Back

ⓘ Karne ya 19 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1800 na 1900. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 1801 na kuishia 31 Desemba 1900. Kama kila karne ni ki ..
Karne ya 19
                                     

ⓘ Karne ya 19

Karne ya 19 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1800 na 1900. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 1801 na kuishia 31 Desemba 1900.

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya binadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu - hali halisi, maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.

Hata hivyo kipindi hiki cha karne ya 19 kilikuwa kipindi muhimu sana katika historia ya binadamu.

                                     

1. Watu na matukio

Mabadiliko mengi yalianzia Ulaya na kuenea duniani, hivyo karne hii imeitwa na wataalamu "karne ya Ulaya".

Baadhi ya tabia za pekee za karne hii ni kama zifuatazo:

 • Tabaka la makabaila lilipungukiwa umuhimu wake katika jamii za nchi zilizoshiriki katika mapinduzi ya viwandani
 • Tabaka jipya la wafanyakazi lilijitokeza
 • Nchi zilizopita katika mapinduzi ya viwandani ziliongezewa nguvu za kiuchumi na za kijeshi kushinda mataifa nje ya mapinduzi haya
 • Mtindo wa ubepari ulipata umuhimu na kugusa maisha ya watu wengi
 • Mapinduzi ya viwandani: yaliwahi kuota mizizi katika Uingereza kabla ya 1800, lakini katika karne hii yalienea katika nchi za Ulaya na kuzitofautisha kwa uwezo wao
 • Maisha ya viwandani na maisha ya mjini yalivunja nguvu ya maisha ya mashambani hivyo mapokeo na desturi nyingi zilizoendelea tangu karne nyingi
 • kutokea kwa sayansi ya kisasa
 • matunda ya falsafa ya mwangaza yalisababisha
 • ukosoaji wa dini
 • sayansi ya tiba iligundua njia za kupambana na ugonjwa
 • Idadi ya watu duniani ilianza kukua haraka kushinda miaka yote ya historia ya awali kwa sababu ya
 • matokeo ya teknolojia na sayansi yaliongeza kiasi cha chakula kilichopatikana kwa watu
 • Nchi kadhaa za Ulaya zilitumia nguvu mpya ya kueneza utawala wao nje ya Ulaya
 • Ukoloni ulienea: mwanzoni mwa karne hii polepole, mwishoni kwa mbio
Nchi nyingi ziliwekwa chini ya utawala wa nchi za Ulaya zilizoguswa na mapinduzi ya viwandani nchi nyingi za Asia isipokuwa Uturuki, Japani, Uthai, Uajemi, Afghanistan, Uarabuni nchi zote za Afrika isipokuwa Liberia na Ethiopia
 • Fundisho jipya la "utaifa" lilianza kubomoa misingi ya madola makubwa ya kimataifa katika Ulaya kama Uturuki, Austria, Urusi.
 • Dola Takatifu la Kiroma Ujerumani katika Ulaya ya Kati
 • Dola la Moghul katika Bara Hindi
 • Dola la Hispania Hispania, Amerika ya Kusini na Ufilipino
 • Katika siasa madola kadhaa yaliyowahi kuratibu maisha ya watu tangu karne nyingi yalipungukiwa, kuvunjwa au kupotea kabisa kama vile
 • Dola la Uturuki
 • Inaanza kutengenezwa Coca-Cola
 • Mwanzo wa ujamaa na ukomunisti
 • Abraham Lincoln, rais wa Marekani aliyefuta utumwa nchini
 • Dola la Uingereza lilitokea kuwa dola kubwa duniani
 • Charles Darwin 1809 - 1882, Mwingereza mwanasayansi
 • George Stephenson aliyebuni treni
 • Uhamiaji wa umati wa watu katika nchi nyingine
 • Ludwig van Beethoven, Frédéric Chopin, Richard Wagner na Franz Liszt, wanamuziki
 • Edward Jenner aliyebuni chanjo
 • Ukristo ulienea upya nje ya Ulaya kwa njia ya misheni za kisasa baada ya kurudishwa nyuma na Uislamu tangu karne ya 7
 • Utumwa ulipungua sana duniani
 • Inaanza kutengenezwa aspirini
 • Ndugu Lumière, waliobuni sinema
 • Antonio Meucci aliyebuni simu
 • Guglielmo Marconi, aliyebuni redio
 • Louis Pasteur, mwanasayansi
 • Thomas Alva Edison aliyebuni taa na santuri
 • Papa Pius IX na Mtaguso wa kwanza wa Vatikano
 • Mfereji wa Suez ulitenganisha Afrika na Asia
 • Linabuniwa gari
 • Otto von Bismarck, Kansela wa Ujerumani
 • Inabuniwa pikipiki
 • Inabuniwa mota ya umeme
 • Malkia Viktoria wa Uingereza
 • Huko Manchester ilianzishwa International Football Association Board, iliyoratibu sheria za kandanda 1882
                                     
