Back

ⓘ Wimbiredio ni sehemu ya mnururisho sumakuumeme. Ni mawimbi yenye masafa ya mawimbi baina ya sentimita 10 na kilomita 100; upeo wa marudio ni kilohezi kadhaa had ..
Wimbiredio
                                     

ⓘ Wimbiredio

Wimbiredio ni sehemu ya mnururisho sumakuumeme. Ni mawimbi yenye masafa ya mawimbi baina ya sentimita 10 na kilomita 100; upeo wa marudio ni kilohezi kadhaa hadi gigahezi 3.

Sawa na mawimbi yote ya sumakuumeme zinatembea kwa kasi ya nuru. WImbiredio hutokea kiasili kutokana na radi, au mnururisho wa nyota. Tabia ya nyota kutoa mnururisho huu inatumiwa na astronomia kwenye vituo vya pekee ambako antena kubwa zinakusanya wimbiredio kutoka anga la ulimwengu.

Jina "wimbiredio" latokana na matumizi kwa mitambo ya redio. Mnamo 1873 James Clerk Maxwell alionyesha kwa njia ya hisabati ya kwamba mawimbi sumakuumeme yanaweza kupita hewani. Heinrich Rudolf Hertz alifaulu mwaka 1888 kutengeneza mawimbi haya na kuyapokea. Hii ilikuwa chanzo cha upelekaji habari kwa njia ya wimbiredio.

                                     
  • sumaku na uga wa umeme na kubeba nishati. Mifano ya mawimbi sumakuumeme ni wimbiredio mikrowevu, mawimbi ya joto, mawimbi ya urujuanimno, eksirei, na nuru
  • mara bilioni 100.. Alikuwa pia kati ya wataalamu wa kwanza waliotumia wimbiredio kwa kupima nyota. Oort alikadiria kuwepo kwa wingu la magimba madogo yanayozunguka
  • yanayotumia wimbiredio Wakati wa kuonekana kwa milipuko kwenye uso wa Jua hutokea mabadiliko katika nguvu ya uga sumaku duniani. Tangu kutumia wimbiredio kwa
  • kuwaka kama nova mwaka 1902 picha ilipatikana kwa kuunganisha picha zilizopigwa katika upeo wa eksirei buluu nuru njano na wimbiredio nyekundu

Users also searched:

...

Online mchezo Sim taxi. Kucheza online bure mchezo Sim taxi.

Lakini barabara na uwezo wa kutokea kama unataka wote, podrezhet inexperienced dereva au mnunuzi hapendi wimbi redio, wewe ni kusikiliza. Kuomba. I 1 i games 1.swf.


...