Back

ⓘ Ujosefu ni jina la sera za kiutawala za kaisari Yosefu II wa Austria miaka 1780-1790. Sera hizo zilifuata falsafa ya mwangaza na kuingilia na kubana mamlaka ya ..
Ujosefu
                                     

ⓘ Ujosefu

Ujosefu ni jina la sera za kiutawala za kaisari Yosefu II wa Austria miaka 1780-1790.

Sera hizo zilifuata falsafa ya mwangaza na kuingilia na kubana mamlaka ya Kanisa katika mambo mengi, hata madogo sana.

Kwa sababu hiyo alilaumiwa vikali na Kanisa Katoliki na kuhusianishwa na tapo la Wamasoni.

Pamoja na hilo, alipatwa na upinzani mkubwa, na hatimaye alifuta baadhi ya maamuzi yake.

Alipokufa, mdogo wake aliyemrithi, Leopoldo II, alizidi kurudisha mambo yalivyokuwa awali na kujali hisia za wananchi.

                                     

1. Marejeo

  • Kann, Robert 1974, A History of the Habsburg Empire, 1526-1918, Los Angeles: University of California P
  • Berenger, Jean 1990, A History of the Habsburg Empire, 1700-1918, Edinburgh: Addison Wesley
  • Okey, Robin 2002, The Habsburg Monarchy c. 1765-1918, New York: Palgrave MacMillan
  • Ingrao, Charles W. 2000, The Habsburg Monarchy, 1618-1815, New York: Cambridge University Press
                                     
  • II. Sera zake katika utawala Austria peke yake miaka 1780 - 1790 zimeitwa Ujosefu au Josefini Sera hizo zilifuata falsafa ya mwangaza na kuingilia na

Users also searched:

...

Joto kali lawakaanga Wairaq, lafikia 50C, wafanyakazi wapewa.

Kumbe ndyo maana wanaume wa dar wanatatizo la ujosefu wa nguvu za kiume sababu je joto! Sent using Jamii Forums mobile app.


...