Back

ⓘ Usafiri - Usafiri, Chombo cha usafiri, nchini Tanzania, wa anga-nje, Ushirika wa Usafiri wa Hamburg HVV, ESA, Abiria, Ndege, Barabara ya mchipuko ..
                                               

Usafiri

Usafiri ni uhamisho wa watu au vitu na bidhaa kutoka mahali pamoja kwenda mahali pengine. Usafiri unakuja pamoja na muundombinu kama njia za usafiri, vyombo vya usafiri na wahusika wake kama makampuni, shirika na abiria.

                                               

Chombo cha usafiri

Chombo cha usafiri ni kifaa chochote kinachotumiwa kusafirisha watu au mizigo. Vyombo vya usafiri hutofautiana kama vinahudumia usafiri wa nchi kavu, wa majini au wa hewani. Mifano ni Usafiri wa nchi kati hutumia motokaa, treni, baisikeli au pikipiki Usafiri wa majini hutumia meli, boti, jahazi na mengine Usafiri wa hewani hutumia ndege, helikopta au ndegeputo Hutofautishwa pia kama vinalenga matumizi ya watu binafsi au matumizi ya umma. Baisikeli, pikipiki na motokaa mara nyingi hutumiwa na wenye chombo hiki cha usafiri. Lakini zinaweza kutumiwa pia kama sehemu ya usafiri wa umma kwa mfan ...

                                               

Usafiri nchini Tanzania

Usafiri nchini Tanzania ni hasa kwa njia ya barabara. Nyingine ni reli na ndege. Kwenye maziwa makubwa na pwani ya Bahari Hindi kuna pia usafiri wa meli.

                                               

Usafiri wa anga-nje

Usafiri wa anga-nje ni kila aina za safari au usafiri inayofikia nje za angahewa ya Dunia kwenye anga-nje. Ilhali hakuna mpaka kamili baina ya angahewa na anga-nje kuna mapatano ya kutazama umbali wa kilomita 100 kama chanzo cha anga-nje Chombo cha kwanza kilichofikia juu ya km 100 kilikuwa roketi ya Kijerumani aina ya V-2 katika majaribio ya mwaka 1944. Chanzo cha usafiri wa anga-nje kilikuwa kuruka kwa chombo cha angani cha Kisovyieti Sputnik 1 mnamo 4 Oktoba 1957 iliyokuwa satelaiti ya kwanza iliyozunguka Dunia angani. Kiumbehai wa kwanza aliyefikishwa hadi anga-nje alikuwa mbwa Laika k ...

                                               

Ushirika wa Usafiri wa Hamburg HVV

Ushirika wa Usafiri wa Hamburg ni kampuni ya umma inayoendesha usafiri wa umma katika jiji la Hamburg na maeneo ya karibu katika majimbo ya Niedersachsen na Schleswig-Holstein.

                                               

ESA

ESA ni kifupi cha Kiingereza cha European Space Agency ". Taasisi hiyo ilianzishwa mwaka 1975 na nchi 10 za Umoja wa Ulaya. Wajibu wake ni kuratibu miradi ya nchi za Ulaya ya kuendesha utafiti na uchunguzi wa anga. Shabaha ni hasa kuendeleza juhudi za nchi za Ulaya katika teknolojia ya angani iliyokuwa nyuma sana kulingana na kazi za Marekani na Urusi wakati ule. Mwaka 2014 kulikuwa na nchi wanachama 20, na kati ya hizo kuna nchi 18 wanachama wa Umoja wa Ulaya pamoja na Uswisi na Norwei. Kufuatana na katiba yake, ESA inalenga shabaha zisizo za kijeshi pekee. ESA inashirikiana kwa karibu na ...

                                     

