Msimamizi wa nakala za Kiarabu: Nahida Nakad
 • Meneja wa wafanyikazi: Béatrice Le Fouest
 • Utangazaji: Patrice Begay
 • Msimamizi jalada: Jean Lesieur
 • Mwenyekiti: Alain de Pouzilhac
 • Msimamizi wa teknolojia: Frédéric Brochard
 • Meneja wa habari: Albert Ripamonti
 • Meneja wa fedha: Frédéric Genea
                                     

3. Upatikanaji na matumaini

Inapatikana nchini Uropa, Afrika na Mashariki ya Kati kwa njia ya satelaiti. Tovuti yake ni france24.com

France 24 inalenga kushindana na stesheni kama CNN International, BBC World News, Deutsche Welle, na Al Jazeera English.

                                     
 • Mashirika yafuatayo ni wanachama wa IATA: IATA All Member Airlines. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012 - 05 - 01. Iliwekwa mnamo 2013 - 06 - 24 Tovuti rasmi
 • Europe Awards - 2002 Ifpi.org 2005 - 09 - 01 Iliwekwa mnamo 2009 - 10 - 07. France estimated album sales Fanofmusic.free.fr. Iliwekwa mnamo 2009 - 10 - 07. Gold Platin
 • Syndicat national de l édition phonographique. French certification. Charts In France Iliwekwa mnamo 2009 - 02 - 01. Michael Jackson charts 1 Archived Septemba 16
 • Records Chati kutoka Moffou - 2004 - Universal Jazz France M Bemba - 2005 - Universal Jazz France The Lost Album - 2006 - Cantos La différence Emarcy
 • Januari 2009. Ask Billboard July 2007 Sales US Spice Girls Album s Charts in France Les 100 Albums les plus vendus en Europe de l histoire. The 100 best - selling
 • ISBN 2 - 84586 - 368 - 3, OCLC 52772495 Koulibaly, Mamadou 2003 La guerre de la France contre la Côte d Ivoire in French Paris: Harmattan, ISBN 2 - 7475 - 5367 - 1
 • Amsterdam Guide through Germany, Austria - Hungary, Switzerland, Italy, France Belgium, Holland, the United Kingdom, Spain, Portugal, &c 4th ed. Berlin:
 • Tripod IFPI French Charts - The Corrs - Forgiven, Not Forgotten Disque En France Jalada kutoka ya awali juu ya 2009 - 03 - 02. Iliwekwa mnamo 2010 - 01 - 22. Sinar
 • Platinum. International Federation of the Phonographic Industry. Charts in France Les 100 Albums les plus vendus en Europe de l histoire. The 100 best - selling
 • Barban, ed. and trans. 2006 The Life of Saint Audrey a text by Marie de France Jefferson, NC: McFarland ISBN 0 - 7864 - 2653 - 5 M. Dockray - Miller 2009 Saints

Users also searched:

...

AUTHORIZED CATEGORY 58 24TH JULY, 2020 PSPTB.

Radio stations in Paris, France Radio stations in Rome, Italy Radio stations in Moscow, Russia Radio stations in Tel Aviv, Israel Radio stations in Dubai,. Huduma Mpya Kabisa!! ANGALIA TV UNAYOPENDA KUPITIA. Muimbaji wa nyimbo za Injili France Kalitusi. Entertainment Nilimroga bosi wangu, akiniona anisahau Frans Read More. 19 Nov. 2020. Rais wa Zanzibar. Livraison 24h en France zestril en ligne Paris. HIVI karibuni, kituo cha redio Radio France Internationale RFI ya Ufaransa ​France 24 kilifanya mahojiano na Rais wa Madagascar, Andry. Kenyatta afuta uwezekano wa Marekani kushambulia al Shabab. Athumani Abubakar. 24. Athumani M. Bakari. 25. Baraka Mhagama. 26. Beatus J. Maganga. 27. Fortuna A. Thobias. 223. France J. Lashayo.


...