Back

ⓘ Milenia ya 6 KK. Kisiwa cha Britania Uingereza na Uskoti hutenganishwa kutoka kwa Ulaya bara kwa kupanda ya uwiano wa bahari. Sababu yake ni badiliko la halijot ..
                                     

ⓘ Milenia ya 6 KK

 • Kisiwa cha Britania Uingereza na Uskoti hutenganishwa kutoka kwa Ulaya bara kwa kupanda ya uwiano wa bahari. Sababu yake ni badiliko la halijoto linalosababisha kuyeyuka kwa barafuto nchini na barafu yake kuwa maji mengi yanayopandisha uwiano wa bahari.
 • Mnamo 5800 KK kunatokea banguko kubwa chini ya bahari kwenye tako la bara karibu na pwani ya Norwei banguko la Storegga. Banguko hilo lilisababisha tsunami iliyoharibu vijiji vya watu huko Uskoti.
 • mnamo 5100 KK: mahindi, maharagwe, mboga na maparachichi hupandwa katika Amerika ya Kati
 • mnamo 5000 KK: mpunga hulimwa kwenye pwani ya China
 • tangu 5600 KK: Eneo la Sahara linazidi kuwa kabisi na kuwa jangwa; watu huondoka.
 • tangu 5600 KK: kilimo kinaanza Ulaya ya Kati
 • plau inavumbuliwa
 • katika eneo la Mediteranea hali ya hewa ni ya kitropiki
 • mnamo 5200 KK: mahekalu ya kwanza katika Mesopotamia
 • baina ya 5500 na 5300 KK: mtama unaanza kulimwa huku China Kaskazini
 • Misri kuna kilimo kwenye bonde la Naili
 • mnamo 5500 KK: vifaa vilivyofinyangwa vya kwanza katika Asia kusini
 • mnamo 5500 KK: umwagiliaji wa mashamba katika Mesopotamia
 • tangu 6000 KK: kuku wanaanza kufugwa nchini China
 • tangu 6000 KK: mizabibu ya kwanza inapandwa katika Kaukazi na Mesopotamia.
                                     
 • ya Miaka Milenia ya 1 KK Karne ya 8 KK Karne ya 7 KK Karne ya 6 KK Miaka ya 630 KK Miaka ya 620 KK Miaka ya 610 KK Miaka ya
 • ya Miaka Milenia ya 1 KK Karne ya 6 KK Karne ya 5 KK Karne ya 4 KK Miaka ya 440 KK Miaka ya 430 KK Miaka ya 420 KK Miaka ya
 • ya Miaka Milenia ya 1 KK Karne ya 6 KK Karne ya 5 KK Karne ya 4 KK Miaka ya 450 KK Miaka ya 440 KK Miaka ya 430 KK Miaka ya
 • ya Miaka Milenia ya 1 KK Karne ya 8 KK Karne ya 7 KK Karne ya 6 KK Miaka ya 640 KK Miaka ya 630 KK Miaka ya 620 KK Miaka ya
 • ya Miaka Milenia ya 1 KK Karne ya 6 KK Karne ya 5 KK Karne ya 4 KK Miaka ya 480 KK Miaka ya 470 KK Miaka ya 460 KK Miaka ya
 • ya Miaka Milenia ya 1 KK Karne ya 6 KK Karne ya 5 KK Karne ya 4 KK Miaka ya 400 KK Miaka ya 390 KK Miaka ya 380 KK Miaka ya
 • ya Miaka Milenia ya 1 KK Karne ya 6 KK Karne ya 5 KK Karne ya 4 KK Miaka ya 420 KK Miaka ya 410 KK Miaka ya 400 KK Miaka ya
 • ya Miaka Milenia ya 1 KK Karne ya 7 KK Karne ya 6 KK Karne ya 5 KK Miaka ya 570 KK Miaka ya 560 KK Miaka ya 550 KK Miaka ya
 • ya Miaka Milenia ya 1 KK Karne ya 7 KK Karne ya 6 KK Karne ya 5 KK Miaka ya 510 KK Miaka ya 500 KK Miaka ya 490 KK Miaka ya
 • ya Miaka Milenia ya 1 KK Karne ya 8 KK Karne ya 7 KK Karne ya 6 KK Miaka ya 650 KK Miaka ya 640 KK Miaka ya 630 KK Miaka ya
 • ya Miaka Milenia ya 1 KK Karne ya 8 KK Karne ya 7 KK Karne ya 6 KK Miaka ya 680 KK Miaka ya 670 KK Miaka ya 660 KK Miaka ya

Users also searched:

...

Matumizi ya Anagramu, Kanuni ya Rebasi, Seti, Emoji na Akronimi.

Intrados 6. Arches ilionekana kama mapema ya milenia ya 2 KK katika usanifu wa matofali ya Mesopotamia, na matumizi yao ya utaratibu yalianza na Warumi wa kale ambao walikuwa wa kwanza kutumia mbinu kwa. Kiakadia3 iliyozungumzwa eneo la Mesopotamia, yaani eneo la Iraq kwa ramani ya leo. Ndiyo lugha ya Kidiplomasia iliyokuwapo kuanzia Milenia ya 3 KK hadi. Ufahamu wa falsafa ya Confucius na nafasi yake katika maendeleo ya kasi China ilitangazwa kuwa taifa la kwanza kufikia malengo mengi ya maendeleo ya milenia mwaka 2015. Confucius aliyezaliwa mwaka 551 K.K. anachukuliwa kama msomi mkubwa wa Kichina ambaye 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8.


...