Back

ⓘ Mari ilikuwa dola-mji wa ustaarabu wa Mesopotamia baina ya miaka 2900 - 1760 hivi KK. Mji huo ulikuwa kando ya mto Frati, takriban katikati ya kitovu cha Mesopo ..
Mari
                                     

ⓘ Mari

Mari ilikuwa dola-mji wa ustaarabu wa Mesopotamia baina ya miaka 2900 - 1760 hivi KK.

Mji huo ulikuwa kando ya mto Frati, takriban katikati ya kitovu cha Mesopotamia na pwani ya Mediteranea na hivyo kitovu muhimu cha biashara ya kimataifa ya wakati ule.

Ulikuwa pia kitovu muhimu cha utamaduni na sanaa na kwa vipindi kadhaa ulitawala milki kubwa, ukishindana hasa na Ebla.

Katika mabaki yake yamepatikana maandishi mengi katika vigae.

                                     

1. Marejeo

 • 2007 Water Engineering in Ancient Civilizations: 5.000 Years of History. CRC Press. ISBN 978-9-078-04605-9.
 • 2003 The Storm-god in the Ancient Near East. Eisenbrauns. ISBN 978-1-57506-069-9.
 • 2009 The Routledge Handbook of the Peoples and Places of Ancient Western Asia: The Near East from the Early Bronze Age to the Fall of the Persian Empire. Routledge. ISBN 978-1-134-15908-6.
 • 1990 Old Babylonian Period 2003–1595 BC. University of Toronto Press. ISBN 978-0-8020-5873-7.
 • 2003 The Archaeology of Syria: From Complex Hunter-Gatherers to Early Urban Societies c.16.000-300 BC. Cambridge University Press. ISBN 978-0-521-79666-8.
 • 2002 Whos Who in the Ancient Near East. Routledge. ISBN 978-1-134-78795-1.
 • 2003 The God Dagan in Bronze Age Syria. Bill. ISBN 978-9-004-13158-3.
 • 2014 Ancient Syria: A Three Thousand Year History. Oxford University Press. ISBN 978-0-191-00292-2.
 • 2002 Mari and Karana: Two Old Babylonian Cities. Gorgias Press. ISBN 978-1-931956-02-4.
 • 2003 Letters to the King of Mari: A New Translation, with Historical Introduction, Notes, and Commentary. Eisenbrauns. ISBN 978-1-575-06080-4.
 • 2001 The Oxford History of the Biblical World. Oxford University Press. ISBN 978-0-19-513937-2.
 • 2008 Pre-Sargonic Period: Early Periods, Volume 1 2700-2350 BC. University of Toronto Press. ISBN 978-1-442-69047-9.
 • 2003 Art of the First Cities: The Third Millennium B.C. from the Mediterranean to the Indus. Metropolitan Museum of Art. ISBN 978-1-588-39043-1.
 • 2013 The Ancient Near East: History, Society and Economy. Routledge. ISBN 978-1-134-75091-7.
 • 2002 Eblaitica: Essays on the Ebla Archives and Eblaite Language, Volume 4. Eisenbrauns. ISBN 978-1-57506-060-6.
 • 2008 4 ICAANE. Harrassowitz Verlag. ISBN 978-3-447-05757-8.
 • 2010 Brotherhood of Kings: How International Relations Shaped the Ancient Near East. Oxford University Press. ISBN 978-0-199-79875-9.
 • 2013 The Sumerian World. Routledge. ISBN 978-1-136-21912-2.
                                     
 • Bashkiria Buryatia Dagestan Yakutia Kabardia - Balkaria Kalmukia Karelia Komi Mari Mordovia Ossetia ya Kaskazini Udmurtia Tataria Chechenia - Ingushenia Chuvashia
 • ya Kisite Mpunguti Hifadhi ya Taifa ya Malindi Hifadhi ya Taifa ya Malka Mari Hifadhi ya Taifa ya Masai Mara Hifadhi ya Taifa ya Meru Hifadhi ya Taifa
 • Flaviano a Montefiascone. Restauri di affreschi: ipotesi Ediart 1987 M. Mari Le reliquie del martire Flaviano Centro iniziativeculturali Montefiascone
 • Abakuria: C.A.D. 1400 - 1914, Page 27 e Uganda Journal, 1980, Page 46 Tripp, Aili Mari Women and Politics in Uganda, Page 127 Fleisch, Axel& Rhiannon Stephens
 • tegemeo la familia yote. Mwaka 1837 Rosello aliitikia wito wa Agostino De Mari wa kujitolea kulea watoto maskini akapatiwa nyumba ndogo kwa ajili yake na
 • Beniers Teresa Bolsi Conchita Cintrón Nicolasa Escamilla La Pajuelera Mari Fortes Roca Angela Hernandez Elena Gayral Blanca Inés Macías Monsalve Rosarillo
 • Realest, Chamillionaire, Ras Kass, Chingo Bling, Kelly Rowland, Teairra Mari Chris Brown, na wengine kibao. Kwa sasa ana fanya kazi na msanii wa R&B
 • Kale mnamo mwaka 2700 KK China ya Kale mnamo mwaka 2000 KK mji wa Mari katika Mesopotamia mnamo 1700 KK Mji wa Athens katika Ugiriki ya Kale
 • ya Losai Mbuga ya Kitaifa ya Majini ya Malindi Mbuga ya Kitaifa ya Malka Mari Mbuga ya Kitaifa ya Marsabit Mbuga ya Kitaifa ya Meru Mbuga ya Majini ya

Users also searched:

...

Form One Selection 2021.

Arsenal wamalizana na Pablo Mari. Arsenal imetangaza usajili wa Beki wa Kati wa Kimataifa wa Hispania, Pablo Mari Villar kwa mkopo mpaka. Mari yapinda Swahili Tigrinya መዝገበቃላት Swahili kasahorow. Mohamed Salah and Pablo Mari. Arsenal wanakaribia kumsajili beki wa Flamengo ya Brazil Pablo Mari, 26. Mail Mitrovic, 25, anaweza.


...