 • ya Miaka Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Karne ya 22 KK Karne ya 21 KK Karne ya 20 KK Karne ya 19 KK Karne ya
 • ya Miaka Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Karne ya 20 KK Karne ya 19 KK Karne ya 18 KK Karne ya 17 KK Karne ya
 • ya Miaka Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Karne ya 19 KK Karne ya 18 KK Karne ya 17 KK Karne ya 16 KK Karne ya
 • Orodha ya Miaka Milenia ya 3 KK Milenia ya 2 KK Milenia ya 1 KK Karne ya 20 KK Karne ya 19 KK Karne ya 18 KK Karne ya 17 KK Karne ya 16
 • ya Miaka Karne ya 19 Karne ya 20 Karne ya 21 Miaka ya 1960 Miaka ya 1970 Miaka ya 1980 Miaka ya 1990 Miaka ya 2000 Miaka ya 2010
 • ya Miaka Karne ya 19 Karne ya 20 Karne ya 21 Miaka ya 1920 Miaka ya 1930 Miaka ya 1940 Miaka ya 1950 Miaka ya 1960 Miaka ya 1970
 • ya Miaka Karne ya 19 Karne ya 20 Karne ya 21 Miaka ya 1900 Miaka ya 1910 Miaka ya 1920 Miaka ya 1930 Miaka ya 1940 Miaka ya 1950
 • ya Miaka Karne ya 18 Karne ya 19 Karne ya 20 Miaka ya 1850 Miaka ya 1860 Miaka ya 1870 Miaka ya 1880 Miaka ya 1890 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 18 Karne ya 19 Karne ya 20 Miaka ya 1840 Miaka ya 1850 Miaka ya 1860 Miaka ya 1870 Miaka ya 1880 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 18 Karne ya 19 Karne ya 20 Miaka ya 1770 Miaka ya 1780 Miaka ya 1790 Miaka ya 1800 Miaka ya 1810 Miaka ya
 • ya Miaka Karne ya 17 Karne ya 18 Karne ya 19 Miaka ya 1700 Miaka ya 1710 Miaka ya 1720 Miaka ya 1730 Miaka ya 1740 Miaka ya

Users also searched:

...

Saint Seiya: The Lost Canvas Netflix.

Kutoka tarehe 17 hadi 19 Oktoba, Kaimu Balozi wa Marekani nchini Dk. Inmi Kwa zaidi ya nusu karne, tumefanya kazi pamoja kama marafiki,. Shule Direct. Mwaka 1884 1885 ulifanyika mkutano wa mataifa ya Ulaya nchini Ikumbukwe kwamba tangu karne ya 15 hadi karne ya 19 bara la Afrika. Untitled Tanzania Online Gateway. Baada Ya Hapo Karne Ya 19 Baada ya hapo, wataalamu wakagundua kifaa ambacho kitawawezesha watu kuandika ambacho kinakilikana. Mihadarati iligharamia Dola ya Uingereza Karne ya 19 Gazeti la Rai. Visiwa vya Unguja na Pemba, kisiwa kilicho na umaarufu wa barabara zenye kona nyingi, milango iliyo na michoro tangu zama karne ya 19.


...