Back

ⓘ Fosyo, 810820 – Bordi, Armenia, 6 Februari 893 alikuwa Patriarki wa Konstantinopoli miaka 858-867 halafu 877-886; Kwa ujuzi wake mkubwa na kwa umuhimu wake kati ..
Fosyo
                                     

ⓘ Fosyo

Fosyo, 810/820 – Bordi, Armenia, 6 Februari 893) alikuwa Patriarki wa Konstantinopoli miaka 858-867 halafu 877-886; Kwa ujuzi wake mkubwa na kwa umuhimu wake katika historia ya Kanisa, Waorthodoksi wanamuita Fosyo Mkuu.

Farakano la muda la miaka 863-867 kati ya Kanisa la Roma na lile la Konstantinopoli kuhusu upatriarki wa Fosyo lilikuwa baya kuliko yote kabla ya farakano la mwaka 1054 ambalo limedumu hadi leo kati ya Ukristo wa Magharibi na Waorthodoksi.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi kwama mtakatifu, ingawa alitangazwa rasmi mwaka 1847 tu.

Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo chake.

                                     

1. Viungo vya nje

 • Photii biblioteca ex recensione Immanuelis Bekkeri, Berolini typis et impensis Ge. Reimeri, 1824–25, vol. 1, vol. 2.
 • The Excerpta of Photius Photiuss summary of Books 9–16 of Memnon of Heracleas history of Heraclea Pontica
 • Patriarch Photios of Constantinople Life and translations of his works
 • Catholic Encyclopedia – Photius
 • Ongoing English Translation of the Lexicon
 • Saint Photius the Great, Mystagogy of the Holy Spirit English translation
 • Greek Opera Omnia by Migne Patrologia Graeca with analytical indexes
 • The Myrobiblion at Tertullian.Org
 • Saint Photius the Great Orthodox Icon and Synaxarion February 6
                                     
 • anaheshimiwa kama mtakatifu, ingawa si rahisi kwamba alifia dini yake walivyosema Fosyo na wengine. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Novemba au 29 Novemba. Sehemu
 • Asteksi, Basili, Bosimi, Donata, Emeriti, Emeteri, Eutiko, Felisi, Fortunati, Fosyo Frunumi, Gajola, Georgi, Gorgoni, Hemeteri, Isiko, Janula, Julius, Karisimi
 • Todi Ndiyo Ndiyo Ndiyo Fortunatus wa Karthago Ndiyo Ndiyo Fosyo Ndiyo Fosyo Arkelao na wenzao Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Frances Cabrini
 • Baada ya mafarakano ya muda hasa la miaka 863 - 867 kuhusu upatriarki wa Fosyo mwaka 1054 wajumbe wa Askofu wa Roma walimtembelea Askofu Mkuu wa Bizanti

Users also searched:

...