Back

ⓘ Milango - ya fahamu, Mlango, Kichwa, Bahari ya Marmara, Ufunguo, Karne ya 7, Mnururisho, Mnyama, Mlango wa bahari, Mto Milango, Nomino za dhahania, Wizi ..
                                               

Milango ya fahamu

Milango ya fahamu ni ogani za mwili zinazoturuhusu kujua mazingira yetu. Mifano yake ni macho na masikio. Ni njia asili ya kutambua mtazamo au hisia. Kibiolojia inaelezwa kuwa ogani yenye uwezo wa kupokea habari za nje ya mwili, kama vile nuru, sauti, halijoto, mwendo, harufu au ladha, na kuzibadilisha katika mishtuko ya umeme inayofikishwa kwa njia ya mfumo wa neva hadi ubongo. Kama milango ya fahamu imeharibika, tunasema mtu ni kipofu, bubu au kiziwi, ana matatizo kuelewa mazingira yake sawa na jinsi wanavyoweza watu wengine. Milango ya fahamu ni muhimu sana kwa Viumbe hai kutokana na kw ...

                                               

Mlango

Mlango ni muundo unaotumiwa kuzuia na kuruhusu kuingia jengo, gari, n.k. Wakati ni wazi, milango inakubali watu, wanyama, hewa au mwanga n.k. Mlango hutumiwa kudhibiti hali ya hewa, ili ndani kuwe na joto au baridi kuliko nje. Pia hufanywa kama kizuizi kwa kelele. Pengine watu hufungua na kufungwa milango kama ishara ya faragha. Milango mingine ina vifaa vya kuzuia watu fulani na kuacha wengine waingie. Mara nyingine milango hupewa maana ya ibada, na kulinda au kupokea funguo za mlango, au kupewa nafasi ya kufungua mlango inaweza kuwa na umuhimu maalum.

                                               

Kichwa

Kichwa ni sehemu ya mwili ambayo kwa mwandadamu na vetebrata huwa na ubongo, macho, masikio, pua na kinywa ambazo hutumiwa kwa kuona, kusikia, kunusa, na kuonja. Kichwa ni sehemu iliyo tofauti na kiwiliwili. Maumbile ya kichwa yametokea kwa njia ya mageuko ya uhai. Katika mchakato huu milango ya fahamu, mdomo na kitovu cha neva zilianza kukaa pamoja kwenye sehemu ya mbele ya viumbe. Kwa vertebrata mkusanyo huu umepata kinga cha mifupa ya fuvu kinachviringisha mkusanyiko wa neva ulioendelea kuwa ubongo. Kwa binadamu kichwa huwa kimefunikwa na nywele.

                                               

Bahari ya Marmara

Bahari ya Marmara ni gimba la maji ya chumvi kati ya Ulaya na Asia ndani ya nchi ya Uturuki. Imezungukwa na nchi kavu pande zote isipokuwa kuna milango miwili miembamba ya kuiunganisha na upande wa kusini na Bahari Nyeusi upande wa kaskazini. Milango hii ni Dardaneli upande wa Mediteranea na Bosporus upande wa Bahari Nyeusi. Urefu wake ni hadi 282 km na upana 80 km. Kina cha maji hufikia mita 1.300 chini ya UB. Eneo lake ni 11.655 km² na 182 km² ni visiwa ndani yake. Mji mkubwa kando lake ni Istanbul.

                                               

Ufunguo

Ufunguo ni kifaa kinachotumika kufungulia au kufungia mlango, kufuli n.k. Kwa sababu hiyo, mara nyingi huchukuliwa kama ishara ya kumiliki nyumba, sanduku n.k. Mwambatanisho wa kufuli na ufunguo huchangia katika ulinzi kwa maana ni mwenye ufunguo peke yake anayeweza kufungua kitasa au kufuli.

                                               

Karne ya 7

Karne ya 7 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 601 na 700. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 601 na kuishia 31 Desemba 700. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo". Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu. Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii, kama haya wafuatayo.

                                               

Mnururisho

Mnururisho ni uenezaji wa nishati kwa njia ya chembe ndogo sana au kwa njia ya mawimbi. Mnururisho huwa na chanzo, mwelekeo usionyoka na kasi. Mifano ya mnururisho inayoonekana au kusikika kirahisi ni nuru na joto. Binadamu ana milango ya fahamu kwa ajili mnurirsho huo kama vile macho kwa nuru na neva kenye ngozi kwa joto. Mifano ya mnururisho isiyoonekana ni mnururisho wa sumakuumeme katika redio na TV, eksirei au kinyuklia. Kuna viumbe vyenye milango ya fahamu kwa minururisho mingine, kwa mfano samaki au ndege zinazotambua uga za umeme au sumaku. Nyuki huona infraredi isiyoonekana kwa ma ...

                                               

Mnyama

Wanyama ni viumbehai wasio mmea, kuvu, bakteria, protista au arkea. vile tunaweza kusema wanyama ni viumbehai wanaotegemea chakula kutoka sehemu nyingine: wao hawana uwezo wa kujitengenezea chakula chao wenyewe kupitia usanisinuru lakini kutoka kwa viumbehai vingine ama wanyama wengine au mimea. Kufuatana na aina ya chakula tunatofautisha hasa wanaokula mimea wanaoitwa walamani au walamea kwa Kiingereza: herbivorous na wanaokula nyama wanaoitwa walanyama au wagwizi ing. carnivorous. Kuna pia walavyote ing. omnivorous wanaoweza kula kila kitu, ama mimea ama wanyama wengine ing. omnivorous. ...

