Back

ⓘ Filipo II wa Hispania ; 21 Mei 1527 – 13 Septemba 1598, alikuwa mfalme wa Hispania, Ureno, Napoli na Sicily, na mume wa malkia Maria I wa Uingereza. Alikuwa pia ..
Filipo II wa Hispania
                                     

ⓘ Filipo II wa Hispania

Filipo II wa Hispania ; 21 Mei 1527 – 13 Septemba 1598), alikuwa mfalme wa Hispania, Ureno, Napoli na Sicily, na mume wa malkia Maria I wa Uingereza. Alikuwa pia mtawala wa Milano na kuanzia mwaka 1555 wa wilaya kumi na saba za Netherlands.

Dola lake lilienea katika mabara yote yaliyojulikana na Wazungu, na mpaka leo nchi ya Ufilipino inaitwa kwa jina lake Visiwa vya Filipo. Chini yake, Hispania ilifikia kilele cha ustawi wake.

                                     

1. Vyanzo na marejeo

 • Harry Kelsey, Philip of Spain, King of England: the forgotten sovereign.
 • Geoffrey Parker, The Grand Strategy of Philip II New Haven, 1998.
 • Glyn Redworth, "Philip 1527–1598", Oxford Dictionary of National Biography, online edition, May 2011 Retrieved 25 Aug 2011
 • Markus Reinbold, Jenseits der Konfession. Die frühe Frankreichpolitik Philipps II. von Spanien 1559–1571 Beihefte der Francia, 61.
 • Pettegree, Andrew 2002. Europe in the Sixteenth Century. Blackwell. ISBN 0-631-20704-X.
 • Benton Rain Patterson, With the Heart of a King: Elizabeth I of England, Philip II of Spain & the Fight for a Nations Soul & Crown 2007
 • Geoffrey Parker, Imprudent King: A New Life of Philip II 2014.
 • Rodriguez-Salgado, M.J. "The Court of Philip II of Spain". In Princes Patronage and the Nobility: The Court at the Beginning of the Modern Age, cc. 1450–1650. Edited by Ronald G. Asch and Adolf M. Birke. New York: Oxford University Press, 1991. ISBN 0-19-920502-7.
 • Henry Kamen, Philip of Spain – the standard modern biographical source.
                                     

2. Viungo vya nje

 • The Grand Strategy of Philip II" Archived Machi 10, 2007 at the Wayback Machine.
 • Letters of Philip II, King of Spain 1592–1597
 • Philip II Letter, 1578 Dec. 2. From the Collections at the Library of Congress
 • "Philip II". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
 • King Philip II Grant of Arms, 1566 Nov. 25. From the Collections at the Library of Congress
 • Letters of Philip II, King of Spain, 1592–1597 at L. Tom Perry Special Collections, Brigham Young University
 • Paul IV letter to Philip II, MSS 8489 at L. Tom Perry Special Collections, Brigham Young University
 • Philip II of Spain King of England
                                     
 • Wengine ni Gaetano wa Thiene 1547 Ignas wa Loyola 1556 Filipo Neri 1595 na Kamilo wa Lellis 1614 waanzilishi wa mashirika yasiyo ya Kifransisko
 • halafu Fransisko wa mt. Mikaeli, Gonzalo Garcia na Filipo wa Yesu, mabradha, ambao wote walifia dini Japani 1597 hatimaye Yohane Yosefu wa Msalaba 1734
 • Wakristo wengine wa kwanza, hasa Stefano na Filipo mwinjilisti. Pamoja na hayo, Luka anasisitiza kuwa mhusika na mtendaji mkuu wa ustawi wa Kanisa si binadamu
 • VI alipoaga dunia, Hearne alimsindikiza Malkia Elizabeth II na mumewe Filipo mwanamfalme wa Edinburgh, kwa dhifa ya kitaifa hotelini Treetops, ambayo
 • shirika lake likakubaliwa kutambulika kuwa la kilimwengu. Upande wa wanaume Filipo Neri 1515 - 1595 ndiye maarufu zaidi kati ya walioanzisha jumuia ambapo
 • kama dalili ya wokovu. Juhudi za Filipo mwinjilisti zikaja kuthibitishwa na mitume kwa kuwawekea mikono Wakristo wapya wa Samaria. Wakati uleule likatukia

Users also searched:

...

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe Jua huzama katika.

Ii Mheshimiwa Spika, mwaka 2007 Bunge lako Tukufu lilijadili na Mheshimiwa Spika, naomba kujibu swali la Mheshimiwa James Philipo za nchi za Denmaki, Hispania, Japani, Kanada, Marekani, Norwe, Uswidi,. Ronaldo anaporudishwa kumtesti Mourinho Utd IPP Media. Возможно, вы имели в виду:. 1 BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA. Manchester United tayari ni mabingwa wa Europa League na Real Madrid ikiwachapa mahasimu wao wa Hispania Sevilla katika fainali ya Uefa kusafiri umbali wa maili 1.237 hadi katika Uwanja wa Philip II Arena nchini. Mchezo huo wa Uefa Super Cup utapigwa kwenye Uwanja wa Philip II kuwafunga Sevilla ambao pia wanatoka Ligi Kuu Hispania, La Liga.


...