Back

ⓘ Maisha - Maisha, ya kiroho, Kifungo cha maisha, Maana ya maisha, Mkaapweke, Mmonaki, Kazi, na Nyakati za Abdulwahid Sykes, Yangu na Baada ya Miaka Hamsini ..
                                               

Maisha

Maisha ni muda ambao kiumbe hai anajaliwa kuishi. Ni hali tofauti kabisa na uzima wa milele, kwa kuwa uhai wake una mwanzo na mwisho. Hasa mwisho unasababisha maswali: kama kila chenye mwanzo kina mwisho, ya nini kuwepo kwake? Kukosa lengo, kuwepo bure, kutokuwa na maana kunamfanya mtu ajisikie mnyonge, pengine akate tamaa ya kuishi, la sivyo ajitose kufurahia mazuri yanayopatikana maishani, lakini bila uwezo wa kuondoa moyoni ule utupu wa maana unaomtia huzuni ya dhati. Ndiyo sababu maana ya maisha ni mojawapo kati ya masuala makuu ya binadamu duniani: hawezi kukwepa maswali ya kutoka moy ...

                                               

Maisha ya kiroho

Maisha ya Kiroho katika Ukristo ndiyo maisha ya kuongozwa na Roho Mtakatifu nyuma ya Yesu Kristo kwa utukufu wa Mungu Baba. Ufuasi huo unafanyika pamoja na waamini wengine katika Kanisa, jumuia ya wanafunzi wa Yesu inayotokana na kundi la kwanza la Mitume wake. Mwanzo wake wa kawaida ni ubatizo, uliofananishwa na Yesu mwenyewe na aina ya kuzaliwa upya kwa maji na Roho Mtakatifu. Maisha hayo yanalishwa mfululizo na Neno la Mungu na ekaristi. Lengo ni kufikia muungano na Mungu katika uzima wa milele, lakini huo unaanzia hapa duniani katika ustawi wa maadili makuu ya imani, tumaini na upendo, ...

                                               

Kifungo cha maisha

Maisha gerezani ni hukumu cha kifungo kwa uhalifu mbaya ambapo mshtakiwa hubaki katika gereza kwa ajili ya mapumziko ya maisha yake. Mifano ya makosa ambayo mtu anaweza kupokea hukumu hii ni pamoja na: mauaji, uhaini wa hali ya juu, kali au vurugu na matukio ya madawa ya kulevya au biashara ya binadamu, au kuchochewa na matukio ya wizi kusababisha kifo au madhara ya kimwili makubwa. Hichi kifungo hakipatikaniwi katika nchi zote. Hata hivyo, ambapo kifungo cha maisha ni kifungo kiwezekanacho, kuna uwezekano pia kuomba mafuatilio rasmi ya kuomba kuachiliwa kwa masharti baada ya muda fulani k ...

                                               

Maana ya maisha

Maana ya maisha ni mojawapo kati ya masuala makuu kuhusu thamani, madhumuni na umuhimu wa binadamu kuwepo duniani na wa maisha kwa jumla. Suala hilo linaweza kujitokeza katika maswali mengi tofauti yanayohusiana, kama vile Mbona tumekuwepo?, Maisha yanahusu nini? na Ni nini maana ya haya yote? Binadamu anajiuliza maswali kama hayo hasa anapokabiliana na kifo, kwa mfano msiba wa ndugu au rafiki. Limekuwa suala kuu la udadisi wa sayansi, falsafa na teolojia tangu zamani. Kumekuwa na idadi kubwa ya majibu kwa maswali hayo kutoka asili mbalimbali kiitikadi na kiutamaduni. Maana ya maisha imech ...

                                               

Mkaapweke

Katika Ukristo asili ya maisha hayo ni jangwa la Misri katika karne ya 3 na hasa ya 4. Paulo Mthebani + 250 hivi ni wa kwanza kujulikana. Antoni Abati, mmoja kati ya wale waliovutiwa naye, alijivutia umati wa wafuasi kusini mwa Misri: kutoka huko wakaapweke walienea kote mashariki mwa Dola la Roma, hasa Palestina Ilarioni, Kapadokia Basili Mkuu na Gregori wa Nazianzo. Wengi kati ya hao wa kwanza wanajulikana kati ya mababu wa jangwani. Baada ya Pakomi + 318 hivi kuanzisha maisha ya kijumuia kwa watawa na kuwatungia kanuni ya kwanza, mtindo huo ulizidi kuenea usifute kabisa ukaapweke. Ukaap ...

                                               

Mmonaki

Mmonaki ni mwanamume au mwanamke anayefanya juhudi za pekee katika dini yake, akiishi peke yake au katika jumuia ya kitawa, ambayo nyumba yake inaitwa monasteri.

                                               

Kazi

Kazi ni sehemu muhimu ya maisha ya binadamu, hivyo ina nafasi kubwa katika anthropolojia, falsafa, teolojia,fizikia na sosholojia. Inafafanuliwa kama utendaji unatumia nguvu ya akili au ya mwili ili kufikia lengo fulani, ambalo mara nyingi ni faida ya kiuchumi ili kuweza na kuwezesha kuendelea kuishi. Lakini thamani yake halisi haiishii katika uzalishaji wa vitu, bali inategemea hasa ustawishaji wa utu katika vipawa vyake vyote kulingana na maadili na maisha ya kiroho. Kwa msingi huo, ni wajibu wa kila mtu aliyefikia ukomavu fulani. Ni pia mchango muhimu katika jamii na inayostahili kuhesh ...

