Back

ⓘ Farakano la Kanisa la Magharibi lilitokea ndani ya Kanisa Katoliki katika miaka 1378-1418. Makardinali wenye jukumu la kumchagua Papa walichagua wawili, mmoja b ..
Farakano la Kanisa la Magharibi
                                     

ⓘ Farakano la Kanisa la Magharibi

Farakano la Kanisa la Magharibi lilitokea ndani ya Kanisa Katoliki katika miaka 1378-1418.

Makardinali wenye jukumu la kumchagua Papa walichagua wawili, mmoja baada ya mwingine, na hivyo kusababisha isieleweke yupi ana haki ya kuongoza.

Siasa ilijiingiza na kudumisha fujo kubwa, ingawa si kuhusu mafundisho ya imani, mpaka Mtaguso wa Konstanz 1414–1418 ulipotoa suluhisho.

Hata hivyo ilibaki athari mbaya juu ya mamlaka ya Mapapa waliofuata.

                                     

1. Marejeo

 • The Three Popes: An Account of the Great Schism, by Marzieh Gail.
 • The Great Schism: 1378, by John Holland Smith New York 1970.
 • The Origins of the Great Schism: A study in fourteenth century ecclesiastical history, by Walter Ullmann).
                                     
 • lilitumika upande wa mashariki, hivi kwamba lilipotokea farakano la mwaka 1054, likabaki kama jina maalumu la makanisa yenye ushirika na Patriarki wa Konstantinopoli
 • mashariki wa Bahari ya Kati na nje ya Dola la Roma yakiwa na mielekeo tofauti na ile ya Kanisa la Magharibi ambalo ndilo aina ya Ukristo iliyoenea zaidi
 • 1054 BK Baada ya Kristo Farakano latokea ndani ýa Ukristo kati ya kanisa katoliki katika Ulaya ya Magharibi na kanisa la Kiorthodoksi katika milki ya
 • kueleweka. Kimsingi kuna mahesabu mawili: mapokeo ya Ukristo wa magharibi kwa Kanisa Katoliki la Kilatini na Waprotestanti wengi, kama vile Anglikana, Walutheri
 • walisababisha farakano ndani ya Kanisa lililoendelea kwa muda wa karibu miaka 40 1378 - 1417 Katika hilo Farakano la Kanisa la Magharibi baadhi ya maaskofu
 • 1130 - 1143 unahesabiwa na Kanisa Katoliki kuwa mtaguso mkuu wa kumi. Ni wa pili kufanyika Magharibi kwenye Kanisa kuu la Roma Italia Mtaguso ulihitajika
 • Sifa nne za Kanisa kadiri ya imani ya madhehebu mengi ya Ukristo, ni zile ambazo zinalitambulisha Kanisa la kweli kati ya makundi mengi ya Ukristo ni
 • Ulifanyika Konstanz Ujerumani Lengo kuu lilikuwa kumaliza Farakano la Kanisa la Magharibi lililofikia hatua ya kuona maaskofu watatu kujidai Papa kwa
 • Kandia, 1339 3 Mei 1410 kwa mtazamo rasmi wa Kanisa Katoliki alikuwa antipapa wakati wa Farakano la Magharibi 1378 1417 ingawa wanahistoria wengine wanamuona
 • kutenga na Kanisa watakaokataa kuiamini na watakaofundisha tofauti. Kumbe mitaguso iliyofanyika baada ya farakano la mwaka 1054 kati ya Kanisa la Mashariki
 • wa Kanisa kiasi kwamba kwanza Mapapa waliishi Avignon, mbali na Roma, kwa miaka 69 1309 - 1378 halafu kwa miaka 38 1378 - 1409 kukawa na Farakano la Kanisa
 • Kanisa la Kisiria la Kiorthodoksi la Malankara ni mojawapo kati ya yale ya Waorthodoksi wa Mashariki. Inasemekana asili yake ni kusini mwa India mwaka
 • Estonia, Latvia, Namibia na jimbo la North Dakota la Marekani. Muundo wao wa kanisa ni ama dayosisi jimbo au kanisa la kitaifa. Asilimia kubwa ya Walutheri

Users also searched:

...

Jua Umeme wa Mashariki: siku za mwisho.

Kwaya Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani Onyesho la Awali: Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki Kazi ya hukumu ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho imevuma katika kila farakano na Kwa kuwa kama umeme unavyotokea mashariki, na kumulika pia magharibi. FASIHI YA KIAFRIKA – Mwalimu Wa Kiswahili. Ujumbe wa kanisa la kwanza umepewa umuhimu mkubwa katika kitabu cha Kisha anaeleza maisha ya Kanisa la Yerusalemu, kuenezwa kwa Injili farakano likaanza kati ya Mafarisayo na upande wa kusini magharibi na kaskazini. Matendo ya Mitume Biblia. Mwana wa Adamu inahusu umbo la Mungu lililopata mwili wa Mungu, ambaye atakuwa mtu wa kawaida. Hata Mwana wa Adamu mwenyewe. Umeme wa Mashariki ni Njia ya Kweli Ambapo Mungu. Kanisa Katoliki likiwa la zamani Waorthodoksi na Waorthodoksi kwa miaka 38 1378 1409 kukawa na Farakano la Kanisa la Magharibi,.


...