                                     

ⓘ Milango

  • Kaskazini na Bahari ya Baltiki. Kaskazini yake iko Skagerak na kusini milango ya Oresund na Belt Mkubwa. Bahari haina kina kubwa lakini kuna usafiri
  • Danieli, ilhali kinasimulia habari zake katika milango 6 ya kwanza halafu maono yake Danieli katika milango 7 - 12. Wakristo wengi wanafuata tafsiri ya Septuaginta
  • asiumwe na mbu anapolala. Pia kinaweza kutundikwa katika madirisha na milango ili wadudu wasiingie ndani. Kwa mbinu hizo binadamu anajaribu kujihami
  • kupitia milango ya fahamu hukosa uhakika, si kamili ujuzi wa kweli unapatikana kwa njia ya roho inayoweza kuelewa kiini cha kitu, wakati milango ya utambuzi
  • walijifunza tangu siku za Mfereji Mkuu wa China kuvuka mitelemko kwa kutumia milango ya mfereji. Hapa wanapanga sehemu ambako wanafunga njia ya maji kwa geti
  • Denmark na jimbo la Skone Skåne katika Uswidi. Oresund ni moja kati ya milango mitatu ya bahari inayopita katika visiwa vya Denmark na kuunganisha Bahari
  • kumaliza kufanya majaribio au utafiti 1. Iwe na madirisha makubwa. 2. Iwe na milango miwili inayofunguka kwa nje. 3. Iwe na mfumo mzuri wa umeme. 4. Iwe na
  • chini. Hii ni sababu ya kwamba hukunsayika polepole ndani ya nyumba ambako madirisha na milango haifunguliwi. Hapa unururifu inaweza kuwa hatari ya afya.
  • Masala Mto Masungwe Mto Mayamasi Mto Mbogo Mto Mfuwazi Mto Mgonia Mto Milango Mto Milembe Mto Mkanga Mto Mohambwe Mto Mohwazi Mto Molila Mto Moyowosi
  • zinatofautiana na nuru kwa idadi ya marudio yake na hazitambuliwi kwa macho au milango ya fahamu, isipokuwa joto linalotambuliwa na ngozi yetu. Kati ya tabia
Mlango wa bahari
                                               

Mlango wa bahari

Mlango wa bahari ni mahali ambako magimba mawili ya nchi kavu hukaribiana kwa pwani zao na kuacha nafasi kwa ajili ya bahari. Mlango wa aina hii mara nyingi ni njia muhimu ya mawasiliano, usafiri na biashara. Milango ya bahari ina pia umuhimu wa kijeshi kwa sababu anayetawala mlango ana nafasi ya kuzuia au kuruhusu wengine watumie ama wasitumie njia hiyo. Mifano ya milango ya bahari ni kama vile:

                                               

Mto Milango

Mto Milango ni kati ya mito ya mkoa wa Kigoma. Maji yake yanaelekea Ziwa Tanganyika, mto Kongo na hatimaye Bahari ya Atlantiki.

                                               

Nomino za dhahania

Nomino za dhahania ni maneno yanayotaja majina ya watu na vitu ambavyo ni vya kufikirika tu. Ni dhana iliyomo ndani ya akili ya mzungumzaji. Watu na vitu hivyo huwezi kuvigusa wala kuviona kwa macho isipokuwa unaweza kuvifahamu kupitia milango ya fahamu tu. Mifano Kumetokea na wizi katika nyumba ya jirani Wivu ukizidi unakera Upepo mkali umetokea kaskazini mwa bahari ya Hindi Mungu ndiye muumba wa vyote Hewa chafu inatokea upande kushoto

Wizi
                                               

Wizi

Wizi ni wakati mtu mmoja au kikundi kinachukua kutoka kwa watu wengine kitu chochote, kwa mfano pesa au habari bila idhini. Mtu aliyehukumiwa kwa wizi anaweza kuitwa mwizi. Kuna aina nyingi za wizi, kwa mfano kwa kunyakua, kwa kuvunja milango au madirisha, kwa kuingilia kompyuta n.k. Kwa jumla duniani kote wizi unaadhibiwa na sheria. Pia dini zinaona tendo hilo kuwa dhambi, isipokuwa pengine mtu asipokuwa na njia nyingine yoyote ya kupata mahitaji yake ya msingi.

Users also searched:

fenicha za milango, fremu za milango ya mbao, milango ya chuma ya mbele, milango ya mbao,

...

Umuhimu Wa Vitamini D Nobo College Nobo College of Pharmacy.

Adaptive radiation mnururisho asilivu. adaptive asilivu. afforestation upandaji miti​. air contaminant kichafuzi hewa. air curtain kizuiahewa. HABARI NA MATUKIO: TEKNOLOJIA YA KINUKLIA INAOKOA. Mnururisho unatumika kudhibiti ukubwa wa madudu kwa kutumia SIT. Teknolojia inahusika na wadudu wengi sana wanaotasishwa na. Jamii ina uelewa mdogo juu ya watu wenye ulemavu wa ngozi. Kamwe wafanyakazi wasihatarishwe kwa mnururisho vitu vinavyowasha mashine na vifaa hatari au wanyama na wadudu na hatari au ajenti zinazo ambukiza. MTIHANI WA SAYANSI DRS LA V: MUHULA WA I 2015 CHAGUA. Mnururisho asilivu. 8. adaptive asilivu. 9. afforestation upandaji miti. 10. air contaminant kichafuzi hewa. 11. air curtain kizuiahewa. 12. air mass tungamohewa. WAZIRI MAKAMBA ATOA TAMKO SIKU YA KIMATAIFA YA. 9. Joto husambaa katika kimiminika kwa njia ya. msafara mpitisho mnururisho mgandamizo. Chagua Jibu. -, A, B, C, D.


...