                                               

Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes

Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes ni jina la kitabu kinachoelezea maisha na harakati zilizokuwa zinafanywa na hayati Abdulwahid Sykes katika kupigania uhuru wa Tanganyika kutoka mikononi mwa wakoloni katika miaka ya 1950. Harakati ambazo katika historia ya Tanzania leo hii haijawekwa wala kugusiwa. Kitabu kinaelezea historia iliyofichwa kuhusu Waislamu dhidi ya ukoloni wa Waingereza katika Tanganyika.

                                               

Maisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini

Maisha Yangu Baada ya Miaka Hamsini ni kitabu kilichoandikwa na Shaaban Robert mwenyewe akielezea historia na matukio yaliyotokea katika maisha yake na changamoto mbalimbali alizozipitia katika maisha yake ya kikazi kama muajiriwa wa Serikali na baadae kama muandishi wa mashairi. Kitabu hiki kitawasaidia sana wasomi, wataalamu na waandishi wa fasihi ya Kiswahili katika kufanya utafiti wa masuala mbalimbali yanayohusu fasihi kwa ujumla na wanafasihi wake. Ndani ya kitabu hiki zinapatikana zile tenzi mbili maarufu za Utenzi wa Hati na Adili ambazo aliwaandikia watoto wake wawili Mwanjaa na S ...

                                     

ⓘ Maisha

 • Maisha Yangu Baada ya Miaka Hamsini ni kitabu kilichoandikwa na Shaaban Robert mwenyewe akielezea historia na matukio yaliyotokea katika maisha yake na
 • kitu kimoja: jina hilo linajumlisha maisha tofautitofauti. Katika makala hii tunataka kufuata historia ya maisha haya katika Ukristo kama kitabu bora
 • zilizoshiriki katika mapinduzi ya viwandani Maisha ya viwandani na maisha ya mjini yalivunja nguvu ya maisha ya mashambani hivyo mapokeo na desturi nyingi
 • Pia unaweza ukasema kwamba elimu ni ufunguo wa maisha ukimaanisha kuwa elimu ndiyo kila kitu kwenye maisha ya mwanadamu kwa kuwa huwezi kutatua tatizo fulani
 • kuhusu: Papa Sisinnio Kuhusu Papa Sisinio katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki Maisha yake kwa Kiitalia katika Enciclopedia dei Papi iliyotolewa na Treccani.
 • Tarehe za maisha ya Yesu zinakadiriwa ili kuzidi kumfahamu Yesu kadiri ya historia. Hii ni kwa sababu Injili na vitabu vingine juu yake havitaji kwa kawaida
 • za imani zinajengwa juu ya imani ya Mungu mmoja wa kweli, imani juu ya maisha baada ya kifo, imani juu ya Malaika wa Mungu, vitabu vyake na kudra na tafsiri
 • na Papa Marko. Mtoto wa Rufinus, mkazi wa Roma, hatuna habari nyingi za maisha yake. Ila ni kwamba aliongoza Kanisa Katoliki kwa muda mrefu mara baada
 • ya Watakatifu Wafransisko Maisha ya Watakatifu ed. T.M.P. Book Department Tabora 1989 M. SOSELEJE, Kalendari yetu Maisha ya Watakatifu Toleo la
 • mengine kwa ajili ya biashara ambayo inaweza kumuingizia kipato kwa ajili ya maisha yake, pia kipato hicho husaidia katika kukuza uchumi wa nchi yake ili hatimaye
 • kazi maalumu ya muda mrefu ambayo binadamu anamsaidia mwingine kukabili maisha kwa jumla au sehemu yake mojawapo. Ni kazi inayowapasa kwanza wazazi, ambao
Maisha ya wakfu
                                               

Maisha ya wakfu

Maisha ya wakfu ni ufupisho wa "Maisha yaliyowekwa wakfu kwa kushika mashauri ya Kiinjili". Unaeleza hali ya pekee ya baadhi ya Wakristo ndani ya Kanisa inayotokana na uamuzi wao wa kumfuata Yesu katika mtindo wake wa maisha ya useja, ufukara na utiifu. Mara nyingi wanaoishi hivyo wanaunda shirika la kitawa, ingawa si lazima, na wanajifunga kwa nadhiri au matamko yanayofanana nayo.

                                               

Dhima ya fasihi katika maisha

Dhima ya fasihi katika maisha zinaeleza jinsi fasihi inavyofanya kazi mbalimbali katika maisha ya binadamu, kama vile: kKuelimisha jamii kukuza lugha kukuza utamaduni kuburudisha jamii kukomboa jamii kuhifadhi historia ya jamii.

Majanga
                                               

Majanga

Majanga ni matukio yanayompata mtu, mara nyingi kama matokeo ya kufanya jambo ambalo si la kawaida katika jamii. Baadhi ya jamii zinaamini kuwa majanga hutokana na nguvu za giza au mikosi kutoka kwa wazazi au watu wenye mamlaka juu ya mhusika.

Users also searched:

crdb address, crdb bank arusha, crdb bank hisa, crdb loan,

...

Untitled University of Dar es Salaam Journal Systems.

Kitabu cha Maisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini ni riwaya iliyoandikwa na Shaaban Robert 1936 1946 yenye insha na mashairi. Maisha ya Celine Dion bila Rene Angelil ZanzibarLeo Newspaper. Imani yangu ni kwamba Rais Magufuli ana nia njema na nchi na anataka Suala la kuniuliza sijui baada ya miaka 50 nitafanya nini nafikiri si.


...