Back

ⓘ Ukhalifa wa Cordoba ilikuwa milki kubwa kilichounganisha Al-Andalus iliyokuwa sehemu ya kiislamu ya Rasi ya Iberia kati ya 929 na 1031. Mji mkuu alikotawala kha ..
Ukhalifa wa Cordoba
                                     

ⓘ Ukhalifa wa Cordoba

Ukhalifa wa Cordoba ilikuwa milki kubwa kilichounganisha Al-Andalus iliyokuwa sehemu ya kiislamu ya Rasi ya Iberia kati ya 929 na 1031. Mji mkuu alikotawala khalifa ilikuwa Cordoba.

                                     

1. Emirati ya Cordoba

Historia ya milki hii ilianza mwaka 756. Mwaka ule Abd-ar-Rahman I alikuwa emir wa eeneo la Cordoba katika Al-Andalus Hispania mnamo 756. Alizaliwa katika nasaba ya Wamuawiya huko Shamu akakimbia kutoka nchi yake baada ya kupinduliwa kwa nasaba hii mwaka 750. Emirati ya Cordoba iliendelea kati ya madola ya Al-Andalus na kupata nafasi ya kwanza.

                                     

2. Ukhalifa

Mnamo mwaka 929 amiri Abd-ar-Rahman III aliamua kutumia cheo cha khalifa. Chini ya utawala wake na wafuasi wake Codoba ilikuwa kitovu cha utamaduni kuu katika Ulaya.

Makhalifa wa mmwisho hawakutawala tena wenyewe walitegemea washauri na wakubwa wao. 1031 ukhalifa uliporomoka ukagawiwa kwa madola madogo.

                                     
  • ulivamiwa na Waarabu Waislamu ukawa mji mkuu wa utemi na baadaye Ukhalifa wa Wamuawiya wa Cordoba Wakati wa ukhalifa mji ukaitwa Qurtuba kwa Kiarabu قرطبة
  • ya falme na watawala mbalimbali kwanza chini ya Wamuawiya, halafu Ukhalifa wa Cordoba 929 - 1031 na baadaye chini ya milki mbalimbali hasa Wamurabitun
  • iliyotekwa na Waarabu alipopokelewa kwa heshima na kuanzisha Ukhalifa wa Wamuawiya wa Cordoba uliodumu katika Hispania hadi 1031. Waabbasi walitwala mjini

Users also searched:

...