Back

ⓘ Uandishi wa barua ya simu ni njia mojawapo ya mawasiliano ya haraka baina ya watu. Waandikiwa hupata taarifa haraka ukilinganisha na barua za kawaida, pia taari ..
Uandishi wa barua ya simu
                                     

ⓘ Uandishi wa barua ya simu

Uandishi wa barua ya simu ni njia mojawapo ya mawasiliano ya haraka baina ya watu. Waandikiwa hupata taarifa haraka ukilinganisha na barua za kawaida, pia taarifa zake ni fupi na zina ujumbe unaoeleweka. Ufupi huo hutokana na gharama kubwa za malipo kwa sababu gharama ya simu ya maandishi hulipwa kulingana na idadi ya maneno mwandishi aliyoyaandika.

Pia barua za simu zipo za aina tatu ambazo ni:

  • 2, barua ya simu ya haraka na
  • 1, barua ya simu ya kawaida
  • 3, barua ya simu ya kupeleka fedha.

Mambo ya kuzingatia wakati wa uandishi ni:

  • 3, jina la mwandishi.
  • 2, taarifa au ujumbe
  • 1, anwani ya mpeleka taarifa
                                     
  • Mtandao wa ulimwengu mzima www na miundombinu ya kusaidia barua pepe. Mbinu nyingi za jadi za mawasiliano ya habari, kama vile huduma za simu na televisheni
  • wa Marekani mwenye asili ya Kiafrika na mwanamke wa pili kutambuliwa kwa kutunga nyimbo. Knowles alipokea tuzo tatu katika mwaka mmoja, za uandishi wa
  • mwandishi nyuma ya pazia, wasomi wa siku hizi humuona Haley kama moja kati ya washirika bora kabisa katika uandishi Wanasema kwa makusudi amezima mamlaka
  • zaidi ya 50 kati ya Watanzania 100 ni Wakristo. Miaka 2000 iliyopita mawasiliano kati ya nchi na nchi hayakuwa rahisi. Hapakuwa na redio wala simu wala

Users also searched:

kiswahili kidato cha pili,

...

UTUNGAJI UANDISHI – Mwalimu Wa Kiswahili.

Msomi Maktaba Notes za O level na A level all subjects Physics chemistry biology mathematics literature civics general study geography angiculture history​. Uandishi wa barua ya simu. La utaimarisha utoaji wa taarifa na huduma shirikishi kwa wa tumishi wa Barua pepe wa Serikali na kutoa ushauri wa kitaalamu na msaada Muundo wa Utawala. Waziri Mkononi. Huduma za Serikali kwa Kutumia Simu za Mkononi. Kupata Kibali cha Uhamisho kwa Mtumishi wa Umma How Do I. Kuhamisha Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari. 1. Mzazi atatakiwa kuandika barua ya maombi ya kuhamisha mwanafunzi kwa Katibu Tawala wa Mkoa kwa. Profile Nanyumbu District Council. Mwandishi wa habari wa kigeni aliyopo nchini atatakiwa kulipa kiasi cha Dola 50​. Maombi hayo Kitambulisho cha Uandishi wa Habari Press Card katika nchi anayotoka. Barua ya Mwajiri Chombo cha Habari. Simu: 255 22 2771005.


...