Back

ā“˜ Ungamo la Augsburg ni mafundisho yaliyotungwa mwaka 1530 wafuasi wa Martin Luther walipodaiwa kujieleza mbele ya Bunge la Dola Takatifu la Kiroma ili kurudisha ..
Ungamo la Augsburg
                                     

ā“˜ Ungamo la Augsburg

Ungamo la Augsburg ni mafundisho yaliyotungwa mwaka 1530 wafuasi wa Martin Luther walipodaiwa kujieleza mbele ya Bunge la Dola Takatifu la Kiroma ili kurudisha umoja wa Kanisa.

Lengo lake lilikuwa kuendeleza matengenezo ya Kiprotestanti, lakini pia kudumisha umoja huo.

Katika sehemu ya kwanza 1-21 linafafanua mafundisho ya Kilutheri namna ya kuonyesha kwamba hayapingani na yale ya "Kanisa Katoliki au ya Kanisa la Roma".

Sehemu ya pili inazungumzia mabadiliko yaliyoanzishwa na watengenezaji ili kurekebisha mambo kadhaa yaliyotazamwa kama "maovu" 22-28, ikieleza haja ya mabadiliko hayo.

Ungamo hilo ni thibitisho tosha la nia ya Walutheri wa kwanza ya kubaki ndani ya Kanisa pekee linaloonekana.

                                     
  • aunde kamati maalumu, nayo ilianzisha aina ya utawala wa Kikanisa. Ungamo la Augsburg ni mafundisho yaliyotungwa mwaka 1530 wafuasi wake walipodaiwa kujieleza
  • Christological Controversy. Sources of Early Christian Thought Series. Minneapolis: Augsburg Fortress, 1980. ISBN 0 - 8006 - 1411 - 9 O Collins, Gerald. Christology: A Biblical
  • alikuwa na imani yao. Hivyo katika Dola la Kijerumani yalikubalika rasmi maeneo yaliyoshikilia Ungamo la Augsburg na yale yaliyobaki katika Kanisa Katoliki

Users also searched:

...

Imani yetu Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT DMP.

Mitume, Mitume, Athanasio na Makanisa ya Kilutheri, hasa Kanisa la Augsburg Lisilo na Marekebisho na Katekisimu ya Martin Lutheran ni maelezo ya kweli ya. KAULI RASMI YA PAMOJA YA FUNGAMANO LA MAKANISA YA. Lililotolewa na Kanisa la Muungano la Kiinjili la Kilutheri la Ujerumani, pamoja Iā€‹ Kauli ya Tume ya pamoja ya kikatoliki kilutheri juu ya Ukiri wa Augsburg, la dhambi linalotamkwa katika Sakramenti ya Ungamo Kitubio,. Mjue Martin Luther kwa undani na ujue kwanini yupo KKKT. Ungamo la Augsburg ni mafundisho yaliyotungwa mwaka 1530 wafuasi wake walipodaiwa kujieleza mbele ya Bunge ili kurudisha umoja wa.


...