Back

ⓘ Moscow Times ni gazeti lililo katika lugha ya Kiingereza na limechapishwa jijini Moscow, Urusi tangu mwaka wa 1992. Usambazaji wa gazeti hili, katika mwaka wa 2 ..
                                     

ⓘ Moscow Times

Moscow Times ni gazeti lililo katika lugha ya Kiingereza na limechapishwa jijini Moscow, Urusi tangu mwaka wa 1992. Usambazaji wa gazeti hili, katika mwaka wa 2008, ulikuwa nakala 35.000. Gazeti hili hutolewa bure kwa pahali ambapo wasomi wanaozungumza Kiingereza huzuru hasa hoteli na mikahawa wanapokula vyakula vyao. Magazeti haya hupatikana,pia, kwa njia ya kusajili na kampuni na kutumiwa kwa anwani yako. Gazeti hili,hivi sasa,limeanza kuwa maarufu sana na Warusi wanaozungumza Kiingereza. Hata hivyo halipatikani katika maduka ya magazeti na kulipata unahitaji kuagiza kutoka kampuni kama ilivyoelezwa hapo juu.

Gazeti hili lilianza kama gazeti la kuchapishwa mara mbili kwa wiki kabla ya kuwa gazeti la kila siku baada ya miezi kadhaa. Gazeti hili lina makao yake makuu katika makao ya zamani ya gazeti la Pravda,likawa gazeti la kwanza la nchi za Magharibi kuchapishwa nchini Urusi.

Mpaka mwaka wa 2005, jarida hili lilimilikiwa na Independent Media, kampuni ya uchapishaji iliyosajiliwa jijini Moscow na inachapisha magazeti kadhaa: gazeti la kila siku la lugha ya Kirusi, Vedomosti, St. Petersburg Times hili ni gazeti ambalo ni sawa na Moscow Times jijini St. Petersburg na huchapisha,pia, majarida mbalimbali maarufu kama FHM, Mens Health na Cosmopolitan katika lugha ya Kirusi. Mwaka uo huo, Independent Media ilinunuliwa na Kundi la Uchapishaji la Kifini,linaloitwa Sanoma.

Mhariri mkuu ni Andrew McChesney, aliyepandishwa hadi cheo hicho mnamo mwezi wa Juni 2006 baada ya kufanya kazi katika vyeo vingine mbalimbali katika kampuni hiyo.

Gazeti hili huchapisha mara kwa mara makala kadhaa ya waandishi maarufu wa Urusi, mara nyingi wao huchukua misimamo pinzani dhidi ya Serikali ya Kirusi na sera zake kwa jumla. Katika mwaka wa 2009, The Moscow Times ilichapisha Russia For Beginners: A Foreigners Guide to Russia ambalo lilikuwa jarida kwa wageni nchini Urusi lilioandikwa na waandishi waliotoka nchi geni kuishi Urusi. Wanaeleza matukio yaliyowafanyikia walipokuwa wageni nchini Urusi wakilenga kuwasaidia wageni wapya.

Gazeti hili,na vilevile gazeti dada lake la The St Petersburg Times, linamilikiwa na Shirika la Sanoma ambalo lina makao yake Ufini.

                                     

1. Marejeo

 • ^ Charlton, Angela. 2007. Frommers Moscow & St. Petersburg. John Wiley and Sons. uk. 63. ISBN 978-0764588990
 • ^ "About the newspaper" PDF. English Media Kit. The Moscow Times.
 • ^ Richardson, Dan. 2001. The Rough Guide to Moscow. Rough Guides. uk. 56. ISBN 978-1858287003
 • ^ "Russia for Beginners. A Foreigner’s Guide to Russia". The Moscow Times. 3 Machi 2009.
 • ^ a b Lawton, Anna. 2004. Imaging Russia 2000: Film and Facts. New Academia Publishing, LLC. uk. 107. ISBN 978-0974493435.
                                     
 • Kongresi mjini Washingtin D.C., Bundestag mjini Berlin na Duma nchini Moscow Parlamento Italiano mjini Roma na Assemblée nationale mjini Paris. Kwa
 • Waliifunga Chelsea katika mikwaju ya penalti 6 - 5 katika fainali ugani Luzhniki Moscow baada ya kutoka sare ya 1 - 1 katika muda wa kawaida tarehe 21 Mei 2008. Kupitia
 • July 29, 2018. Archived from the original on July 22, 2018. 2004 year. Moscow International Film Festival. Jalada kutoka ya awali juu ya April 3, 2013
 • In the men s 400 meters, LaShawn Merritt s a fast learner, Los Angeles Times IAAF International Association of Athletics Federations - IAAF.org
 • Februari 15 hadi Juni 15. Tukio la kutamatisha shughuli hizo lilifanyika Moscow muda mfupi kabla ya Kombe la Dunia 2018. Washiriki wa Programu hii ni pamoja
 • ABC 1973 The Red Pony Carl Tiflin Television movie 1973 Night Flight from Moscow Allan Davies also known as The Serpent or Le serpent 1973 The Alpha Caper
 • history: a dictionary of important people, places, and events from ancient times to the present. New York: H. Holt. ISBN 978 - 0 - 8050 - 2350 - 3 Wijngaards

Users also searched:

tanzania capital, tanzania time zone gmt, tanzania time zone utc, tanzania time zone, time in dar es salaam,

...

SPORT: MMILIKI WA CHELSEA ABRAMOVICH Muakilishi TZ.

At times also administrative and policy oversight or shortsightened on the Dawa za Kulevya uliofanyika Moscow, watu wapatao 200.000 hupoteza maisha kila. Distance Dodoma Dumila in km, miles, route, direction. Na Mwandishi Wetu,TimesMajira Online, Moscow Ripoti mpya kutoka Wizara ya Afya nchini Urusi imethibitisha kuwa, maambukizi ya virusi vya Corona. Siyan, Author at TeknoKona Teknolojia Tanzania Page 8 of 20. Katika taarifa ya maandishi iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya nje ya Urusi, ilitangazwa kwamba Ubalozi wa Marekani huko Moscow ulichapisha kwenye. Nafasi za kazi Page 84 of 180 Jobs in Tanzania. Russia Premier League September 16. FT CSKA Moscow 2 0. FC Rostov FT Anzhi Makhachkala 1 5. FC Krasnodar Russia 1st Division September 16. FT.


...