Back

ⓘ Cluny. Abasia ya Cluny, ilikuwa monasteri ya Wabenedikto, maarufu kwa kuongoza urekebisho wa utawa na wa Kanisa lote kuanzia karne ya 10. Ilijengwa kwa mtindo w ..
Cluny
                                     

ⓘ Cluny

Abasia ya Cluny, ilikuwa monasteri ya Wabenedikto, maarufu kwa kuongoza urekebisho wa utawa na wa Kanisa lote kuanzia karne ya 10.

Ilijengwa kwa mtindo wa Kiroma katika eneo la Burgundy, leo mkoa wa Saône-et-Loire, Ufaransa.

Mwanzilishi wake, William I wa Aquitania, mwaka 910 alimteua Berno wa Cluny awe abati wa kwanza, chini ya Papa Sergius III tu. Hivyo alionyesha njia ya kukwepa watawala wasiendelee kuingilia vyeo vya Kanisa kwa malengo yao ya kisiasa na ya kiuchumi badala ya yale yaliyokusudiwa ya kidini.

Monasteri nyingine nyingi zilifuata njia hiyo na kivyo kuinua hali ya kiroho ya utawa na wa Kanisa kwa jumla katika karne zilizofuata.

Mwaka 1790, wakati wa Mapinduzi ya Kifaransa, abasia aliporwa na kubomolewa kwa kiasi kikubwa.

                                     

1. Marejeo

 • Bainton, Roland H. The Medieval Church. Princeton: D. Van Nostrand Company Inc.,

1962.

 • Evans, Joan 1968. Monastic Life at Cluny 910-1157. Oxford: Oxford University Press.
 • Marquardt, Janet T. 2007 From Martyr to Monument: The Abbey of Cluny as Cultural Patrimony.
 • Cowdrey, H. E. J. 1970. The Cluniacs and the Gregorian Reform.
 • Conant, Kenneth J. 1968. Cluny. Les églises et la maison du chef dOrdre.
 • Rosenwein, Barbara H. 1982. Rhinoceros Bound: Cluny in the 10th Century.
 • Lawrence, C. H. 1984. Medieval Monasticism.
 • Mullins, Edwin 2006 In Search of Cluny: Gods Lost Empire.
                                     

2. Viungo vya nje

 • The History of Romanesque Cluny Clarified by Excavations and Comparisons, by K.J. Conant pdf
 • Christopher Golden, "Cluniac Order"
 • Societas Christiana Encyclopedia: Archived Septemba 13, 2005 at the Wayback Machine. The Cluniac movement
 • Charter of the Abbey of Cluny
 • Large archive of photographs of the abbey
 • Universität Münster: Institut für Frühmittelalterforschung Cluny. in English Scholarly portal to many aspects of Cluny.
 • Paradoxplace – Cluny Page – Photos Archived Oktoba 11, 2008 at the Wayback Machine.
 • Catholic Encyclopedia: Congregation of Cluny

Majiranukta kwenye ramani: 46°26′03″N 4°39′33″E

                                     
 • Abelardo, hatimaye alifaulu kupatana naye kwa msaada wa Petro Mhashamu wa Cluny Zaidi tena alipinga Wakatari, waliodharau ulimwengu wa maada pamoja na
 • mapya ya Kibenedikto yaliyotokana na juhudi hizo yanakumbukwa hasa lile la Cluny ambalo lilikwepa kuwa mikononi mwa watawala likakazia liturujia kuliko
 • Waorthodoksi wa Mashariki Waorthodoksi Wakatoliki Odilo wa Cluny Ndiyo Ndiyo Odo wa Cluny Ndiyo Ndiyo Ndiyo Odo wa Urgell Ndiyo Ndiyo Oktaviani
 • ukombozi wa Kanisa kutoka mikono ya wanasiasa kuna uundaji wa monasteri ya Cluny leo nchini Ufaransa mwaka 910 ikiwa chini ya Mtume Petro yaani chini
 • Mahame ya abasia ya Cluny kiini cha urekebisho wa umonaki uliochangia sana ukombozi wa Kanisa kutoka mikono ya wanasiasa.
 • Kulala kwa Bikira Maria katika ubao wa pembe za ndovu: kazi ya karne ya 10 au mwanzo wa karne ya 11 Musée de Cluny Ufaransa
 • Chombo cha fedha cha kutunzia masalia yake Musée de Cluny
 • Balata Tivoli La Médaille Godissard Floréal De Briant Des Rochers Didier Clairière Cluny Sainte - Catherine Bellevue Texaco Pointe des Nègres Rive Droite
 • Abasia ya Cluny ilikuwa mojawapo kati ya vitovu vya elimu Ulaya katika karne za kati.

Users also searched:

...

Moshi priest charged with sodomy daily news JamiiForums.

Complexes like the Abbey of Cluny became vibrant centres with dependencies spread through out Europe. Ordinary people also treked vast. Washika dini wana IQ ndogo kuliko wasioshika dini? Page 8. Kipande cha sehemu sita cha La Dame à la Licorne Lady na Unicorn, kilihifadhiwa katika Hôtel de Cluny, Paris. Vipande vya Uwindaji vya. Tapestry Babel. Kwa bahati mbaya bali yanalenga mkakati wao wa kukwepa matokeo kama ya ujauzito ili wasiwe wazi kwa jamii wanayoidanganya kwamba wao ni ma cluny.


...