Back

ⓘ Namba za simu Tanzania. Namba za simu nchini Tanzania zinatolewa chini ya kanuni za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania. Mamlaka hii inatoa laiseni kwa ajili ya mak ..
Namba za simu Tanzania
                                     

ⓘ Namba za simu Tanzania

Namba za simu nchini Tanzania zinatolewa chini ya kanuni za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania.

Mamlaka hii inatoa laiseni kwa ajili ya makampuni ya huduma za mawasiliano pamoja na simu na intaneti. Kanuni zake zinatawala fomati za namba za simu.

                                     

1. Fomati za namba

Simu ya waya ya kawaida ndani ya mtandao wa kieneo hupigwa kwa namba yake pekee. Kama iko katika eneo tofauti ni lazima kutangulia namba ya eneo, mfano kwa Dar es Salaam 022 au kwa Dodoma 026. Mfano simu namba 667788 ya Dar es Salaam inafikiwa kutoka mikoani kwa 022 667788.

Simu za mkononi hupatikana kila wakati kupitia namba za mitandao ya makampuni kwa namba kama 0624112233.

Kupiga namba nje ya nchi inahitaji namba ya kimataifa. Namba za kimataifa hutanguliwa kwa 00 au alama ya +. Ile sifuri ya namba ya eneo inaachwa hapa. Kupiga namba ya Tanzania kutoka nje inatanguliwa kwa 00255 inayofuatwa na namba ya eneo au mtandao bila sifuri.

  • Kupiga namba ya kawaida ya juu kutoka ngambo ni +255 sawa na 00255 22 667788.
  • Kupiga namba ya juu kutoka ngambo ni lazima kutumia +255 sawa na 00255 624 11 22 33.
                                     

2. Namba za kieneo katika Tanzania

Kwa mawasiliano ndani ya Tanzania namba za kieneo hutanguliwa na "0". Kufikia simu kutoka nje ya nchi kuna namba ya kimataifa 00255 sawa na +255 inayofuatiliwa na namba ya kieneo bila 0 na namba ya simu.

                                     

3. Historia

Tanzania, Kenya na Uganda zilirithi mtandao wa simu wa pamoja kutoka enzi za ukoloni. Kwa hiyo mawasiliano kati ya Dar es Salaam na Nairobi au Kampala hazikuwa simu za kimataifa. Kulikuwa na mfumo na namba za kieneo kwa Afrika ya Mashariki yote iliyotawaliwa na huduma ya posta ya pamoja iliyoitwa East African Posts and Telecommunications Administration. Mtandao huu wa pamoja uliendelea hata baada ya kuporomoka kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki lakini baadaye shirika za posta zilianza na mipango ya pekee katika kila nchi. Tanzania ilitoka katika mfumo wa pamoja mwaka 1999. Lakini hadi sasa si lazima kutumia namba ya kimataifa inatosha kutumia namba za pekee za kikanda: kupiga simu Kenya ni 005 badala ya 00254, kupiga simu Uganda ni 006 badala ya 00256. Tanzania inafikiwa kwa 007 si lazima kutumia 00255.

                                     
  • miwili mikubwa ni miji ya bandari. Miji mitano mikubwa ni kama ifuatavyo namba za sensa ya mwaka 2004 1. Casablanca: wakazi 2.933.684 2. Rabat: wakazi
  • wakazi wote wana umri wa chini ya miaka 14. Hata hivyo ni vigumu kupata namba halisi kwa sababu ya umuhimu wake katika siasa. Vikundi vikubwa katika jumla
  • kuharibiwa, watu 28 kujeruhiwa 30 Novemba 1946 Colford, Ufalme wa Muungano - simu kuharibiwa, mvulana kujeruhiwa 28 Novemba 1954 Sylacauga, Alabama, USA
  • anaambiwa kaacha kazi kwa hiari, anaomba namba ya simu anamwendea hewani, lakini muda si rafiki kwa kupokea simu kwa sababu alikuwa anajitahidi kumeza kete
  • Nyekundu Mouhoun ni mto pekee wenye maji mwaka mzima. Sehemu za kaskazini na mashariki za nchi ambazo ni takriban robo ya eneo lake lote ni beseni yala
  • kutoka kwa Blogu, Verizon Wireless waliondoa nyimbo za mlio wa simu ringitoni zilizoshirikisha nyimbo za Akon. Verizon pia waliamua kutogharamia ziara ya
  • wakazi Orodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watu Orodha ya nchi za Afrika kulingana na msongamano wa watu Orodha ya nchi za Afrika kulingana na
  • Uandishi wa habari Gazeti Vyombo vya habari Uchapishaji Reli Simu Elektroniki Mkondo wa umeme Marudio Kapasita Kidukizi Transista

Users also searched:

...

Lowest call rates in Tanzania is here! – Smile – Now you can.

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa NAMBA YA SIMU, BARUA Mkuu wa Idara ya Utumishi na Utawala. Kituo cha huduma kwa mteja PCCB. Ya Vodacom Tanzania. Hii ni taarifa ya nne ya mwaka ya Vodacom Tanzania, na ya tatu Kuipatia Wizara ya Afya visambaza data na laini za simu kwa ajili ya data ili kutumia Namba ya Kitambulisho cha Taifa. NIN ulileta. Untitled PPRA. Hakuna gharama za kuanzia au vifaa vya ufundi katika kuweka Toll Free Ni rahisi kuweka kutokana na huduma ya Toll Free kuunganishwa kupitia line za simu. Kupata Anuani na Namba ya Simu ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa. Extreme Web Technologies, Dar es Salaam, Tanzania Leo, tunafurahi kutangaza namba yetu mpya ya hotline: 255 411 222 333. Namba yetu ya huduma ya wateja itakuwa inapatikana siku saba za kuanzia saa tatu.


...