Back

ⓘ Sinodi ya Whitby ilikuwa sinodi ya ufalme wa Northumbria ambapo Oswiu wa Northumbria aliamua kufuata desturi za Kanisa la Roma badala ya zile za Ukristo wa Kise ..
Sinodi ya Whitby
                                     

ⓘ Sinodi ya Whitby

Sinodi ya Whitby ilikuwa sinodi ya ufalme wa Northumbria ambapo Oswiu wa Northumbria aliamua kufuata desturi za Kanisa la Roma badala ya zile za Ukristo wa Kiselti zilizosambazwa awali kutoka Iona.

Sinodi hiyo ilifanyika kwenye monasteri pacha za Hilda wa Whitby huko Streonshalh Streanæshalch, baadaye Whitby.

                                     

1.1. Marejeo Vyanzo vikuu

  • Bede, Historia Ecclesiastica Gentis Anglorum, in Venerabilis Baedae Opera Historica. ed. C. Plummer Oxford, 1896
  • Stephen of Ripon, Life of Bishop Wilfrid, ed. and trans. Bertram Colgrave Cambridge: Cambridge University Press, 1985
                                     

1.2. Marejeo Vyanzo vingine

  • Mayr-Harting, Henry. The Coming of Christianity to Anglo-Saxon England, 3rd edition London: B. T. Batsford Ltd, 1991
  • Cubitt, Catherine, Anglo-Saxon Church Councils c. 650–850 London: Leicester University Press, 1995
  • Brown, Peter. The Rise of Western Christendom: Triumph and Diversity, 2nd ed. Oxford: Blackwell Publishing, 2003
  • Higham, N. J. The Kingdom of Northumbria AD 350–1100 Alan Sutton, 1993
  • Stenton, F. M. Anglo-Saxon England, 3rd edition Oxford: Clarendon Press, 1971
  • Abels, Richard. "The Council of Whitby: A Study in Early Anglo-Saxon Politics", in Journal of British Studies, 23 1984
  • Wormald, Patrick, The Times of Bede: Studies in Early English Christian Society and its Historian, ed. Stephen Baxter Oxford: Blackwell Publishing, 2006
                                     
  • yake ni ile ya kuungama mara kwa mara kwa padri ili kutunza daima moyo safi. Ukristo wa Kikelti ulipata pigo kubwa katika Sinodi ya Whitby 664 ambapo

Users also searched:

...