Back

ⓘ Mawasiliano ya Kibiashara: mawasiliano yanayotumiwa kupendekeza bidhaa, huduma, au shirika; habari zinzotegemewa ndani ya biashara; au kushughulika na masuala y ..
                                     

ⓘ Mawasiliano ya Kibiashara

Mawasiliano ya Kibiashara: mawasiliano yanayotumiwa kupendekeza bidhaa, huduma, au shirika; habari zinzotegemewa ndani ya biashara; au kushughulika na masuala ya kisheria na sawa. Pia ni njia ya kutegemea kati ya mkondo wa kusambaza kwa mfano, malaji na mtengenezaji.

Mawasiliano ya Kibiashara hujulikana kwa urahisi kama "Mawasiliano." Inahusisha mada mbalimbali, pamoja na "Masoko, jina, mahusiano na mteja, tabia za mteja, Kutangaza, uhusiano na umma,mawasiliano ya Ofisi, ushikishi wa jamii, utafiti & |Masoko, jina, mahusiano na mteja, tabia za mteja, Kutangaza, uhusiano na umma,mawasiliano ya Ofisi, ushikishi wa jamii, utafiti & Vipimo, usimamizi wa kazi, Utabibu wa mawasiliano, na usimamizi wa vitedo. Huwa na uhusiano wa karibu na maeneo ya mawasiliano ya kitaalamu na mawasiliano ya ufundi.

Katika biashara, jina mawasiliano hujumuisha njia mbalimbali za mawasiliano, pamoja na mtandao,uchapishaji, Radio, Runinga, vyombo vya habari, nje, na Neno la kinywa.

Mawasiliano ya Kibiashara pia yanaweza kuashiria mawasiliano ya ndani. Mkurugenzi wa mawasiliano atasimamia mawasiliano ya ndani na kuboresha ujumbe uliotumwa kwa wafanyakazi. Ni muhimu kwamba mawasiliano ya ndani kusimamiwa vizuri kwa sababu ujumbe usiowasilishwa kwa njia nzuri unaweza kusababisha kutokuwa na uaminifu au uadui kutoka wafanyakazi.

Mawasiliano ya biashara ni mada muhimu iliyojumuishwa katika shahada ya juu ya Usimamizi wa Biashara,kwa kimombo ni MBA, mipango ya wengi vyuo vikuu. Pia vyuo vya jamii na vyuo vikuu huwa na shahada ya mawasiliano.

Kuna mbinu kadhaa za mawasiliano ya Kibiashara, ikiwemo:

 • Kuashiria - maarufu sana kama njia ya mawasiliano ya aina zote za mashirika, kwa kawaida hushirikisha vyombo vya kusikizana kutazama, kama nakala ya ripoti, au vifaa tayari katika Microsoft PowerPoint au Adobe Flash
 • Mawasiliano kutumia Tovuti - kwa ajili ya uboreshaji wa mawasiliano, wakati wowote mahali popote.
 • Barua pepe, ambayo huwa na mtandao wa mawasiliano yaliyoandikwa duniani kote;
 • Mikutano ya uso kwa uso, ambayo ni ya binafsi na lazima kufuatwa na mfuatilio ulioandikwa.
 • Ripoti s - muhimu katika kuhifadhi shughuli za idara yoyote;
 • bodi za kujadili, anbazo huruhusu gwatu kutuma habari katika eneo kati; na
 • Mikutano kupitia simu, ambayo huruhusu hotuba kutoka mbali;
                                     

1. Mashirika

 • IEEE, jamii ya Mawasiliano kitaalamu imejitolea kuelewa na kukuza mawasiliano katika uhandisi, kisayansi, na mazingira mengine, pamoja na mazingira ya biashara. Jarida la PCS,Shughuli za IEEE katika Mawasiliano ya kitaalumu ni moja ya majarida ya kiwango cha juu katika mawasiliano ya kitaalumu. Wasomaji wa jarida hili ni Wahandisi, waandishi wa habari, mameneja, na wengine wanaofanya kazi kama wasomi, waelimishaji, na wataalamu wanaotaka mawasiliano bora katika mawasiliano ya habari ya kiufundi na biashara.
 • Ilianzishwa mwaka wa 1936 na Shankar na Chama cha Mawasiliano ya Biashara awali lilijulikana kama Chama cha Chuo cha Walimu wa Biashara, ni "shirika la kimataifa lililo na nia ya kukuza ubora katika udhamini wa mawasiliano ya biashara, utafiti, elimu na mazoezi.
                                     
 • njia ya roketi na kuzunguka Dunia kwa obiti mbalimbali. Satelaiti hizi zinatekeleza kazi za kisayansi, za kibiashara na za kijeshi. Satelaiti ya kwanza
 • Mtandao wa ulimwengu mzima www na miundombinu ya kusaidia barua pepe. Mbinu nyingi za jadi za mawasiliano ya habari, kama vile huduma za simu na televisheni
 • yamebadilishwa na kufuata mtindo wa makampuni ya kibiashara Katika mwaka wa 2003, Jamhuri ya Watu wa Uchina ilibadilisha 80 ya makampuni yanayomilikiwa na serikali
 • kuliko kutegemea tu ya kigeni. 4. Hurahisisha mawasiliano baina ya watu wa Afrika Mashariki. 5. Husaidia kuwa na mahusiano ya kibiashara na watu mbalimbali
 • za matukio ya kibiashara ya shirika taasisi, jumuia, chama fulani kwa mfano, jina la kisheria namna ya kupata huduma, n.k. Jarida ya namna hiyo
 • fulani lakini mara nyingi barua inatumwa kwa njia ya mtume au shirika linalofanya kazi hii kibiashara Kwa kawaida siku hizi barua inaandikwa kwenye karatasi
 • Vyombo vya habari ni vyombo vya mawasiliano vinavyolenga watu wengi iwezekanavyo kwa shabaha ya kuwapatia habari au burudani. Mifano yake ni magazeti
 • Matumizi zaidi ya mitandao ya kijamii yanaendelea kuvumbuliwa katika nyanja tofauti ikiwemo elimu, biashara, matangazo ya kibiashara siasa, ajira, afya
 • Waholanzi waliotangulia katika biashara kati ya Ulaya na nchi za Asia ya Kusini. Kampuni ilishindana kibiashara na kivita na wafanyabiashara wa Ureno, wa
 • pre Business Line au The Hindu Business Line ni gazeti la kibiashara la Kihindi linalochapishwa na Kasturi & Sons ambao huchapisha pia, gazeti la The
 • zilizotengenezwa ndani ya maeneo mengi yanayohusiana, kwa mfano fizikia yabisi, uhandisi wa redio, mawasiliano ya simu, mifumo ya udhibiti, usindikaji wa

Users also searched:

...

Jinsi ya Kupata Liseni ya Biashara Mkinga District Council.

Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Kituo cha Uwekezaji sekta za viwanda, afya, tekinolojia mawasiliano, nishati na miundombinu. Biashara Single Economic Activity Ubungo Municipal Council. Saraka ya Biashara ya Tanzania. Matokeo 8240 yamepatikana. Boresha Utafutaji. Weka tahadhari ya utafutaji. Barua Pepe. Jiunge. Pencils Stationers Tanzania. Anza Tathmini ya Biashara mtandaoni Anza. Haujakua vizuri kwa kiwango kikubwa. Ukuaji umejikita katika mawasiliano ya simu, huduma za fedha, biashara ndogo ndogo, madini, utalii, ujenzi na viwanda.


...