Back

ⓘ Rikardo Pampuri, O.H. alikuwa daktari na bradha wa shirika la kihospitali la Mt. Yohane wa Mungu nchini Italia. Kabla ya hapo alijiunga na Utawa wa Tatu wa Mt. ..
Rikardo Pampuri
                                     

ⓘ Rikardo Pampuri

Rikardo Pampuri, O.H. alikuwa daktari na bradha wa shirika la kihospitali la Mt. Yohane wa Mungu nchini Italia.

Kabla ya hapo alijiunga na Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko.

Yohane Paulo II alimtangaza kwanza mwenye heri tarehe 4 Oktoba 1981, halafu mtakatifu tarehe 1 Novemba 1989.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

                                     

1. Viungo vya nje

  • Biography at the Vatican website
  • Biography at Hospitallers of Saint John of God site Archived Septemba 4, 2006 at the Wayback Machine.
  • Riccardo Pampuri: The communion of saints and prayer Archived Septemba 29, 2007 at the Wayback Machine.