Back

ⓘ Mtumishi wa Mungu. Katika Biblia ya Kiebrania ni la juu kuliko nabii, kwa sababu jina hilo lilikuwa na maana mbalimbali, hata mbaya, kwa mfano kichaa au nabii w ..
                                     

ⓘ Mtumishi wa Mungu

Katika Biblia ya Kiebrania ni la juu kuliko "nabii", kwa sababu jina hilo lilikuwa na maana mbalimbali, hata mbaya, kwa mfano "kichaa" au "nabii wa uongo".

                                     

1. Katika Kanisa Katoliki

Katika Kanisa Katoliki linatumika hasa kwa waumini wafu ambao maisha yao yameanza kuchunguzwa ili kuona kama hatimaye wataweza kutangazwa watakatifu.

Jina Mtumishi wa Mungu halimaanishi kuwa kweli mhusika alimtumikia Mungu kiaminifu hadi kifo chake, bali kwamba watu wengiwengi wanaona hivyo, hata askofu wa jimbo alifungua kesi ya kumtangaza mtakatifu.

Baada ya hatua hiyo kukamilika kwa Papa kuthibitisha ushujaa wa maadili yake yote, au kifodini chake, mtumishi huyo ataanza kuitwa Mstahili heshima.

Kisha kuthibitisha kwamba muujiza wowote umetokea kwa maombezi yake, Papa atamtangaza mwenye heri.

Baada ya muujiza mwingine atamalizia kwa kumtangaza mtakatifu.

Kesi hizo katika hatua zote zinasimamiwa na idara maalumu yenye makao makuu huko Vatikani.

Tofauti na hilo ni jina Servus Servorum Dei Mtumishi wa mtumishi wa Mungu, ambalo kuanzia Papa Gregori I linatumiwa na Mapapa kujitambulisha.

                                     
 • tumemfanya mtu huyu aweze kutembea? 13 Mungu wa Abrahamu, Isaka na Yakobo, Mungu wa baba zetu amemtukuza Yesu mtumishi wake. Yeye ndiye yuleyule mliyemtia
 • akabaki kielelezo cha mfalme wa Israeli, ambaye awe tofauti na watawala wengine wote kwa kuwa hasa mtumishi mnyenyekevu wa Mungu bila ya kuyumba kwa kuelekea
 • mwezi wa sita kwake yeye ambaye watu walimfahamu kuwa tasa. 37 Kwa maana hakuna jambo lisilowezekana kwa Mungu 38 Maria akasema, Mimi ni mtumishi wa Bwana
 • kwa kuwa hasa mtumishi mnyenyekevu wa Mungu bila ya kuyumba kwa kuelekea miungu mingine. Kisha kupewa ahadi hiyo alikwenda mbele ya Mungu na kusali vizuri
 • kwa Kigiriki: διάκονος, diákonos maana yake mtumishi msaidizi mhudumu au mjumbe ni kiongozi wa Kanisa anayeunganisha wenye daraja za juu na
 • umri wa miaka 49 tu. Katika Kanisa alitekeleza kiaminifu mpango alioufanya mapema, wa kuwa mtume na mtumishi wa Kristo, msimamizi wa mafumbo ya Mungu mtangazaji
 • alichaguliwa kuwa mhudumu wa jumuia kadhaa. Baada ya kushiriki mkutano mkuu wa mwaka 1227, mtumishi mkuu mpya alimchagua Antoni kuwa mtumishi wa kanda ya Italia
 • mwezi wa sita kwake yeye ambaye watu walimfahamu kuwa tasa. 37 Kwa maana hakuna jambo lisilowezekana kwa Mungu 38 Maria akasema, Mimi ni mtumishi wa Bwana
 • kama mwandishi na mhubiri mahiri kwa ajili ya Kanisa. Alisema, Kama mtumishi wa Neno, nawajibika katika huduma ya Neno nisikubali kamwe kuzembea katika
 • yeye mwenyewe alimpokea mikononi mwake, akamshukuru Mungu akisema, 29 Sasa, Bwana, wamruhusu mtumishi wako, Kwa amani, kama ulivyosema 30 Kwa kuwa macho
 • Yesu mikononi mwake huku akimtukuza Mungu na kusema: 29 Sasa Bwana, umetimiza ahadi yako, waweza kumruhusu mtumishi wako aende kwa amani. 30 Maana kwa

Users also searched:

...

Mimi ni Mtumishi wa Bwana na Nitendewe Kama Ulivyonena.

Mimi ni Mtumishi wa Mungu, Ebitoke nilimuonya Wasanii wa Bongo Movie watakufa. Uncategorized. By Admin. November 12, 2019. 745. 0. Share:. MTUMISHI WA MAHAKAMA YA TANZANIA AFARIKI DUNIA. RC Makonda amesema Mtumishi wa Mungu atakapohitaji kuhubiri mziki utazimwa kwa muda wa Nusu saa na baada ya hapo watu. 1 Utangulizi Kitabu cha Ayubu kimepewa jina la aliye Biblia. Mungu ananguvu zaidi kuliko shetani na wachawi na nguvu zote za giza. Lakini mchawi mmoja mtumishi wa liwali alipinga Neno la Mungu.


...