Back

ⓘ Henry VIII alikuwa mfalme wa Uingereza kuanzia tarehe 21 Aprili 1509 hadi kifo chake. Ni wa pili kutoka nasaba ya Tudor, akimfuata baba yake, Henry VII. ..
Henry VIII
                                     

ⓘ Henry VIII

Henry VIII alikuwa mfalme wa Uingereza kuanzia tarehe 21 Aprili 1509 hadi kifo chake. Ni wa pili kutoka nasaba ya Tudor, akimfuata baba yake, Henry VII.

                                     

1. Maisha na matukio

Henry anajulikana hasa kwa kuoa wanawake sita, mmoja baada ya mwingine, na hasa kwa juhudi zake za kubatilisha ndoa yake ya kwanza na Katerina wa Aragona zilizomfanya hatimaye atenganishe Kanisa la Uingereza na Papa, akijifanya mkuu wa Kanisa. Pamoja na kutengwa na Kanisa Katoliki kwa sababu hiyo, aliendelea kusadiki mafundisho yake.

Katika masuala ya ndani, Henry alijulikana kwa kubadilisha sana katiba ya nchi, akizidisha mamlaka yake mwenyewe. Waliopinga walishutumiwa kama wasaliti na mara nyingi kuhukumiwa adhabu ya kifo, akiwemo waziri mkuu Thomas More.

Matumizi yake yalikuwa makubwa mno, kwa ajili ya fahari na vita, hivi kwamba pesa nyingi alizofaulu kujipatia kwa kuteka mali ya monasteri na kuzuia kodi iliyokuwa inalipwa awali kwa Papa, hazikumtosha kamwe.

Aliunganisha Uingereza na Wales akawa pia mfalme wa kwanza wa Uingereza kushika nafasi ya mfalme wa Ireland.

Mwanzoni wengi walipendezwa naye, lakini baadaye alizidi kunenepa, afya yake ilitetereka, na hata nafsi yake ilivurugika na kumfanya mzinzi, mkatili, mwoga.

Baada yake alitawala mwanae Edward VI.

                                     

2. Viungo vya nje

 • ame orodheshwa katika International Music Score Library Project
 • Free scores by Henry VIII katika Choral Public Domain Library ChoralWiki
 • media kuhusu Henry VIII of England pa Wikimedia Commons
 • Works by Henry VIII katika Project Gutenberg
 • Portraits of Henry VIII Archived Desemba 12, 2018 at the Wayback Machine.
                                     
 • 8820972107 Kuhusu Papa Hilarius katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki Wace, Henry 1911 Hilarius, bp. of Rome Dictionary of Christian Biography and Literature
 • Britannica Stanley, H.M., 1899, Through the Dark Continent, London: G. Newnes, Vol. Two, uk. 223 ff chapter VIII inapatikana mtandanoni kwa archive.org
 • Online at CCEL. Part I Part II Part III Part IV Part V Part VI Part VII Part VIII Accessed 13 December 2009. Artemi, Eirini, The religious policy of the Byzantine
 • chake. Ni mfalme pekee wa nchi hiyo kutangazwa mtakatifu na Papa Boniface VIII 1297 Anahesabiwa kuwa mtawala bora wa Kikristo kwa jinsi alivyojalia ibada
 • Miaka 100 walipaswa kuachana na madai haya. Katika karne ya 16 mfalme Henry VIII aliamua kutanganisha Kanisa Katoliki la nchi yake kutoka mamlaka ya Papa
 • utangulizi kwa vitabu vya Samueli na Wafalme katika Vulgata Chadwick, Henry The Pelican History of the Church 1: The Early Church. Walker, Williston
 • Autoridade da Verdade - Momentos Obscuros do Magistério Eclesiástico Capítulo VIII Os papas repartem terras - Pág.: 64 - 65 e Capítulo VI: O papa tem poder temporal
 • Self - Revealed kuandikwa na William Cabell Bruce 1919: The Education of Henry Adams kuandikwa na Henry Adams 1920: The Life of John Marshall, majuzuu manne kuandikwa
 • kwa mfano kutofautisha wafalme au mapapa wenye jina lilelile kama King Henry VI au Papa Yohane XIII Herufi hizi zilikuwa: I 1 V 5 X 10 L
 • the XVII and XVIII Centuries. Oxford, Eng.: Oxford University Press, 1950. viii 622 p. Marpeck, Pilgram 1978 Klassen, William Klassen, Walter, eds.
 • Statesman and Saint: Cardinal Wolsey, Sir Thomas More, and the Politics of Henry VIII ISBN 0 - 670 - 48905 - 0. Marius, Richard 1984 Thomas More: A Biography

Users also searched:

...

Muhtasari wa kikao cha kamati ya ushauri Arusha Regional.

Mfalme Henry wa VIII wa Uingereza ni mmoja ya wafalme waliougua ugonjwa huu. Alexander the great, Christopher columbus, Sir Isaack. Mchezo Henry VIII online. Kucheza kwa bure. Viii Ofisi ya Makamu wa Rais isimamie uandaaji wa Tathmini ya Mazingira Nuhu Hatibu, Henry Mahoo, Barbara van Koppen na Hervé Levite, 2002. Sababu.


...