Back

ⓘ Rabi. Neno lenyewe lina maana ya ustadh, profesa, mwalimu. Kazi yake kuu ni kufundisha Torati akijua vema majadiliano ya Talmudi na mafundisho mbalimbali ya sha ..
Rabi
                                     

ⓘ Rabi

Neno lenyewe lina maana ya "ustadh", "profesa", "mwalimu".

Kazi yake kuu ni kufundisha Torati akijua vema majadiliano ya Talmudi na mafundisho mbalimbali ya sharia ya kidini ya Uyahudi.

                                     

1. Masomo na elimu

Kwa kawaida Myahudi anaweza kuitwa rabi kama amemaliza masomo kwa muda baina ya miaka 5 hadi 8 katika chuo cha Talmudi au pia kwenye vyuo vingine vinavyofundisha habari za Torati, Talmud, falsafa na historia ya Uzahudi pamoja na sheria ya kidini ya Kiyahudi. Mara nyingi masomo haya yanamalizika kwa mtihani na cheti, lakini kuna pia marabi waliosoma kwa muda mrefu na kukubaliwa baadaye kama kiongozi wa sinagogi au jumuiya kutokana na elimu, hekima na sifa zao hata bila vyeti.

                                     

2. Shughuli

Mara nyingi rabi atapata ajira katika sinagogi au kama mwalimu wa vyuoni. Katika mazingira ya kisasa hasa Ulaya ya Magharibi na Marekani marabi wanatekeleza shughuli nyingi zinazofanana na kazi ya mchungaji katika kanisa la kikristo kama vile kuongoza ibada ya sinagogi, kutoa hotuba ya Sabato, kufundisha vijana, kuwandaa mume na mke kwa ndoa zao, kutoa ushauri kwa watu wenye maswali au matatizo na kuongoza sinagogi wka jumla. Lakini ibada ya sinagogi si lazima kuendeshwa na rabi, lazima ni wanaume wazima Wayahudi.

Katika dhebebu kubwa ya Uyahudi wa Kiorthodoksi ni wanaume pekee wanaoweza kuwa rabi. Mielekeo mingine inaruhusu pia wanawake.

                                     

3.1. Kujisomea Wanawake katika Uyahudi usio Orthodoksi

 • Nadell, Pamela. Women Who Would Be Rabbis: A History of Womens Ordination, 1889–1985, Beacon Press, 1998. ISBN 0-8070-3649-8.
                                     

3.2. Kujisomea Wanawake katika Uyahudi wa Kiorthodoksi

 • Debra Nussbau, Cohen, Jewish tradition vs. the modern-day female, March 17, 2000, Jewish Telegraphic Agency
 • Mason Delugoda
 • Moshe Ychiail Freidman, Women in the Rabbinate, Jewish Observer, 17:8, 1984, 28–29.
 • Lauren Gelfond Feldinger, The Next Feminist Revolution, The Jerusalem Post, March 17, 2005
 • Laurie Goodstein, Causing a Stir, 2 Synagogues Hire Women to Aid Rabbis, February 6, 1998, New York Times
 • Jonathan Mark, Women Take Giant Step In Orthodox Community: Prominent Manhattan shul hires congregational intern’ for wide-ranging spiritual duties, The Jewish Week December 19, 1997
 • Jeff Helmreich, Orthodox women moving toward religious leadership, Friday June 6, 1997, Long Island Jewish World
 • Ben Greenberg, Women Orthodox Rabbis: Heresy or Possibility?, First Things, October 2009
 • Mimi Feigelson, Yeshivah Student, Feminine Gender Archived Septemba 3, 2011 at the Wayback Machine., Eretz Acheret Archived 2012-12-05 at Archive.today Magazine
 • Gil Student, When Values Collide, First Things, September 2009
 • Marilyn Henry, Orthodox women crossing threshold into synagogue, Jerusalem Post Service, May 15, 1998
 • Emanuel Rackman, Women as Rabbis Suggestions for Alternatives, Judaism, Vol.33, No.1, 1990, p. 66–69.


                                     

4. Viungo vya Nje

 • Rabbi, Jewishencyclopedia.com
 • "Rabbi and Rabbinism". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913. – A pre-Vatican II Catholic view of the development of the Rabbinical office
 • A book review by Rabbi Twersky that deals with advanced study of Torah in relation to Orthodox Jewish women
 • The American Rabbi - Rabbinic resource of sermons, stories, anecdotes and writings for todays rabbis.