Back

ⓘ Watetezi wa imani ni jina walilopewa baadhi ya mababu wa Kanisa waliojitokeza kutetea Ukristo dhidi ya hoja za Wayahudi na Wapagani, tena dhidi ya dhuluma ya Do ..
Watetezi wa imani
                                     

ⓘ Watetezi wa imani

Watetezi wa imani ni jina walilopewa baadhi ya mababu wa Kanisa waliojitokeza kutetea Ukristo dhidi ya hoja za Wayahudi na Wapagani, tena dhidi ya dhuluma ya Dola la Roma dhidi ya Wakristo.

Pengine kwa utetezi wa namna hiyo katika Kiswahili linatumika neno "Apologetiki" kama katika lugha nyingi kwa kutohoa neno la Kigiriki ἀπολογία, apologia, "utetezi wa sauti, hotuba ya utetezi".

Utetezi wa Ukristo ulihitajika mapema, hivyo unajitokeza katika Agano Jipya lenyewe, kwa mfano katika nyaraka za Mtume Paulo.

Baadaye uliendelezwa katika maandishi ya waumini kama vile Yustino mfiadini, Irenei, Tertullianus, Origen na Agostino wa Hippo.

Dhuluma ya kwanza yalitokea mwaka 64 BK, ya mwisho mwaka 309 BK. Katika kipindi hicho kirefu, vilirudia tena na tena vipindi vya mateso vikifuatana na vipindi vya amani. Lakini miaka yote Ukristo ulikuwa dini isiyo halali. Kila mara mateso yaliweza kuanza upya.

Basi, wasomi hao na wengineo walijitokeza kuandika vitabu ili kutetea Ukristo dhidi ya masingizio na chuki ya wengi; walifafanua imani ilivyo na kuonyesha kwamba maisha ya wafuasi wa Yesu hayaendi kinyume cha sheria za dola, hivyo dhuluma dhidi yao hazikubaliki.

                                     
 • huko Mashariki na kukuza nyumba za masomo, lakini pia alidhulumu vikali watetezi wa kanuni. Bila ya kuweza kutembelea kanda za shirika, alishika uongozi
 • kuowa mke na kupata wawili katika maisha yake. Vile vile ni miongoni mwa watetezi wakubwa walifanya utetezi katika kuikomboa nchi ya Zanzibar kutoka mikononi
 • vile wazee na washauri ili kuzidisha mafanikio katika elimu ya juu. Watetezi wa programu hizi mara nyingi husisitiza kuwa kati ya miaka ya 2001 2002
 • ni watetezi wa uouguzaji wa udhibiti na ubinafsishaji, na ni maadui wa udhibiti wa serikali au kile wanachokiona kuwa vikwazo dhidi ya unedeshaji wa masoko
 • Mafunzo ya Maendeleo ukijadili Ulinzi wa Kijamii kutoka katika mtazamo wa kimataifa, unapendekeza kuwa watetezi wa ulinzi wa kijamii wanaangukia katika makundi
 • na vikundi mbalimbali. Upande mmoja walikuwa watetezi wa ufalme nafasi ya katikati walikuwa wawakilishi wa matabaka ya kati waliokuwa tayari kushirikiana
 • wakati wa kubalehe wanayumba kwa muda fulani katika kujitambua, wengi baadaye wanakomaa vizuri katika mwelekeo wa kawaida. Kumbe watetezi wa ushoga wanataka
 • bila kutilia maanani madhara yake - yanapatikana nje ya uwanja wa sayansi, jinsi watetezi wa dini wanavyodai kwa msisitizo. Nadhani kwamba, katika hili
 • Suzanne Sommers, Oprah Winfrey na watetezi wengine kama salama na bora zaidi kuliko CHRT, ingawa hakuna ushahidi wa kuunga mkono madai haya. BHRT iliyochanganywa
 • Kupatikana kwamba .. licha ya kukiri yao ndani ya hatari ya moshi Secondhand, watetezi na fraudulently alikana kwamba ETS husababisha ugonjwa. Kwa ujumla, makampuni
 • maanani zaidi hali zinazobadilika, kati ya dhahania na zenye lengo. Watetezi wa miundo hii wanadai kwamba wangeweza kutoa utambuzi wenye unyumbufu zaidi

Users also searched:

...

TAMKO LA ASASI ZA KIRAIA KULAANI MAUAJI YA LHRC.

Wa Dini, wajitenge na siasa za vyama, kwani wao wanapaswa kua nguzo za jamii zenye Imani na asili tofauti, wasuluhishi na watetezi wa. Makala yangu ktk RAIA MWEMA Toleo la 08 05 15: Ugaidi ni tishio. WATETEZI WA HIFADHI ZA PUGU KAZIMZUMBWI CHAMA CHA MADEREVA MAHIRI WA ABIRIA TANZANIA. Multi Sector NYUMBA AZIMIO LENYE IMANI.


...