ⓘ Usafiri

 • Reli kutoka Kiing. rail railroad ni mfumo wa usafiri wa abiria na mizigo kwa treni zinazotembea juu ya vyuma au pau za feleji. Reli ni sehemu muhimu
 • ambao kwa kawaida wanaweza kuruka. Ndege uanahewa au eropleni ni chombo cha usafiri kinachoweza kuruka wakati kikiwa na abiria au mizigo ndani yake.
 • majini na hasa hutumiwa na watu wa hali ya chini. Pia hutumika katika kazi za uvuvi kwa wavuvi wadogowadogo na matumizi ya usafiri wa maeneo madogomadogo.
 • zinasafirisha watu na mizigo duniani kote. Ni njia ya haraka ya usafiri kushinda usafiri kama barabara, reli au meli. Ndege huhitaji uwanja wa ndege kwa
 • pilot ni mtu anayeendesha eropleni au chombo kingine cha usafiri hasa chombo cha usafiri kitumiacho njia ya anga. Neno hili hutumiwa siku hizi kumtaja
 • vya Pemba na Unguja. Ratiba ya Usafiri PDF Auric Air April 2013 Iliwekwa mnamo 20 April 2013. Ratiba ya Usafiri PDF Coastal Aviation 16 December
 • cha usafiri kwenye reli za garimoshi. Treni inamaanisha jumla ya mabehewa inayovutwa au kusukumwa na injinitreni kwenye njia ya reli. Mfumo wa usafiri kwa
 • Nauli ni ada inayolipwa na abiria kwa matumizi ya chombo cha usafiri wa umma kama vile reli, basi, teksi, ndege n.k. Muundo wa nauli ni mfumo uliowekwa
 • beseni yake ni Ruaha Mkuu. Mwaka 2005 daraja lilikamilika linalorahisisha usafiri kati ya Dar es Salaam na mikoa ya Lindi na Mtwara. Wataalamu kadhaa huamini
 • Uingereza Stonehenge unaaminika ulikuwa unakamilika. Farasi walifugwa na walitumika kwa ajili ya usafiri Wikimedia Commons ina media kuhusu: Karne ya 20 KK
 • milioni usafiri kwa magari ya kawaida kwa kilomita milioni 160 : vifo 1.33 usafiri kwa treni za abiria kwa kilomita milioni 160: vifo 0.13 usafiri kwa eropleni
 • mnamo 1934 zamani za ukoloni wa Kireno kwa mvuko wa reli kwa kusudi la usafiri kati ya Malawi, migodi ya makaa mawe ya Mutarara na bandari ya Beira. Wakati
                                               

Chuo Kikuu cha Kifaransa cha Elimu ya Usafiri Angani

Chuo Kikuu cha Kifaransa cha Elimu ya Usafiri Angani ni chuo kikuu cha Ufaransa kinachofundisha fani zote za usafiri wa angani kama vile urubani, uhandisi wa eropleni au usimamizi wa mwendo wa eropleni hewani. Chuo hiki kilianzishwa mwaka 1949 mjini Orly karibu na Paris lakini tangu 1968 kilihamishwa kwenda Toulouse ambako kuna pia viwanda vikubwa vya eropleni hasa vya Airbus na kampuni ya usafiri wa anga-nje EADS.

Abiria
                                               

Abiria

Abiria ni watu wanaosafiri kwa kupanda meli, ndege, gari, basi, pikipiki au treni. Abiria hutumia vyombo hivyo vya usafiri kama njia ni mbali, au kama hawana usafiri wa binafsi au kama wanapendelea matumizi ya usafiri wa umma kuliko usafiri wao binafsi. Kwa kawaida wakipanda wanalipia kiasi fulani kama nauli ili mwenye chombo hicho aweze kuwalipa dereva na wahudumu wengine pamoja na gharama za chombo chenyewe na matumizi yake.

                                               

Ndege

Ndege ni neno ambalo kwa Kiswahili linaweza kumaanisha: Ndege mnyama ni aina wa wanyama ambao kwa kawaida wanaweza kuruka. Ndege uanahewa au eropleni ni chombo cha usafiri kinachoweza kuruka wakati kikiwa na abiria au mizigo ndani yake.

                                               

Barabara ya mchipuko

Barabara ya mchipuko ni njia ambayo hutumika pale ambapo kunakuwa na matengenezo ya barabara ambapo mchipuko husaidia kupunguza msongamano wa magari hasa katika miji mikubwa. Barabara hizi husaidia pia kurahisisha usafirishaji wa mizigo pamoja na abiria kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine.

Users also searched:

...

Sumatra.

Usafiri wa Majini Tovuti Kuu ya Serikali. Nunua chombo kipya cha usafiri kipya au cha zamani nchini Tanzania Magari, malori, pikipiki & magari ya kibiashara kwa bei nafuu Rusha matangazo. Calculator ya ushuru wa magari tra. Kina Kikoti freshi, ishu usafiri Mwanaspoti. Kadiri ya mishahara kwa idadi kubwa ya wafanyakazi katika kazi zilizochaguliwa Wahudumu wa usafiri kutoka TSh 265.864.46 hadi TSh 2.388.810.62 kwa.


...