Back

ⓘ Wafaranki walikuwa Wagermanik waliovamia Dola la Roma na hatimaye kujitokeza kama kabila lenye nguvu kuliko yote ya aina hiyo. Nchi ya Ufaransa imepata jina lak ..
Wafaranki
                                     

ⓘ Wafaranki

Wafaranki walikuwa Wagermanik waliovamia Dola la Roma na hatimaye kujitokeza kama kabila lenye nguvu kuliko yote ya aina hiyo.

Nchi ya Ufaransa imepata jina lake kutoka kwao, ambao waliitawala na kutoka huko wakaeneza himaya yao juu ya sehemu kubwa ya Ulaya Magharibi, wakizuia Waislamu wasiweze kutoka Hispania.

Ushirikiano wao na Mapapa, kama kabila la kwanza la Kijerumani kuingia Kanisa Katoliki bila kupitia kwanza Uario, ni kati ya mambo yaliyoathiri zaidi historia ya Ulaya.

Kilele cha ustawi wao kilifikiwa chini ya mfalme Karolo Mkuu aliyetiwa na Papa Leo III taji la Kaizari wa Roma tarehe 25 Desemba 800. Ndio mwanzo wa Dola Takatifu la Roma.

                                     

1. Marejeo

Vyanzo

 • Gregory of Tours. Libri Historiarum Latin. The Classics Page: The Latin Library. thelatinlibrary.com.
 • Gregory of Tours; Ernst Brehaut Translator 2007. Roman History. London; Internet: Bohn; tertullian.org.
 • Gregory of Tours
 • Procopius; H.B. Dewing Translator 2008. History of the Wars. Wikisource.
 • Procopius
                                     

2. Viungo vya nje

 • Kurth, G. 1909. "The Franks". The Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company.
 • Åhlfeldt, Johan 2010. Regnum Francorum Online - interactive maps and sources of early medieval Europe 614-840. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-10-11. Iliwekwa mnamo 2014-07-20.
 • The Franks. International World History Project 2001. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-09-12. Iliwekwa mnamo 2014-07-20.
 • Nelson, Lynn Harry 2001. The Rise of the Franks, 330-751. Lectures in Medieval History. vlib.us.
 • Martinsson, Örjan. The Frankish Kingdom. Historical Atlas. Iliwekwa mnamo 5 December 2011.
                                     
 • na ndugu wa askofu Remi aliyechangia wongofu na ubatizo wa mfalme wa Wafaranki Klovis I. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu
 • alifariki 489 alikuwa askofu wa mji huo leo nchini Ujerumani wakati Wafaranki walipouteka. Anaheshimiwa tangu kale kama mtakatifu. Sikukuu yake huadimishwa
 • yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake. Alipata umaarufu kama mtume wa Wafaranki kwa sababu alileta kwa Kristo kabila hilo kubwa la Kigermanik, la kwanza
 • na makabila mbalimbali ya Wagermanik: Wasaksoni, Wabatavi, Wafrisi na Wafaranki Katika karne ya 8 nchi ilikuwa sehemu ya dola la Karolo Mkuu, na katika
 • uvamizi wa Waarabu katika Ulaya Magharibi unasimamishwa na jeshi la Wafaranki linaloongozwa na Karolo Martell. Jemadari Mwarabu Abdul Rahman Al Ghafiqi
 • Chateaudun. Pamoja na askofu Remi alichangia wongofu na ubatizo wa mfalme wa Wafaranki Klovis I. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu
 • Papa kama kiongozi wao atakayeweza kuwasaidia katika matatizo. Baadaye Wafaranki walikubali kumuachia Papa mamlaka ya kisiasa juu ya maeneo mbalimbali
 • Sancy, Ufaransa, 609 Clichy, Ufaransa, 686 alikuwa askofu na waziri wa Wafaranki Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama
 • wa Kilperiko II, mfalme wa Burgundy, halafu mke wa Klovis, mfalme wa Wafaranki ambao wazao wake wakaja kutawala kwa miaka zaidi ya 200. Tangu alipoolewa
 • Akiwa madarakani alijitahidi sana kupatanisha wananchi wake na wavamizi Wafaranki Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu

Users also searched:

...

Ufaransa Gallia JamiiForums.

Kabila la Kigermanik la Wafaranki lilitawala sehemu kubwa ya Ufaransa pamoja na Ujerumani ya magharibi mnamo mwaka 500 AD. Mfalme.


...