Back

ⓘ Mwongo. -Kwa maana ya mwongo kumtaja mtu asiyesema ukweli kwa kusudi tazama uongo- Mwongo pia: dekadi kutoka Kigiriki Kiingereza decade ni kipindi cha miaka 10 ..
                                     

ⓘ Mwongo

-Kwa maana ya "mwongo" kumtaja mtu asiyesema ukweli kwa kusudi tazama uongo-

Mwongo pia: dekadi kutoka Kigiriki / Kiingereza "decade" ni kipindi cha miaka 10. Miongo 10 hufanya karne moja.

Kila miaka 10 ya mfululizo hufanya mwongo lakini mara nyingi neno hutumiwa kutaja ile miaka kumi inayoanza kwa 1960 - 1969 au 1990 hadi 1999.

Njia nyingine ni kusema "mwongo baada" au "mwongo kabla" ya tukio fulani kwa mfano "Mwongo baada ya vita kuu ya pili" kwa kutaja miaka ya 1945-1955 baada ya mwisho wa vita kuu ya pili ya dunia.

                                     
  • kupendana... Mtu akisema, Nampenda Mungu naye anamchukia ndugu yake, ni mwongo Kwa maana asiyempenda ndugu yake ambaye amemwona, hawezi kumpenda Mungu
  • Marekani na uliyokuwa ukifanya kazi tangu mwongo wa 1970. Hatimaye, mtandao huu uliunganishwa na mingine katika mwongo wa 1980 wakati ambapo itifaki ya TCP
  • vilabu na timu ya taifa vikishinda mashindano kadhaa barani Afrika katika mwongo uliopita. Timu ya wanawake pia imeshiriki katika michezo ya Olimpiki na
  • ya daraja la juu. Walishinda hivi mara mbili mfululizo hapo mwanzoni mwa mwongo wa 1990. Tilson alicheza daima katika timu ya Southend, isipokuwa kwa mpango
  • mzuri. Hizi ndizo sifa ambazo zingehusishwa na viatu vya Rockport katika mwongo uliofuata. Katika mwaka wa 1984, kampuni hii ilinunuliwa na kampuni ya viatu
  • Aires, akifanya kazi chini ya meya Carlos Grosso, katika miaka ya mwanzo wa mwongo wa 1990. Baadaye, alikuwa naibu wa Katibu wa Biashara katika urais wa Eduardo
  • mwaka wa 1929, huku maduka 44 yakifunguliwa katika mwaka wa mwisho katika mwongo huo. Foot Locker lilianza kama mgawanyiko mdogo wa Shirika la Kinney Shoe
  • elimu imekuwa kati ya asilimia 28 na 40 ya bajeti yake ya mwaka katika mwongo mmoja uliopita. Mafunzo yote hufanywa kwa lugha ya Kingereza ambayo ndiyo
  • wa Mungu anao huo ushuhuda ndani yake. Asiyemwamini Mungu amemfanya kuwa mwongo kwa kuwa hakuuamini huo ushuhuda ambao Mungu amemshuhudia Mwanawe 1Yoh

Users also searched:

...

Publications list Mwanga District Council.

Dos and Donts Application Form Visitors Remarks Subsidiary Legislation Whats On Mapendekezo ya Mpango wa Taifa na Mwongo Email to a friend. Tundu lissu asema haya baada ya dr.slaa kuwalipua chadema leo. Mwanamuziki wa bongo fleva nchini Nikki Mbishi amesema msanii mwenzake Q Chif ni mwongo kwa kusema kwamba waandaaji wa muziki. Kitabu kitakachofufua ari ya usomaji vitabu tanzania Kingo Jarida. Van Dijk alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa Uefa na kuwapiku mastaa waliotawala soka kwa muda mrefu katika mwongo mmoja uliopita,.


...