Back

ⓘ Dola la Papa lilikuwa nchi huru chini ya himaya ya Papa kuanzia miaka ya 700 hadi 1870. Chanzo chake ni uvamizi wa makabila ya Wagermanik uliobomoa Dola la Roma ..
Dola la Papa
                                     

ⓘ Dola la Papa

Dola la Papa lilikuwa nchi huru chini ya himaya ya Papa kuanzia miaka ya 700 hadi 1870.

Chanzo chake ni uvamizi wa makabila ya Wagermanik uliobomoa Dola la Roma upande wa magharibi wa Bahari ya Kati. Wenyeji, wengi wao wakiwa Wakristo Wakatoliki, walimkimbilia Papa kama kiongozi wao atakayeweza kuwasaidia katika matatizo.

Baadaye Wafaranki walikubali kumuachia Papa mamlaka ya kisiasa juu ya maeneo mbalimbali nje ya Roma. Polepole maeneo yaliongezwa hata kufikia mikoa 3 na nusu ya Italia ya leo: Lazio, Umbria, Marche na sehemu ya Emilia-Romagna.

Dola lilikoma tarehe 20 Septemba 1870, jeshi la Italia lilipoteka mkoa na mji wa Roma, isipokuwa mtaa wa Vatikano.

Kwa mapatano ya tarehe 11 Februari 1929, badala yake ilianzishwa Mji wa Vatikani, nchi ndogo kuliko zote duniani kilometa mraba 0.44, wakazi 600 hivi, lakini huru ili mamlaka ya kiroho ya Papa isiingiliwe na watawala wa dunia kama ilivyotokea zamani.

                                     

1. Marejeo

 • De Cesare, Raffaele 1909. The Last Days of Papal Rome. London: Archibald Constable & Co.
 • Chambers, D.S. 2006. Popes, Cardinals & War: The Military Church in Renaissance and Early Modern Europe. I.B. Tauris. ISBN 1-84511-178-8.Kigezo:Sic
                                     
 • yasiyostaarabika. Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Leo. Alimfuata Papa Sixtus III akafuatwa na Papa Hilarius. Ndiye Papa wa kwanza kuitwa Mkuu kutokana
 • Ujerumani walikuwa pia wadhamini wa Papa wa Roma aliyeendelea kuwapa cheo cha Kaisari Hivyo himaya yao iliitwa Dola Takatifu la Kiroma. Katika karne ya 16 maeneo
 • Baada ya Kristo Juni - Papa Kornelio Agosti - Trebonianus Gallus, Kaisari wa Dola la Roma Septemba - Aemilianus, Kaisari wa Dola la Roma Wikimedia Commons
 • Mwisho wa Dola la Azteki. 4 Agosti - Papa Urban VII 13 Desemba - Papa Sixtus V 27 Aprili - Ferdinand Magellan, mpelelezi kutoka Ureno 1 Desemba - Papa Leo X
 • ilikwenda hadi mwaka wa 1049 ikimtaja Papa Leo IX kama Papa wa 154. Kulingana na hesabu hiyo, Papa wa sasa, Fransisko ni papa wa 268. Hakuna orodha rasmi ya
 • Majorian, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi, anajiuzulu. 7 Agosti - Majorian, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi 10 Novemba - Papa Leo I Wikimedia Commons
 • jina la Kaisari Honorius wa Dola la Roma Magharibi 395 - 423 Papa Honorius I 625 - 638 Papa Honorius II 1124 - 1130 Papa Honorius III 1216 - 1227 Papa Honorius
 • kutoka Marekani 244 - Gordian III, Kaisari wa Dola la Roma 731 - Mtakatifu Papa Gregori II 824 - Mtakatifu Papa Paskali I 1963 - Sylvia Plath, mshairi wa
 • mwanasiasa wa Tanzania 296 - Mtakatifu Papa Caio 455 - Petronius Maximus, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi 536 - Mtakatifu Papa Agapeto I 1322 - Mwenye heri Fransisko
 • Bayazid II wa Dola la Uturuki anatuma meli zake kwa shabaha ya kupokea Wayahudi wanaofukuzwa Hispania na kuwapeleka katika miji ya dola lake 2 Agosti
 • miaka mirefu Mpaka uishe zinabaki siku 151. 461 - Majorian, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi, anajiuzulu 1492 - Kristoforo Kolumbus anafunga safari yake

Users also searched:

...

Page 60 – Hatuchuji habari! Kwanza TV.

Возможно, вы имели в виду:. Jack Ma: Mfahamu Mmiliki Wa Kampuni La Alibaba! TeknoKona. Hadi Juni 2018, deni la Serikali lilifikia dola za Marekani milioni papa ambayo inahatarisha juhudi za uhifadhi wa rasilimali za uvuvi. PAPA AOMBA MSAMAHA KWA KASHFA ZA KANISA KATOLIKI. PAPA FRANCIS ACHANGIA DOLA 121.000 KUSAIDIA WAHANGA yaliyotokea Kaskazini mwa Msumbiji katika jimbo la Cabo Delgado. RAIS WA PALESTINA AMSHUKURU PAPA FRANCIS – Habari. Papa Francis aomba radhi kuhusu shutuma za ushoga. akiwahubiria maelfu ya watu waliokusanyika kwenye Uwanja wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Peter, KUCHUKUA DOLAChama chochote cha siasa nchini kina nafasi ya kushika dola​…. RAIS WA PALESTINA AMSHUKURU PAPA FRANCIS MTAA KWA. 3 a daraja la juu this essay is material insha hii ni ya daraja la juu. a an indef art 1 2 pl mambo state s mambo ya dola. foreign s mambo ya nchi za nje. 3 have an s creed n Imani ya Mitume adj 1 a kitume 2 a Papa. apostrophe n 1​.


...