Back

ⓘ Habari - Kupashwa habari, Teknolojia ya habari, Mwanahabari, Uandishi wa habari, uongo, Leo, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ..
                                               

Kupashwa habari

Kupashwa habari kwa Bikira Maria kwamba atapata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu na hatimaye kuzaa mtoto wa kiume, jina lake Yesu, ni tukio la kuheshimika sana kati ya Wakristo na Waislamu kutokana na masimulizi ya Injili na Kurani.

                                               

Teknolojia ya habari

Teknolojia ya habari na mawasiliano, kama ilivyoainiwa na Shirikisho la Teknolojia ya Habari ya Marekani, ni "utafiti, urasimu, uendeleshaji, utekelezaji, usaidizi au usimamizi wa mifumo ya habari, hasa ala za programu na vifaa vya kompyuta.". TEHAMA inahusika na matumizi ya kompyuta na programu za kompyuta: kubadili, kuhifadhi, kulinda, kuchecheta, kueneza na usalama katika kupokea habari. Leo, neno habari limezunguka nyanja nyingi za kompyuta na teknolojia na limekuwa maarufu sana. Wataalamu wa TEHAMA hutekeleza majukumu mbalimbali kutoka kuweka ala hadi kubuni mitandao tata ya kompyuta ...

                                               

Mwanahabari

Mwanahabari ni mtu anayefanya kazi ya uandishi wa habari akikusanya, kutayarisha na kusambaza habari. Anaweza kufanya kazi hiyo akiwa ameajiriwa na gazeti, redio au kituo cha televisheni au kama mkandarasi wa kujitegemea akiuza kazi yake kama makala, picha au filamu. Wanahabari huajiriwa pia na makampuni, taasisi au ofisi za serikali zinazolenga kueleza kazi yao katika jamii. Akiwa mwandishi wa habari wa gazeti huandika nakala za habari na hadithi kwa magazeti. Katika maandalizi ya makala ataongea na watu, kufuatilia habari kwa jumla, kufanya utafiti na mahojiano na watu wanaohusika katika ...

                                               

Uandishi wa habari

Uandishi wa habari ni kazi ya kukusanya, kupanga na kusambaza habari kwa wasomaji, wasikilizaji na watazamaji katika jamii. Usambazaji hutokea kupitia vyombo vya habari na media mbalimbali kama vile gazeti, redio, televisheni na intaneti. Katika jamii ya kisasa media ni njia kuu ya kushirikisha watu wengi na mambo yote yanayoathiri umma, jamii, siasa, uchumi na utamaduni wake. Penye mfumo wa kisiasa ya demokrasia upatikanaji wa habari huru, nyingi na tofauti ni muhimu sana kwa uwiano sawa kati ya washiriki katika siasa, uchumi na utamaduni. Kutokana na nafasi hii muhimu uandishi wa habari ...

                                               

Habari uongo

Habari uongo ni aina ya habari au taarifa za upotoshwaji ambazo hufanyika kwa makusudi kwenye mitandao wa kijamii au katika magazeti.

                                               

Habari Leo

Habari Leo ni gazeti la kila siku kutoka Dar es Salaam nchini Tanzania linalotolewa kwa lugha ya Kiswahili. Ni gazeti mojawapo linaloandikwa kwa Kiswahili lenye wasomaji wengi katika Tanzania. Gazeti hili ni mali ya kampuni ya hisa ya Tanzania Standard Newspapers Limited.

                                     

ⓘ Habari

 • Usimulizi wa habari ni jumla ya maelezo yanayotolewa na mtu au watu wengi kuhusu tukio fulani. Aina ya tukio - msimuliaji anatakiwa kubainisha katika maelezo
 • habari kubwa kuliko yote duniani likiwa linatoa habari na taarifa mbalimbali kwa njia ya redio, runinga na intaneti. Tangu mwaka 1957 imerusha habari
 • kupitia Kiingereza kutoka Kiitalia gazzetta ni karatasi zilizochapishwa habari na kutolewa mara kwa mara ama kila siku au kila wiki kuna pia magazeti
 • wa habari na mawasiliano ya umma ni moja kati ya shule kuu zinazopatika chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, inayotoa masomo ya uandishi wa habari na
 • Internet Movie Database IMDb ni hifadhidata mkondoni unaohusiana na habari za filamu, vipindi vya televisheni, waigizaji, vikundi cha watayarishaji wa
 • linaheshimu watakatifu na wenye heri zaidi ya elfu kumi, kati yao Mapapa 78. Habari fupi za baadhi yao zinatunzwa katika kitabu rasmi kinachoitwa Martyrologium
 • Taarifa kutoka neno la Kiarabu ni habari maalumu inayowasilishwa ama kwa mdomo ama kwa maandishi. Pia ni takwimu zilizochakatwa ambazo zina maana kamili
 • sehemu ya mwili inayowezesha kuona. Ni ogani inayotambua mwanga na kutuma habari zake kwa ubongo. Kuna mifumo mbalimbali ya macho kati ya aina mbalimbali
 • HTML, PHP, XHTML na kadhalika na ambazo kwa pamoja hujumuika katika kutoa habari au maelezo kuhusu jambo fulani. Lugha hizi, yaani HTML, PHP, XHTML na kadhalika
 • Sensa ni utaratibu wa kupata na kutunza habari kuhusu idadi ya watu fulanifulani. Pia ni utaratibu wa mara kwa mara na hesabu rasmi ya idadi ya watu hao
 • inatazama zaidi habari zilizoandikwa lakini akiolojia inatazama vitu vilivyobaki kutoka zamani. Wanaakiolojia wanaweza kutumia maandishi na habari za historia
 • Mwanatheolojia ni mtu anayeshughulikia theolojia au ujuzi juu ya habari za Mungu kitaalamu. Ni tofauti na mtaalamu wa dini anayeweza kuchungulia dini yoyote
 • Kisasili ni habari inayotokeza imani na maadili ya utamaduni fulani kuhusu asili ya ulimwengu au ya mambo muhimu ya msingi katika maisha ya binadamu. Mara
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
                                               

Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

Wizara ya Habari, Utamudini na Michezo) ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hii zipo mjini Dar es Salaam.

                                               

Shirikisho la vyombo vya habari

Shirikisho la vyombo vya habari inaelezea makampuni yanayomiliki idadi kubwa ya makampuni katika nyanja mbalimbali za vyombo vya habari kama vile televisheni, redio, uchapishaji, filamu, na hata Intaneti. Pia hutajwa kama asasi ya vyombo vya habari au kundi la vyombo vya habari. Na kwa mwaka wa 2008, The Walt Disney Company imekuwa moja kati ya shirikisho la vyombo vya habari lililo kubwa zaidi duniani, ikiwa ni pamoja na News Corporation, Viacom na Time Warner.

Users also searched:

taarifa ya habari itv leo asubuhi, taarifa ya habari leo 2021,

...

Download habari leo.

Matukio Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Wa Ruvuma kuanzia leo. Tarehe ya Kuwekwa: January 23rd, 2020. SOMA zaidi hapa 01 235e29295c3e0bc.aspx. Habari magazeti leo. Habari Kuu Mtanzania. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo mkoani Geita, Mkuu wa Mkoa wa Geita Bw. Robert Gabriel amesema majengo mengine mawili. Habari za asubuhi ya leo. Full Shangwe Blog Habari za Uhakika. Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? baadaye jioni tuitane chemba na tukosoane kwa uzembe wa hali ya juu ulioonekana leo Uhuru​.


...