Back

ⓘ Mtaguso wa tatu wa Laterano uliitishwa na Papa Aleksanda III ufanyike huko Roma mwaka 1179, kutokana na Amani ya Venezia kati ya Kaisari Federiko I wa Ujerumani ..
Mtaguso wa tatu wa Laterano
                                     

ⓘ Mtaguso wa tatu wa Laterano

Mtaguso wa tatu wa Laterano uliitishwa na Papa Aleksanda III ufanyike huko Roma mwaka 1179, kutokana na Amani ya Venezia kati ya Kaisari Federiko I wa Ujerumani na Lega Lombarda ya Italia kaskazini.

Unahesabiwa na Kanisa Katoliki kama mtaguso mkuu wa kumi na moja.

Ulihudhuriwa na viongozi wa Kanisa 300 na kufanyika katika vikao vitatu, tarehe 5 Machi, 7 Machi na 19 Machi 1179.

Ulijadili masuala mbalimbali na kuyatungia kanuni 27 na kutangua zile zilizotolewa na antipapa Paskali III. Kati ya maamuzi muhimu zaidi, mmojawapo ulihusu uchaguzi wa Papa, ukidai thuluthi mbili za kura za makardinali wote, bila ya kutofautisha haki za makundi yao matatu.

                                     
  • uombaji wa msaada kwa ajili ya maskini, ghala za kugawia chakula bure, mafunzo kwa watoto fukara na kwa wanaosomea upadri n.k. Mtaguso wa tano wa Laterano ulitofautisha
  • 1215 Novemba ulifanyika Mtaguso Mkuu wa IV wa Laterano ambao Fransisko alihudhuria pamoja na maaskofu na wakuu wengine wa mashirika labda ndipo alipofunga
  • yote ya karne hizo tatu Lyons I 1245 Lyons II 1274 Vienne 1311 - 1312 Konstans 1414 - 1418 Firenze 1431 - 1445 na Laterano V 1512 - 1517 Vilevile
  • sala na sadaka, wakichangia urekebisho wa Kanisa bila ya kutoka nje ya kiota chao. Baada ya Mtaguso IV wa Laterano 1215 kukataza kanuni mpya iliwabidi
  • mwanahistoria wa kwanza kuorodhesha Mapapa bila kuacha pengo. Orodha yake ilikwenda hadi mwaka wa 1049 ikimtaja Papa Leo IX kama Papa wa 154. Kulingana

Users also searched:

...

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate Like.

Tatu ni mitaguso ya kipindi cha uzushi kilichoshuhudia mamlaka ya Papa yakipingwa vikali na Mtaguso mkuu wa Laterano V 1512 1517. FAHAMU MAANA YA MTAGUSO Radio Maria Tanzania. Mtaguso ni mkutano wa viongozi wa Kanisa hasa Baba Mtakatifu, Makardinali, ma Askofu pamoja na Mtaguso wa tatu wa Laterano 1179.


...