Back

ⓘ Msimbo wa posta ni ufutanao wa tarakimu au herufi unaotaja eneo ambako barua inatakiwa kufikishwa. Siku hizi posta za nchi nyingi za dunia hutumia misimbo hii. ..
Msimbo wa posta
                                     

ⓘ Msimbo wa posta

Msimbo wa posta ni ufutanao wa tarakimu au herufi unaotaja eneo ambako barua inatakiwa kufikishwa.

Siku hizi posta za nchi nyingi za dunia hutumia misimbo hii. Kusudi lake ni kurahisisha kazi ya kuchambua na kutenganisha barua zinazopokelewa kufuatana na mahali zinapotumwa. Si lazima tena mfanyakazi wa posta ajue mahali pengi inatosha kugawa barua kufuatana na misimbo iliyoandikwa kwenye bahasha. Kwa hiyo misimbo hupangwa kufuatana na utaratibu wa kugawa na kusafirisha barua.

Kwa matumizi ya teknolojia ya kisasa kuna pia mashine zinazochambua barua zikitambua namba kwenye bahasha.

Nchi zilizo nyingi hutumia tarakimu pekee katika msimbo wa posta. Nchi zifuatazo huunganisha herufi na tarakimu: Argentina, Bermuda, Brunei, Kanada, Jamaika, Malta, Uholanzi, Ufalme wa Maungano =Uingereza na Venezuela.

Katika Kenya na Tanzania kuna mfumo wa msimbo wa posta mwenye tarakimu tano. Tazama pia Mfumo wa Msimbo wa Posta Tanzania na Mfumo wa Msimbo wa Posta Kenya

Kwa mfano barua kwa mteja huko Nairobi-Westlands awe na msimbo wa posta 00800, halafu jina na namba ya sanduku la posta; kwa mteja huko Ololulunga katika Bonde la Ufa msimbo ni 20503.

Vivyo hivyo katika Tanzania barua kwenda Kashaulili huko Mpanda katika Mkoa wa Katavi iwe na msimbo 50106; mfanyakazi hahitaji kukumbuka jina na kata hii inatosha akiona msimbo uananza kwa tarakimu 5 ataweka bahasha katika kikapu cha Katavi.

                                     
 • kata ya Wilaya ya Geita katika Mkoa wa Geita, Tanzania. Ilianzishwa baada ya sensa ya mwaka 2012. Msimbo wa posta ni 30143. Combined postcode list Archived
 • kata ya Wilaya ya Geita katika Mkoa wa Geita, Tanzania. Ilianzishwa baada ya sensa ya mwaka 2012. Msimbo wa posta ni 30145. Combined postcode list Archived
 • katika Mkoa wa Geita, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 22, 402 waishio humo. Msimbo wa posta ni 30118
 • kata ya Wilaya ya Geita katika Mkoa wa Geita, Tanzania. Ilianzishwa baada ya sensa ya mwaka 2012. Msimbo wa posta ni 30138. Combined postcode list Archived
 • kata ya Wilaya ya Geita katika Mkoa wa Geita, Tanzania. Ilianzishwa baada ya sensa ya mwaka 2012. Msimbo wa posta ni 30140. Combined postcode list Archived
 • kata ya Wilaya ya Geita katika Mkoa wa Geita, Tanzania. Ilianzishwa baada ya sensa ya mwaka 2012. Msimbo wa posta ni 30144. Combined postcode list Archived
 • kata ya Wilaya ya Geita katika Mkoa wa Geita, Tanzania. Ilianzishwa baada ya sensa ya mwaka 2012. Msimbo wa posta ni 30142. Combined postcode list Archived
 • kata ya Wilaya ya Geita katika Mkoa wa Geita, Tanzania. Ilianzishwa baada ya sensa ya mwaka 2012. Msimbo wa posta ni 30137. Combined postcode list Archived
 • kata ya Wilaya ya Geita katika Mkoa wa Geita, Tanzania. Ilianzishwa baada ya sensa ya mwaka 2012. Msimbo wa posta ni 30147. Combined postcode list Archived
 • kata ya Wilaya ya Geita katika Mkoa wa Geita, Tanzania. Ilianzishwa baada ya sensa ya mwaka 2012. Msimbo wa posta ni 30148. Combined postcode list Archived
 • Vijijini ni wilaya moja ya Mkoa wa Shinyanga yenye msimbo wa posta 37200. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 277

Users also searched:

posta tanzania, tanzania postal code,

...

TAFSIRI YA MANENO KUTOKA ENGLISH KWENDA KISWAHILI.

Hivyo basi, makala haya yanaangazia mchango wa lugha ya Kihindi katika Mtindo huu hujitokeza kama lugha kienzo ya mjazo na msimbo Bright, 1992. kocha, koliflawa, kontrakta, mjinakolojia, olimpiki, osimosisi, posta, rekodiplea,. Hali ya hewa ya Siku 25 Tawi Utabiri wa AccuWeather wa Pwani. Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda ni miongoni mwa Halmashauri tano za Mkoa wa Katavi ambayo ilianzishwa tarehe 01 Julai, 2007 kwa mujibu wa tangazo. How Do I Single Mkoa wa Dar es Salaam. Wakala wa Serikali na wadau wa Sekta ya Posta namna ya kutimiza wajibu wao katika kusimamia masuala ya. Anwani za Makazi kwa kuzingatia Sheria,. WARAKA WA TOLEO KWA UFUPI SOLOMON Stockbrokers. KITENGO CHA ANWANI ZA MAKAAZI NA MISIMBO YA POSTA yatatambulishwa kwa kutumia majina ya maeneo yaliyopo pamoja na msimbo wao wa posta.


...